thatfunnyboy23
JF-Expert Member
- Dec 25, 2020
- 850
- 1,134
Yaani mimi kiranga ninachomkubali akisema kamuweka mtu ignore list hutoona anajibu tena huyu jamaa ana misimamo yake mikali sana😂😂kuna mtu aliambiwa nakuweka ignore list na naliona hapaNaungana na Kiranga
Kwa hio wewe unaabudu mizimu ya kwenu ?
Yaani mimi kiranga ninachomkubali akisema kamuweka mtu ignore list hutoona anajibu tena huyu jamaa ana misimamo yake mikali sana[emoji23][emoji23]kuna mtu aliambiwa nakuweka ignore list na naliona hapa
😂😂😂Mkuu sijui kama wew usha observe hicho kitu? Yaani jamaa akiamua kukudharau anakudharau mpaka mtu wa pembeni anajisikia vbaya, sasa ndo nachokiona hapa[emoji3][emoji3][emoji3]
kweli kabisa.... hizi limiting beliefs zitatumaliza kimaendeleo.... Sema skuizi naona atheists wanateseka, nigeria wanafungwa jela...Kuabudu nini?[emoji3]You have been programmed
Huwezi kuishi bila kuabudu wewe?unaabudu nini sasa?
Sababu Mungu sio dikteta thus kampa mwanadamu freewill achague kutenda mema au maovu kwa faida na hasara yake mwenyewe.Hawezi kukuzuia kufanya kinyume na maamuzi yake
Mbona umejibu sasa,sasa mtoto na mtu mzima wanao uwezo sawa wa kujitetea na dhoruba.Haya mambo yamekuzidi akili Kijana
Ni vyema ukayatafuta maarifa zaidi kuliko kurukia hitimisho
Hoja za eti Mungu katukataza kuua mbona yeye anaua
Mimi mwenyewe watoto wangu marufuku kurudi nyumbani usiku ila Mimi huwa narudi saa sita usku.
Amri kumi zimewekwa ni muongozo Ili wanadamu waishi vyema KWA amani na utulivu. Mungu hana hasara nawe kuzifuata au kutozifuata hata sheria za nchi na sheria za Jamii zimekopi toka sheria za MUNGU.Anasema ukichagua vile asivyovipenda yeye kama kusema uongo siku ya mwisho atakuchoma moto
Vizuri sana,umejibu vyema, basi vivyo hivyo kwa Mungu.Mbona umejibu sasa,sasa mtoto na mtu mzima wanao uwezo sawa wa kujitetea na dhoruba.
Mtoto bado ajui mema na mabaya.
Mamlaka ya kuutoa uhai anayo yeye aliyeuweka uhai huo kwa mtu.
chagua sasa mwenyewe . ni vizuri kama unajua anachotakaAnasema ukichagua vile asivyovipenda yeye kama kusema uongo siku ya mwisho atakuchoma moto
[emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu sijui kama wew usha observe hicho kitu? Yaani jamaa akiamua kukudharau anakudharau mpaka mtu wa pembeni anajisikia vbaya, sasa ndo nachokiona hapa
Na kuhitimisha kitu usichoelewa Ni ukichaa kabisa.Kuamini Story Za Mungu ni Ujinga wa Kiwango cha Mawingu
kweli kabisa.... hizi limiting beliefs zitatumaliza kimaendeleo.... Sema skuizi naona atheists wanateseka, nigeria wanafungwa jela...
mi mwenyewe naogopa wazazi wangu na ndugu wakijua sijui itakuaje 😂Taratibu watu watafunguka macho,ni ngumu kumuelewesha mtu ambae kwa miaka zaidi ya 30 amekaririshwa hivi ghafla aelewe jambo jipya
Yaani maoni yako ya kutokuwepo kwa Mungu hayaondoi uwepo wake. Yeye yupoKuamini Story Za Mungu ni Ujinga wa Kiwango cha Mawingu
Ukijua tu namna ya kufanya biashara na Mungu wewe umetoka.Mungu anapewa vingi tofauti na yeye anavyodeliver in return
Biashara kati ya Mungu na binadamu ni biashara kichaka
Unatoa pesa unapata makelele yanayoitwa maombi
Biashara kati ya binadamu na ni biashara ya kimangungo
mi mwenyewe naogopa wazazi wangu na ndugu wakijua sijui itakuaje [emoji23]
sasa kuna vitu vidogovidogo kama kwenda kanisani, sipendi kabisa...Imani ni jambo binafsi,ni vile tunazaliwa tunarithi hadi imani za wazazi wetu
Ikifika muda sahihi hautoogopa mtu yoyote kuhusu imani yako
Kwa kukusaidia tu ishi maisha yako usiwaamshe walio lala hawatokuelewa wataona kama una mapepo,kwani ni lazima wajue imani yako ni ipi?