Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

Kigagula kwenye ubora wako ni lini tanzania ardhi iliisha,najuwa unawatarget waroma kwa hili umenoa we bibi,waambie ndugu zako suruali fupi watafute mapori makubwa nao wayaendeleze kuhusu watu ,ni wao watakavyoweka huduma nzuri nao watu watazifuata hizo huduma.mwanga mkubwa wewe rudisheni hiyo bandari wewe na huyo mwenzako
 
Ardhi hixo ni Mali zao halali.
Mathalani, Wakatoliki wamekuwa wakitwaa ardhi au kununua ardhi ktk maeneo ya vijijini maporini wakati maeneo husika yakiwa bado hayajaendelea vizuri.Wanachukua ardhi kubwa, mji unapokuwa na kuwa Mjini wao tayari wanakuwa wanamiliki ardhi kubwa, wao wanakuwa tayari wameshatangulia kufika na ukuaji wa mji unawafuata nyuma. Hii ndio imekuwa sababu kubwa sana ya Wakatoliki kumiliki ardhi kubwa na prime ktk maeneo mengi ya mijini na vijijini.
 
Ni kwa vile waislamu hawana maeneo makubwa huyu mjinga kaleta udini wake
 
Ni mdini huyu ajuza balaa
 
Sawa. Tuanze na Bakwata kwanza
 
Bakwata waliuza kila kitu palibakia pale Kinondoni tu

Sema tu Shujaa na Makonda waliingilia Kati na kuleta mfadhili wa kujenga Msikiti wangeshapauza!

Kimbweru!
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Itabidi aliyeanzisha mada aanze kuchukua hiyo ardhi. Ili kilemba kimvuke kwanza ndio ajue hajui😂😂😂😂😂😂
 
Achana na huyo ajuza ni sababu ameona misikiti haina naeneo makubwa utadhani wao wanazuiwa kununua.
 
Wewe bibi safari hii utaongea kila lugha.....nani aliwaambia Bakwata wauze ya kwao?...anzia pale kwenye msikiti wenu wa kinondoni...Bakwata & phantom
 
Wewe bibi safari hii utaongea kila lugha.....nani aliwaambia Bakwata wauze ya kwao?...anzia pale kwenye msikiti wenu wa kinondoni...Bakwata & phantom
Wewe ajuza huna akili udini umekujaa, peleka hoja zako za kijinga huko
Tatizo kubwa kwa upande wa taasisi za dini za kwa mleta mada (Faiza Fox) kukosa kumiliki maeneo mengi au ardhi kubwa ni kutokana na ukosefu wa elimu dunia kiasi cha kuwafanya wasiwe na muono wa kuweza kuona mbali kifikra.
Waliosema "elimu ni ufunguo wa maisha" hawakukosea kabisa.
 
Tuanze na ardhi ya Tanganyika, hekta 6000+ zinazomilikiwa na smz tangu 1970+ huko Makurunge. How comes nchi jirani inamiliki kipande cha ardhi ndani ya nchi nyingine.
 
Tuanze na ardhi ya Tanganyika, hekta 6000+ zinazomilikiwa na smz tangu 1970+ huko Makurunge. How comes nchi jirani inamiliki kipande cha ardhi ndani ya nchi nyingine.
Nchi nyingi za duniani zinamiliki ardhi Tanzania. Hata Tanzania tuna miliki ardhi nchi za nje.

Ni makubaliano ya Kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…