Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

Hakuna asili ya kimfumo wa kibailojia, inayosema mwanamke afirwe, usitafute njia ya kuhalalisha unafiki hapa.

Aliyekuambia mwanaume akifirwa uanaume wake unapotea nani? Hebu toa uthibitisho usio na shaka.

Maelezo marefu na ya kubumba, ili hali uhalalishe linalowafurahisha.

Sema ni UNAFIKI.
 
Kuna Wasomi Bongo? Au wenye vyeti waliyokariri mitaala ya Elimu kwa kufanyia mtihani tu?
Baba pasuaaaaa!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kila mtu Kila mtu alinde mgongo wake, awe mwanamke au mwanaume, tulinde migongo yetu hakuna namna.

UΔ·isema wanawake hawapo.kwenyw equation wakati una binti na hutamani apakwe mafuta mgongoni utakuwa mnafique, kila mtu ajilinde, awe Me awe Ke, kufirana sio sahihi. Mwanamke anayefirwa anadharaulika 100% na huyo mfiraji, so kujilinda ni kutofanya huo uchafu.
 
Reactions: Nus
Wenzako wamekuambia mwanamke ameumbwa kufanywa, km una binti yako mpare ajiandae kufirwaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dudubaya yeye ameanzisha kampeni ya kuwalinda vijana,na wewe anzisha kampeni yako ya kuwalinda hao wanawake,ndio mgawanyo wa majukumu ulivyo,

Jambo likikukera au ukaona halipo sahihi,chukua hatua,usisubiri wengine ndio wachukue hatua kwa niaba yako huku wewe ukiwa umekaa tu.

Y B W Y B
 
Reactions: Nus
Hatuitaki kwanza hiyo mbingu. Tutafirana humu humu mpaka yesu arudi.
Kumbe ndy mana unaukubari ugasho. Mimi binafsi siwezi piga makofi Tako la mwanaume mwenzangu kwanza sizani kama yatakuwa laini. Pia hio michezo ya kula kinyeo ni ushamba siwezi cheza
 
Dudubaya kazia hapo hapo,
Machoko na wasagaji wameanza kutoa milio kila kona,

Machoko na wasagaji kumchukia Dudubaya wala haishangazi,Ukimpinga DUDU ujue unapigwa DUDU.
 
Sasa mtu mzima na akili zake, anayetaka kutoa mgongo wake, kwa hiyari yake, hiyo ndiyo raha yake, na yeye unamwambiaje alinde mgongo wake?

Huoni kuwa hapo utakuwa unamuingilia?
 
Wenzako wamekuambia mwanamke ameumbwa kufanywa, km una binti yako mpare ajiandae kufirwaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Usiongee maneno magumu mbele ya watoto wetu we binti, its disturbing us. Kufirana haijalishi jinsi, sio sawa kwa wote, achaneni na hizo tabia, sio nzuri kwa afya ya akili na roho.
 
Tuko nje y muda.
 

Attachments

  • FB_IMG_1790439717196.jpg
    113.1 KB · Views: 9
Usiongee maneno magumu mbele ya watoto wetu we binti, its disturbing us. Kufirana haijalishi jinsi, sio sawa kwa wote, achaneni na hizo tabia, sio nzuri kwa afya ya akili na roho.
Inauma eeh? Nasemaje km una binti yako basi atafirwaa tu, wee husomi au hujasoma comments za wanaume huko juu?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Inauma eeh? Nasemaje km una binti yako basi atafirwaa tu, wee husomi au hujasoma comments za wanaume huko juu?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Soma maoni yangu achana na nadharia za wengine, acheni hiyo tabia, inaharibu afya ya akili na roho.!
 
Hakuna kuingiliwa nyuma, ni Kufirwaaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani wabongo wengi wanaona neno ni hatari kuliko tendo lenyewe.

Yani hawana tatizo na tendo, wao tatizo lao usitumie neno kali tu tumia tafsida.

Nashangaa sana, sasa kati ya tendo na neno utaonaje neno kuwa ndiyo kali ulikatae, lakini usikatae tendo lenyewe?

Ukichunguza sana, utaona ni unafiki tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…