Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

Aliyemfungulia kesi na kumtoa kesi ya ugaidi ndio Shujaa leo
 
Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa serikali imefutwa.
Ngoja tuone kiki mpya watakayokuja nao .
Wapumbavu kama ninyi mpo wengi sana ndio maana Tz kupata uhuru na maendeleo ya kweli tutasubiri sana. Hivi ushawahi jiuliza wanao watakuja kurithi uchawa wako?
 
Ni kweli haifutiki kwani mpaka leo hii tunaisoma legacy ya Adolf Hitler kwa unyama alioufanya na kwa magu ndo hivyo hivyo hakuna tafauti.
 
Punguza papara.
 
Kwisha kwisha kabisa ndebe ndembe, chalii kifo cha mende🤣🤣🤣
 
Sizitaki mbichi hizi.

Kiukweli Rais Samia ameona maamuzi ya Jpm yalikuwa Fyongo
 
Leo mtafurahia, kesho mtaanza kumponda.

Hongera Dr. Samia kwa uamuzi mzuri. Wanasiasa watumie hiyi mikutano kwa ustaarabu
Ustaraabu upi? Kwani wanasiasa walishawahi kufanya fujo nchi hii?
 
Watanzania ni shida sana. Yaani mama karuhusu mikutano ya hadhara, ambayo ilizuiliwa kinyume na Katiba ya Nchi, lakini watu wanaona kama Hisani fulani hivi.

Kwa maoni yangu, hapa hakuna chochote kilichoongezwa.
Sasa kama mtu alizuia hata yeye angeweza kuzuia. Tunampongeza kwa kuwa na Utu.
 
Legacy ya JPM haiwezi kupotea katika uso wa Dunia hii.
Ile ilikuwa mashine tata. JPM alikuwa moto Nyuklia. Wala rushwa, Mabeberu, Mafisadi, wezi, wababaishaji, wazee wa michongo ya kihuni huni nk, JPM aliwanyoosha na wakanyooka kweli kweli.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
 
Watanzania tumefarijika sana maana tulipoteza uhuru kwa miaka 6 lakini Rais Samia Suluhu ameingia madarakani baada ya siku 655 za utawala wake ameweza kurejesha democrasia iliyokuwa imepotea pia leo amefanikiwa kutuweka pamoja jambo jema sana hili
Uhuru gani na tunazuiliwa kukosoa kuhusu mikopo ya serikali?
 
Wala rushwa,
Unakumbuka trilion 1.5? Jiwe na gang lake wamelisababishia taifa hasara kubwa Sana.

Una habari kwamba alificha mabox mengj Sana ya fedha kule kijijijini wake Chato?
 
Zuio haramu la mikutano ya siasa sio legacy yake? Mbona imefutika??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…