Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Atheist, atheism sio kitu kibaya acheni propaganda chafu watu wa dini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa Imani uliyonayo wewe leo Babu yako mzaa Babu yako ndio ataona wewe na Babu yako ndio mmekosa Maadili kwa kuacha Mbachao...kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Hata huko jadi hawapo wanaelea elea tuNaona hawamchukii Mungu ila hawaamini katika hizi dini za mchongo. Wapo katika imani yao ya jadi ambayo ndiyo Mungu wa kweli anakopatikana.
Huwezi ukawa kwa Mungu ukawa masikiniTatizo ni kwamba Vijana hawana hela halafu Mungu anahitaji Pesa. Na Mungu hatoagi pesa hata akikupa unakua ushapigika kweli
Roho ndo kitu gani?Kuna mambo mengi sana ambayo YAPO NJE YA UWEZO WETU KUJUA NA KUELEZEA. Muumba Mwenyewe ndio Mwenye kujua majibu ya hayo.
Mfano mwingine.
1. Hakuna sayansi inayoelezea ni muda gani roho inamuingia mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
2. Hakuna anayeona roho ikiwa inaacha mwili, huwa inapitia wapi, na inaenda wapi!. Hakuna sayansi itaweza elezea hayo yote. Hata maendeleo yake yaweje.
3. Wasichokubali wanasayansi ni kuwa hakuna mwenye uwezo wa kujiiumba, wala kuzuia kifo.
-Vyote hivyo vipo kwenye uweza wake Yeye Aketiye Juu Mbinguni.
Siku ukikuta moto ni story walokole mtachukia sana.Wewe una tofauti gani na shetani? Kwann Mungu asianze na wewe ila aanze na shetani?
Ushawahi kusikia binadamu wa kwanza kugundulika kutoka Uarabuni, Ulaya, India, China, au sehemu yeyote ile zaidi ya Afrika tena hapa Afrika Mashariki? Dini ni ujinga tu, tumeaminishwa upuuzi mpaka hatujitambui akili na bado tunazidi kuchezewa tu na kina Masanja Mkandamizaji na wasanii wenziwe kina MC Pilipili na Mze wa Upako pamoja na masheikh wa michongo waliojaa hapa mjini kukimbia njaa huko mikoani.Jina halina uhusiano na matendo ya mtu mwingine.
Ina ushahidi Mwafrika ndio mtu wa kwanza?
Mmevurugwa kuamini dini ambazo hazina umuhimu kwetu Waafrika. We umeona wapi mtu anamuomba Mungu anaongea lugha asiyoielewa, hivi mtu ukisali kwa lugha yako ya Kiswahili huyo Mungu hakusikii kweli? Serikali ipige marufuku hizi dini hatuzitaki hapa Tanzania, tunataka maendeleo tu dini peleka Uarabuni na Israel.Hahaha vijana tumevurugwa
IPO SIKU TU WATAMRUDIA WAKIPATA NEEMA. SHETANI HAJAWAHI KUWA RAFIKI WA MWANADAMU.Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Mungu hawezi kukupa kitu unachokiomba kwa lugha ambayo hata wewe mwenyewe huielewi, unamuomba Mungu kwa Kiarab wakati wewe ni Mtanzania, kwani nani aliyesema Mungu ni mwarab? Waafrka tunajichanganya akili wenyewe tu kwa kujipa laana kuamini vitu visivyoaminika na kuingia kichwani.Huenda ukimuomba Mungu, hakupi haraka ila shetani ni chapchap. Na vijana mambo yao ni chapchap.
Kwani roho ni nini Kwa mujibu wa vitabu vya dini?Kuna mambo mengi sana ambayo YAPO NJE YA UWEZO WETU KUJUA NA KUELEZEA. Muumba Mwenyewe ndio Mwenye kujua majibu ya hayo.
Mfano mwingine.
1. Hakuna sayansi inayoelezea ni muda gani roho inamuingia mtoto akiwa tumboni mwa mama yake.
2. Hakuna anayeona roho ikiwa inaacha mwili, huwa inapitia wapi, na inaenda wapi!. Hakuna sayansi itaweza elezea hayo yote. Hata maendeleo yake yaweje.
3. Wasichokubali wanasayansi ni kuwa hakuna mwenye uwezo wa kujiiumba, wala kuzuia kifo.
-Vyote hivyo vipo kwenye uweza wake Yeye Aketiye Juu Mbinguni.
Waliotuletea dini za Mudi na Yesu ..wao wenyewe wamekengeuka..... Sasa nigombane na nisiyemuona !!? Huo ni ulozi....Kasi ya watu kuwa Atheist yaani watu wasioamini uwepo wa Mungu ni kubwa sana siku hizi. Tulizoea kusikia mambo haya kwa wenzetu Ulaya na America, lakini atheism imehamia Africa na inakuwa kwa kasi kubwa mno.
Ni nini sababu za watu wengi hasa vijana kuacha kuamini katika uwepo wa Mungu na nguvu zake? Je, wimbi hili la kukosa imani kwa Mungu ndio sababu ya kuporomoka kwa maadili Afrika? Tujadili.
Hata masheikh na walimu wa madrasa wanaoa mpaka wake wanne Bado wanalawiti vitoto.... Usiingize uzani mmoja tabia ya mtu na dini/imani.Cha ajabu hizo imani tulizoletewa ndio zimekuwa mawakala wa ubakaji, ulawiti na maadili mengine mabovu. Kidume mzima aliyekomaa anajificha mbele ya madhabau na kupachikwa jina Padre anaapa kuishi bila kuoa kwa sababu ya Mungu mwisho wa siku anaishia kulawiti vijana wa altareni. Stupid
Well said, kwa hapa kwetu Afrika kabla wababaishaji waarab na wazungu kuja kutuletea dini zao za mchongo.....kila kabila hapa Tanzania lilikuwa linaamini Mungu kivyao, yaani kulikuwa na viongozi wa kikabila waliochaguliwa kuomba kwa a superior being kwa imani yao ili kuwaletea au kuwafanyia jambo fulani na walikuwa wanafanikiwa. Baada ya Usilam na Ukristu kuja, tukaacha kuabudu imani zetu na kufuata vitu vya hajabu (Uislam na Ukristu) mpaka kufikia kujilaani wenyewe. Kumbuka, kwenye imani zetu tulikuwa hatuui watu wala kubaka na ukifanya hivyo ulikuwa unachukuliwa hatua za kimila ila Uislam na Ukristu kuuana ni jambo la kawaida tena na wakati mwingine Mungu wao alikuwa anawasaidia kuua wakati Mungu huyo huyo anakataza kuua kwenye moja ya amri zake kumi au saba kwenye vitabu vya dini zao. Unapofuata dini za watu unaiga pia mila na tamaduni zao, tuamke Waafrika.Tuchukulie mfano hujawahi sikia habari za mungu wala kusoma chochote kimhusuyo yeye.
Mungu ni nani na yuko wapi?