Kwanini siku hizi vijana wengi mnamchukia Mungu, mmegombana nae?

Kwanini siku hizi vijana wengi mnamchukia Mungu, mmegombana nae?

Atheist wengi ni tomaso uamini kwa macho na sio kwa mifumo mingine ya kuthibitisha mambo
 
Haya mambo yamekuzidi akili Kijana

Ni vyema ukayatafuta maarifa zaidi kuliko kurukia hitimisho

Hoja za eti Mungu katukataza kuua mbona yeye anaua

Mimi mwenyewe watoto wangu marufuku kurudi nyumbani usiku ila Mimi huwa narudi saa sita usku.
Mbona umejibu sasa,sasa mtoto na mtu mzima wanao uwezo sawa wa kujitetea na dhoruba.
Mtoto bado ajui mema na mabaya.
Mamlaka ya kuutoa uhai anayo yeye aliyeuweka uhai huo kwa mtu.
 
Anasema ukichagua vile asivyovipenda yeye kama kusema uongo siku ya mwisho atakuchoma moto
Amri kumi zimewekwa ni muongozo Ili wanadamu waishi vyema KWA amani na utulivu. Mungu hana hasara nawe kuzifuata au kutozifuata hata sheria za nchi na sheria za Jamii zimekopi toka sheria za MUNGU.
 
Mungu anapewa vingi tofauti na yeye anavyodeliver in return

Biashara kati ya Mungu na binadamu ni biashara kichaka

Unatoa pesa unapata makelele yanayoitwa maombi

Biashara kati ya binadamu na ni biashara ya kimangungo
Ukijua tu namna ya kufanya biashara na Mungu wewe umetoka.
 
mi mwenyewe naogopa wazazi wangu na ndugu wakijua sijui itakuaje [emoji23]

Imani ni jambo binafsi,ni vile tunazaliwa tunarithi hadi imani za wazazi wetu
Ikifika muda sahihi hautoogopa mtu yoyote kuhusu imani yako
Kwa kukusaidia tu ishi maisha yako usiwaamshe walio lala hawatokuelewa wataona kama una mapepo,kwani ni lazima wajue imani yako ni ipi?
 
sasa kuna vitu vidogovidogo kama kwenda kanisani, sipendi kabisa...
 
Back
Top Bottom