Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

Fungua kimeza chako cha karanga na sigara aina zote....lazma utoke mkuuu
 
Endelea tu kumfariji!!! laki 1 ni hela ndogo sana kufungulia mtaji

Inaakiwa afanye biashara inayolingana na mtaji wa laki 1. Kama yupo serious kabisa laki 1 inamtoa. cha msingi ni kusimamia malengo yake kwa nia dhabiti. Kuanza biashara siyo lazima uwe na mammilion. watu wanaanza na mtaji wa elfu kumi, ishirini lakini baada ya mwaka mmoja unakuta yupo mbali. Tusimkatishe tama. bali tumtie moyo maana hvi vitu vinawzekana
 
Jaman wana Jf naombeni msaada wa mawazo mfano "una mtaji wa shiling laki 3 utafanya biashara gani kwa mjini au kijijini ambayo utamake profiti na jinsi gan utaweza kuavoid loss?'.. Najua kuna weng ni unemployed na wanaogopa kuthubutu kisa mtaji mdogo so jiunge nam kwa kuad maswali ili tuweze kuthubutu.
 
Jaman wana Jf naombeni msaada wa mawazo mfano "una mtaji wa shiling laki 3 utafanya biashara gani kwa mjini au kijijini ambayo utamake profiti na jinsi gan utaweza kuavoid loss?'.. Najua kuna weng ni unemployed na wanaogopa kuthubutu kisa mtaji mdogo so jiunge nam kwa kuad maswali ili tuweze kuthubutu.

Kama uko miji ya Pwani, anza kutengeneza juice zile za unga na kuuza mtaani kwako, huku ukijifunza kutengeneza juisi za matunda.
 
Laki 3 mbona nyingi sana kwa biashara ya mtaji mdogo!
 
hiyo hela nyingi sana. cha msingi angalia na fanya utatifi kuhusu fursa zinazokuzunguka hapo ulipo na ambazo zinalingana na mtaji ulionao.
 
nenda tunduma boarder hapo. biashara kibao
 
Mr malila mi naomba unielimishe jinsi ya kutengeneza juice za unga kwani idea nimeopenda sana kwani hata mie nina mtaji mdogo...tafadhali wasiliana nami hata kwa text nami nitakupigia kaka tafadhali
+255 657 740 797
 
Kijana kuna uzi nimeuweka unahusu biashara ya viatu vya mtumba vya kike na kiume kutoka jamhuri ya korea

viatu tunauza kwa bero na vinakuwa mchangayiko kama vile open shoes simple viatu vya mpira boot vya ofisi raba n.k

bei zetu ni kama ifuatavyo.

vya wanaume sh. 220000 kwa bero moja na inapungua kutegemeana na idadi ya bero za mteja

vya kike 130,000 na inapungua kulingana na idadi ya bero anazochukua mteja


NB. bero moja la viatu vya kiume lina wastani wa viatu pair 55 hadi 60 Kwa kawaida 60
vya kike pair 80 hadi 90

PIGA SIMU NAMBA 0758176058 kwa maelezo zaidi na jinsi ya kuweka oda ya mzigo. Pia inapatikana kwa watsap

Viatu ni vya ubora wa hali ya juu na vinaenda na wakati na vingi vinakuja vikiwa kama vipya kwa maana havijatumika sana

TUNAPATIKANA CHANG'OMBE DAR.


KARIBU SANA NA HUWEZI JUTA......

Nimekupigia simu pamoja na mesej ila hukunipa ushirikiano
 
Anzisha biashara ya kutengeneza mkaa wa kisasa ambayo soko lake si la kutafuta lipo na pia unaweza anza na mtaji hata wa sh elfu tano nipigie nikupe maelezo zaidi 0758 308193

Em nipm unipe more info kuhusu hii ki2
 
Habari!

Hii ni mahususi kwa wale wanaohitaji kufanya biashara, sio wanaofanya biashara.
Njia panda,mahala salama pa kutafakari upande upi uelekee ama uufate. Nimechagua leo kushare nanyi ndugu zangu kwa kile kidogo, na kesho siku yakuanza mfungo ianze vema.

Haihitaji shule kufanya hili, inahitaji dhamira, kuamka na kufanya. Waweza kuwa na mapesa mengi ama kidogo sana..

(1) Tafuta laki 3 TU ama ukiwa na pesa zaidi sio mbaya, ni nzuri zaidi.

(2) Tafuta simu ya android, hata window phones poa

(3) Tenga muda wa kutembelea mitandao hii:

a.AliExpress.com - Online Shopping for Electronics, Fashion, Home & Garden, Toys & Sports, Automobiles from China.

b.Manufacturers, Suppliers, Exporters & Importers from the world's largest online B2B marketplace-Alibaba.com

c.ebay.com

NB: Hapa masoko ya kwenye mitandao ni miiingi sana lakini for beginners anzia hapa, 1 step at a time, pia apa hakikisha unaspend almost siku 14 kuipitia hii mitandao kwa kina, usijipe moyo kwa siku moja tu kwamba aah niisha umaliza kuupitia, mind u; The more u get involved to them the more new things about them you will learn.

(4)Tenga muda wa kushare urafiki na watu wako wa karibu ata kama ulikuwa huna tabia io,sasa unahitaji watu katika biashara yako,maana wao ndio wateja wa kile utakacho anza uza,pokea watu wote... Hudhuria vikao vya harusi ata kama huna mchango wa kuchangia,uwepo wapo ni muhimu zaidi kuliko ile pesa,nenda kuswali kwa jumuia sio ndani kwako pekee,kama msikitini,kanisani n.k

(5)Jiunge na magroup kupitia hiyo android phone yako either katika WhatsApp, viber, instagram n.k laweza kuwa group la ulio soma nao,group la kazini kwenu,group la washkaji wanywa pombe,group lolote ata wewe waeza kubuni waunge tu ata watu 7 kwa siku

(6)Jiunge na facebook na magroup yalioko umo,yatakusaidia...

Itaendelea...
 
Muendelezo...

Baada ya nukuu na mtiririko huu:
a.utakuwa na uwezo wa kufanya biashara yoyote ndani na nje ya nchi
b.utakuwa bora katika kutambua fulsa sahihi na kwa wakati sahihi
c.utakuwa mwepesi kubadilika kulingana na mazingira ya kibiashara na wakati
d.utajua tabia mbalimbali za watu hasa wakiwa kama wateja(tabia za wateja)
e.kuwa bora katika negotiations mbalimbali hasa za kibiashara
f.kuweza kwenda miji mikubwa duniani ya kibiashara bila mwenyeji na ukawa kama mwenyeji
g.kufanikiwa kimapato katika muda mfupi
h.kuwekeza pesa yenye kukupa faida kwa 100% jambo ambalo biashara nyingi za sasa zimeshindwa
i.na mengineyo

NB:Kwa mfanyabiashara wa Zhejiang, Yiwu,Guangzhou, Bangkok, Dubai,Paris,Shanghai na miji mingine unakaribishwa kwa nyongeza yoyote,lengo tufahamishane...kile unachofanya katika miji io...umoja ni nguvu,Tanzania na uTanzania ni tunu,tuisimamie.

Itaendelea. ..
 
Safi Ndg.MWASALEMBA.
Sifa moja wapo kuu ya mjasiliamali ni kutafuta taarifa ambazo zinapatikana katika vyanzo ulivyovitaja. Taarifa sahihi na kwa wkt ndio pekee zinazoweza kutusaidia kutoa maamuzi yaliyo sahihi yenye tija. Kuna wkt nilishawahi kuishi kwa kuitegemea jamii forum upande wa matangazo, na angalia nn kinauzwa wapi, bei gani na nani anakiitaji kwa bei gani kama inanilipa nafanyabiashara.
Ila wengi wetu tunatumia simu kwa muda mwingi sana ktk vitu vsivyo na tija
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom