bianca2023
Member
- Apr 6, 2023
- 98
- 222
sasa kuna vitu vidogovidogo kama kwenda kanisani, sipendi kabisa...
Na hata ukienda kama huna imani hakuna kinacho tokea
Kiufupi mazingira yako nayaelewa ikikulazimu kwenda kanisani ili kuwafurahisha wazee wasindikize lakini imani yako unaielewa wewe mwenyewe
Chukua muda wako imani ni kama misuli