Kwanini Taasisi za kidini zinahodhi maeneo makubwa ya Ardhi Tanzania? Wapewe wananchi

unahitaji heka ngapi ukakosa bibie
 
Waanze serikali wenyewe, mfano chuo cha sokoine Morogoro kina eneo kubwa kati kati ya mji , kwa nini wasiwape raia wakajenga makazi then wao wakaenda maporini huko kuandaa mashamba
 
Jiulize wanaoikataa Dubai isipewe mkataba wa kuwekeza kuendesha baadhi ya gati za bandari ya Dar ambazo zitatuletea maendeleo kwa muda mfupi. Wanalipwa nini?
Hapo ndipo unaponichanganya zaidi. Kwani hii mada inahusu DP World?????????
Aisee pamoja na yote ninayocoment humu sijawahi kuacha kukuheshimu kwa umri na elimu yako ila katika kipindi hiki ukweli ni kuwa umejishusha sana.
Hapa inshu ni maeneo yanayohodhiwa na taasisi za dini. Lakini wewe ukapeleka mawazo ktk DP world. Maana yake umehusisha uwekezaji wa bandari za Tanganyika na masula ya dini.

Ndiyo maana unapowatetea sana waarabu ktk suala la uwekezaji ktk nyuzi zako, haukai ktk maslahi ya taifa kama taifa wewe unawaza dini ya wawekezaji. Hapa ndipo tunapofeli.

Hili suala linatugawa sana.
 
Waanze serikali wenyewe, mfano chuo cha sokoine Morogoro kina eneo kubwa kati kati ya mji , kwa nini wasiwape raia wakajenga makazi then wao wakaenda maporini huko kuandaa mashamba
Pori katikati ya mji ni Muhimu kwa mazingira
 
Ingawa hujataka kutaja taasis ipi lkn tunaelewa unawalenga akina nani. Wee bibi udini utakupindisha mdomo!!
 
Najua unawalengwa RC.
Bakwata hamjazuiwa kumiliki maeneo, kutwa mnavihujumu vya mjini, fungueni macho muwe na maeneo makubwa mfanye miradi ya kusaidia jamii kama shule na vituo vya afya
 
Najua unawalengwa RC.
Bakwata hamjazuiwa kumiliki maeneo, kutwa mnavihujumu vya mjini, fungueni macho muwe na maeneo makubwa mfanye miradi ya kusaidia jamii kama shule na vituo vya afya
Kwanini?
 
Ingawa hujataka kutaja taasis ipi lkn tunaelewa unawalenga akina nani. Wee bibi udini utakupindisha mdomo!!
"udini" ulete wewe, majnga yanikumbe mimi. Kwanini ufikirie hivyo?

Hii ni honest opinion.
 
Wewe unadhani Tanganyika ni kama Zanzibar. Zanzibar, ukubwa wa eneo lake lote ni dogo kuliko eneo la wilaya moja tu ya Sengerema, mkoani Mwanza.

Mimi ni eneo la ekari 700, na hata ningetaka ekari 1,000 ningezipata. Kampuni ambayo napakana nayo, ina eneo la ukubwa wa ekari laki 3. Wenzangu wengine kwa karibu wana ekari 1,000 - 3,000.

Hizo taasisi za dini, ebu taja hata moja tu ambayo inamiliki hata ekari 300 sehemu moja.

Huku kwetu Tanganyika tatizo letu siyo ardhi bali matumizi ya ardhi.
 
Sure
 
Waislamu wakipata kaswende au UTI ni kiguu na njia hadi hospitali za «masista». Mtoto akiumwa ni hospitali za parokia. Dispensary, hospitali, day care, shule, vyuo, vinahitaji maeneo makubwa. Ungeanza na kutufahamisha ni vigezo gani vya kisheria vilivyotumika kuwapa ardhi taasisi za dini, halafu ndiyo ungejenga hoja kulingana na hivyo vigezo.
 
Kanisa katoliki ndo linaongoza kuwa na maeneo makubwa ya ardhi, hii inatokana na mipango yake ya baadae kuchenga vyuo vikuu, mahosptali, makanisa, mashule n.k
 
Kwani raia wanapovamia maeneo ya jeshi au ardhi za wawekezaji au watu wengine, ardhi sehemu zingine inakuwa imekwisha?
Fikra hasi kabisa. Kwa hiyo vibaka wakija nyumbani kwako wakavamia hilo eneo la kijumba chako, tuligawe kwa hao vibaka?
 
Usijifananishe na uchawi wa Ronaldinho, huu wako ni uchawi wa roho mbaya, unayeumizwa na mafanikio ya wengine.
Watu wa namna hiyo, ni uzao wa ibilisi. Ibilisi hataki mafanikio ya mwanadamu. Anafanya kila jitihada awaangushe ili wawe mali ya shetani.
 
Fikra hasi kabisa. Kwa hiyo vibaka wakija nyumbani kwako wakavamia hilo eneo la kijumba chako, tuligawe kwa hao vibaka?
Upo out of topic kabisa.

Ushauri wangu umelenga kutatutuwa taizo la uvamizi wa ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…