πππ Mkuu niwe mkwelii TU utakuja kupigwa na kitu kizito haswaaaa......huyo mwanamke Kuna Siku atakusaliti na kwenda kumkuta aliyemweka UJAUZITO hatakumbka maumivu ya KUTELEKEZWA mwanzo........pili ni kwann uoe Mwanamke aliyezalizwa na KIDUME MWANZAKO au wewe ni UPINDE jogoo alipandi mtungi.....bro ACHAna na MKE wa mtu.....Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo sualaππ½ππ½
"Roho mbaya" hii kauli wanawake mnapenda sana kuitumia kuwafanyie wanaume emotional blackmail hili wajione ni wenye hatia pale wanapokataa kutimizia matakwa yenu binafsi..!!Roho mbaya tuπππ
Halafu sasa mbaya zaidi siku akiwafumania huyo mwanamke atamjibu kwa jeuri sana, kwamba "sikukulazimisha unioe au unisaidie kumlea mwanangu.."πππ Mkuu niwe mkwelii TU utakuja kupigwa na kitu kizito haswaaaa......huyo mwanamke Kuna Siku atakusaliti na kwenda kumkuta aliyemweka UJAUZITO hatakumbka maumivu ya KUTELEKEZWA mwanzo........pili ni kwann uoe Mwanamke aliyezalizwa na KIDUME MWANZAKO au wewe ni UPINDE jogoo alipandi mtungi.....bro ACHAna na MKE wa mtu.....
Sio kweli ππWe mbona unakomalia amuache unataka kujiweka wewe? πΉ
Kwan si mtt wake ana haki ya kumuona na kumdai.Zipo ila why uforce mtu alee kiumbe chake....siku akijitokeza kwamba huyo ni mwanangu hapo ndiyo unachagua uue au umshtaki
πππ Nilkua mshenga wa msela wangu....same situation kama hiii.....yule Binti alizaaa na mwana then akamkataaa soon later msela wangu akaamua kumchumbia BINTI baada ya kuachwa..... kilichotokea tukiwa kweny hatua ya kupeleka posa BINTI akaamua kumzawadia EX wake penzi ili amuage.....bahat mbaya sana MIMBA ikanasa ya pili tena......Kwa busara tuliamua kungoa NANGA na kumwacha Binti ...yule EX Naye hakuwa na muda Naye tena maana alikuw na familia tayari........ jifunze TU kuwa mwanamke ni vigumu kumuacha mtu wake wa kwanzaaaaaa....Halafu sasa mbaya zaidi siku akiwafumania huyo mwanamke atamjibu kwa jeuri sana, kwamba "sikukulazimisha unioe au unisaidie kumlea mwanangu.."
Single mothers ni wa kutomba na kutupa kwenye dustbin huko, hukooo maana huyo tayari ni mke wa mtu.
MKuu kuna vitu vina stahajabisha sanaYani demu wako aligongwa na mtu mwingie (kacheat) halafu akajazwa mimba, then majukumu ya malezi uletewe wewe? na unataka ushauri.
Au mimi sijaelewa mada.
Unatoaje mahari kwa mwanamke
ambaye tayari amezalishwa, hizi mila huwa sizielewi hata kidogo. Dowry kwa mwanamke aliyezalishwa tayari kwangu ni batili.
Ni mwanaume mpumbavu pekee tu na limbukeni wa wanawake ambaye atakuwa na imani na single mother kwamba hawezi kurudiana na mzazi mwenzake... siku hizi kuna kasumba ya kuamini eti wanawake hawafanani sijui ni akili ya mtu tu sio wote wako hivyo... mimi huwa nawaambia ndio ni kweli wanawake hawafanani, ila kwa single mothers wana fanana haiba kwa zaidi ya 99%.πππ Nilkua mshenga wa msela wangu....same situation kama hiii.....yule Binti alizaaa na mwana then akamkataaa soon later msela wangu akaamua kumchumbia BINTI baada ya kuachwa..... kilichotokea tukiwa kweny hatua ya kupeleka posa BINTI akaamua kumzawadia EX wake penzi ili amuage.....bahat mbaya sana MIMBA ikanasa ya pili tena......Kwa busara tuliamua kungoa NANGA na kumwacha Binti ...yule EX Naye hakuwa na muda Naye tena maana alikuw na familia tayari........ jifunze TU kuwa mwanamke ni vigumu kumuacha mtu wake wa kwanzaaaaaa....
Mm leo nakubali ushauri wowote na ruksa pia kuwaza unavyowaza,!ππ½MKuu kuna vitu vina stahajabisha sana
Yaani jamaa alipigwa chini na huyo demu wake hapo awali, kisha huyo demu akaenda kupigwa mashine na mwanaume mwingine hadi akashika mimba halafu huyo jamaa akamtupa kwenye dustbin na mimba yake baada ya kumaliza kumtumia...
...Haya siku zimeenda huyu jamaa ndio kaenda kumuokota huko kwenye dustbin na sasa anajiandaa kumlea huyo binti na mtoto wake kwa vile tu moyo wake umemchagua huyo binti kama ndio love of his life...!!
Aisee kuna wanaume hawakustahili kabisa kuwa wanaume kutokana na akili zao mbovu kama huyu jamaa.
Lakin pamoja na hivyo acha huyu fala awe ni specie ya kujifunzia kwa wanaume wengine... acha akapigwe kwanza matukio na huyo single maza hili na vijana wenzake wanaofanya maamuzi kwa mihemko wajifunze kutoka kwake
Fanton Mahal ya kweli haya ππΎNi mwanaume mpumbavu pekee tu na limbukeni wa wanawake ambaye atakuwa na imani na single mother kwamba hawezi kurudiana na mzazi mwenzake... siku hizi kuna kasumba ya kuamini eti wanawake hawafanani sijui ni akili ya mtu tu sio wote wako hivyo... mimi huwa nawaambia ndio ni kweli wanawake hawafanani, ila kwa single mothers wana fanana haiba kwa zaidi ya 99%.
Single mother ni mwanamke ambaye tayari ameingia kwenye maagano ya kudumu na mzazi mwenza, so suala la kumvulia chupi ni la muda tu haijalishi wameshapelekana polisi mara ngapi...!!
Anaanzaje wakati alikuwa hatunzi? π€£π€£π€£ Nyie mnacheza na maisha nyieKwan si mtt wake ana haki ya kumuona na kumdai.
Tena omba usizae mtoto baba mtu unamchukia my dear hii sikia Kwa mwengine dogo anateseka unampa visiran vyote na et after ten yrs uko namuhitaj mwanangu lol ivi sijui wanatuonaje walaiππΎAnaanzaje wakati alikuwa hatunzi? π€£π€£π€£ Nyie mnacheza na maisha nyie
Nakufa nae, maana moyo wangu ulishakufa...kwa busara asubiri mtoto aje amtafute,asipotafutwa imeisha...Tena omba usizae mtoto baba mtu unamchukia my dear hii sikia Kwa mwengine dogo anateseka unampa visiran vyote na et after ten yrs uko namuhitaj mwanangu lol ivi sijui wanatuonaje walaiππΎ