Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

Aongee mara ngapi?? Havutii kumsikiliza make hawezi kuhutuba. Lakini kwa nafasi chache alizopata tayari alishafikisha ujumbe.
My take: Ishu ya bandari tayari imeenda!
Dubai kamwaga fedha nyingi sana walafi hawawezi kuziacha!
 
Iko hivi... Lazima yule Karl Peters wa zamani alitumia hongo. Na hata huyu wa sasa naye katumia hongo!
Kitu ambacho Mwalimu wako hakukwambia ni kuwa kina Karl Peters wapo. Na kina Chief Mangungo pia wapo. Tena kwa sasa ni wasomi na wataalamu kweli kweli!
#Maslahi
#Hongo
 
Samia ndio kwanza anaanza kuusoma vizuri na kuujua mkataba wa bandari. Naamini mtazamo wake umebadilika na inakuwa vigumu kurudi nyuma.
 
Bahati mbaya hatuna waandishi wenye guts au uwezo wa kuuliza maswali magumu.

Huwa wanaishia kujichekesha tu na kusifia sifia.
 
Samia aseme nn tena?? Kashalikologa tayari, kuendelea kuongea ni kuendelea kujitafutia matatizo kwa raia wake...anajua kbs kashapuyanga na hela kashachukua kwa ajiri ya kampeni za uchaguzi ujao hivyo kaona bora afe na tai shingoni tu ... hapana chezea fwedha weye [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Muhimu ni kwamba wataalam kama kina shivji washaongea sasa we shivji unaona hana akili?mtu ka publish mavitu yanasomwa chuo kikuu Leo hii aongee kitu kuhusu tasnia yake me nimpinge..sorry kwanza kwani rais mama samia kasomeaga nini??
Kasomea form 4
 
Kwangu mimi bora asiongee kuliko kuongea na kudanganywa ninakasirika sana siku hizi hawa Policians Ku-insult our Intelligence yaani wanadangaya hivi hivi / wazi wazi kabisa, Hivyo basi binafsi ili kuondoa mzizi wa fitina tuache usiri kwenye mali za Taifa kila kitu kiwe wazi - Hapo hatutahitaji kuambiwa sababu tutajisomea

 
Hata yeye anajua hawezi kujibu hoja zao.
 
Wanasheria walioshiriki kuandaa hiyo mikataba wameshaitolea ufafanuzi wa kina, kifungu kwa kifungu.

Sioni kama ni sawa kwa Rais kuingia katika mitego hii ya wanasiasa haswa hawa wa mitandaoni.
 
Aongee mara ngapi?? Havutii kumsikiliza make hawezi kuhutuba. Lakini kwa nafasi chache alizopata tayari alishafikisha ujumbe.
My take: Ishu ya bandari tayari imeenda!
Dubai kamwaga fedha nyingi sana walafi hawawezi kuziacha!
Hao ni jamaa zangu wa hayati JPM, nongwa zimewajaa mpaka shingoni.
 
Aongee mara ngapi?? Havutii kumsikiliza make hawezi kuhutuba. Lakini kwa nafasi chache alizopata tayari alishafikisha ujumbe.
My take: Ishu ya bandari tayari imeenda!
Dubai kamwaga fedha nyingi sana walafi hawawezi kuziacha!
Bandari haziwezi enda.

Amini usiamini,

Mungu wetu atajibu Kwa utisho mkuu.

Tusubiri
 
Jusi aliharibu kufungua kinywa sijui kwenye warsha gani Huko magogoni aloo SAS wadau kwenye comment wamemfvaa
 

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haihusu.

Wapo wenye kazi zao juzi waliitisha kongamano wakajibu maswali yote, na wamekubaliana kikao kijacho itakuwa ni mdahalo na wale wamaopinga.


Mama ana mengi sana ya kufanya, hana sababu za kubishana na wajinga.
Kwahiyo Profesa Shivji, Kadinali Pengo na wote wanaopinga ni wajinga?

Astaghafirullahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…