Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mabaya yanayoendelea ni ushahidi kwamba yupo shetani na hukumu yake ilishaandaliwa anasubiri kuangamizwa, yeye ndo muongo na msababishaji wa mabaya yote.Mungu wetu mwenye upendo Ameamua watu wauane tu hakuna wa kumuhoji kwa sababu yeye ni mpenda haki 😀 😀 😀 😀
Mungu ametuagiza tusamehe 7 mara 70, ila yeye kashindwa kumsamehe shetani. Ufafanuzi wa hili sijui ukoje.
Mungu alisema kuua ni dhambi lakini kwenye vitabu vya dini mara kadhaa Mungu ameua wale waliomchukiza.
Mungu ametuagiza tusamehe 7 mara 70, ila yeye kashindwa kumsamehe shetani. Ufafanuzi wa hili sijui ukoje.
Mungu alisema kuua ni dhambi lakini kwenye vitabu vya dini mara kadhaa Mungu ameua wale waliomchukiza.
Cha ajabu hizo imani tulizoletewa ndio zimekuwa mawakala wa ubakaji, ulawiti na maadili mengine mabovu. Kidume mzima aliyekomaa anajificha mbele ya madhabau na kupachikwa jina Padre anaapa kuishi bila kuoa kwa sababu ya Mungu mwisho wa siku anaishia kulawiti vijana wa altareni. Stupid
Mungu anapewa vingi tofauti na yeye anavyodeliver in return
Biashara kati ya Mungu na binadamu ni biashara kichaka
Unatoa pesa unapata makelele yanayoitwa maombi
Biashara kati ya binadamu na ni biashara ya kimangungo
Unaonekana unasoma sana Biblia.Mimi ni mkristo Mkatoliki
Why?
Unaonekana unasoma sana Biblia.
A waapi watu wanasali sana lakini holaSio kwamba vijana hamjui namna ya kuomba?
haya bado ukifikiria mambo ya kuoa.... hii nchi haifai kwa atheists
Akiweza kunionesha alieiumba hii dunia na watu wakaao humu ndani,NAMI ntamwonesha MUNGU anaehitaji kumwona!Muonyeshe huyo Mungu
Akiitoa Pumzi yako Kuna Jambo lolote utaloweza kufanya?Mungu anapewa vingi tofauti na yeye anavyodeliver in return
Biashara kati ya Mungu na binadamu ni biashara kichaka
Unatoa pesa unapata makelele yanayoitwa maombi
Biashara kati ya binadamu na ni biashara ya kimangungo
Hujalijua neno vizuri mkuu,, yote yapo hayoFikiria kama Mungu Leo ameamua kumsamehe shetani, je, utaendelea kwenda church, utaendelea kusali, etc.
Na je, atatumia njia Gani kuiambia Dunia kwamba msala wake na shetani umeisha?
Sijawahi acha kwenda Church, lakini Kuna story za sijui shetani, jehanamu, zaka, sadaka, etc ukinihubiria, sikubishii ila nakuachia mahubiri Yako.
Kwa macho na masikio yangu naona na kusikia mchungaji maarufu katika eneo lake la kichungaji kafumaniwawa na kurekodiwa sehemu na mwanafunzi wa shule fulani ili jambo libaki sirini, kakubali kulipa fine Tsh 4,000,000/= katoa mil.2.5 nyingine kasema wamsubiri hadi jumapili akimaliza ibada atatoa iliyo baki. Nikasema kanisani siendi tenaaaaKuwa atheist sio kuporomoka kwa maadili, ni kupata akili
Wachungaji walizokula zinawatosha, watu wamepata akili
Umenena ukwl mkuu,, Ila kumbuka hata shetani hutoa utajiri pia! Point yako unaweza kua na majibu mengi Sana Ila kumbuka hao waovu waliomatajiri Ni Kama ng'ombe anaenenepeshwa siku ya mnada wachinjwe!Lakini kweli tukiangalia wanaoenda kanisani au wanaomuamini Mungu Maisha Yao ni tofauti kabisa wasioamini au wasio enda kanisani unakuta wanamaisha mazuri Zaid sa sijui tatizo Ni nini au Imani Haba by the way mi amini uwepo Wa Mungu na nguvu zake ni muumini mzuri tu Wa kilokole church mara Kwa mara sitting ya nyuma kule
Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Wewe nawe pia unasema MUNGU hayupo Mungu hana uwezo Mungu ni ameumbwa na simulizi za kusadikika za wanadamu Mungu hajawahi kuwepo, unamaanisha hivyo ? Na je pia wewe una-support ushoga na usagaji ?