Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajaongea na waandishi wa habari kuhusiana na sakata la Bandari?

Mkataba wa Mangungo huu hapa!
 
Haihusu.

Wapo wenye kazi zao juzi waliitisha kongamano wakajibu maswali yote, na wamekubaliana kikao kijacho itakuwa ni mdahalo na wale wamaopinga.


Mama ana mengi sana ya kufanya, hana sababu za kubishana na wajinga.
Kuna wakati huwa nahisi wewe ndo mama mwenyewe. Kama ndo wewe NISAMEHE
 
Mzee wa porojo tu huyo. Katuwacha masikini wa mwisho duniani, simsahau umasikini na ujinga wa mwisho duniani aliotuwacha nao.

mama ni wa vitendo zaidi.
Baada yake walikuja wavaa kobazi wenzako, bilashaka walikuachia utajiri!
 
Sukuma gang hameni nchi kama vipi
 
Ataongea nini na kila jambo lipo mezani. Hakuna cha kupinga wala kukataa. Jambo la kufahamu ni kuwa hawa jamaa wamechagua kuwa madalali wa mataifa makubwa na ndio maana hawakuweza kufanya kazi na magufuri sababu haendani na haiba zao.
 
Ajabu hii, unamshambulia Shivji au hoja yake!? Mkataba ni wa muda gani? Utekelezaji wake ukoje?
 
Mama anajipambanua kama mdemokrasia wa kweli. Kukaa kimya maana yake anatoa fursa kwa watu, wapingaji (kama wewe) na waungaji mkono (kama mimi) kutoa maoni yetu kwanza kabla ya yeye kutoa kauli. Unafikiri akitoa kauli sasa kuwa Mkataba utaendelea kama ulivyopangwa, nani atatoa kauli ya kupinga? Hata Mzee Warioba ataufyata!11!
 
Ajabu hii, unamshambulia Shivji au hoja yake!? Mkataba ni wa muda gani? Utekelezaji wake ukoje?
Historia yake ndiyo imemshambulia mwenyewe mimi nimekumbushia tu au nimesema uongo kuwa zama za kubinafsisha mabenk hakuwa na msimamo huo au alikuja tena kukiri kuwa msimamo wake haukuwa sahihi.
 
Haihusu.

Wapo wenye kazi zao juzi waliitisha kongamano wakajibu maswali yote, na wamekubaliana kikao kijacho itakuwa ni mdahalo na wale wamaopinga.


Mama ana mengi sana ya kufanya, hana sababu za kubishana na wajinga.

Wamezoea kuongopea watu hawa,na ole wao tuwaone wakikimbia mdahalo na wataalam wale kama Hamza Johari na jopo lake,hapo ndipo tutaamini zaidi kuwa ni machakubimbi.

Rais ana mambo mengi sana,zama zimebadilika watambue.
 

Hamza Johari na jopo lake walishatoa ufafanuzi tayari.

Next session wataalikwa mdahalo na hao wanaopinga live bila chenga tuone mbivu na mbichi.

Mwabukusi anasema bandari imeuzwa,anaulizwa ataje sehemu ambapo inaonesha kuwa bandari inauzwa anatoa macho tuh,kwanini asiitwe ni mpotoshaji??
 
Mkataba ni WA muda Gani? Makubaliano au Mkataba? Operations zake zinaishia wapi? Etc ukiuliza unaambiwa hata Majirani wanauza, Sasa kama jirani ana mtoto Kahaba na wee lazima mwanao awe Kahaba? Akili za CCM kama za nzi TU
Maswali kama haya ukiwauliza unaambiwa mna uelewa mdogo,lilishaongelewa.Wajibu basi hamna watakuletea kingereza kingiii!
 
Wale wote wanaolalamikia Mikataba mibovu baina ya Serikali ya Tanzania na makapuni Ni hivi Mkataba wa Muungano ndio Mkataba mbovu kuliko Mikataba yote Tanzania ni kauli ya Makoma wa kwanza wa Raisi wa Zanzibar mhe Othman Masoud Othman aloitoa jana mkwajuni kaskazini unguja
 
Haihusu.

Wapo wenye kazi zao juzi waliitisha kongamano wakajibu maswali yote, na wamekubaliana kikao kijacho itakuwa ni mdahalo na wale wamaopinga.


Mama ana mengi sana ya kufanya, hana sababu za kubishana na wajinga.

"Ni ma-far-ler ndiyo maana mmesaini mikataba ya kibwege na ya kijinga huku mkiwa na wataalam wenu" - Lusekelo
 
Real example kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…