Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

Acha wahuni wapige hela. Maza si anacheka cheka tu
 
Unanunua simu laki tano ikiaribika unaitengeneza kwa laki nne na....aiseee ina mahana aoni askihi ahambiwi
 
Imauma sana,leo unabiwa 7.5 bil,jana tril 4 kubadili nyaya za umeme nchi nzima,zote hizo zinaenda nje ya nchi.
Tuliona 1.3 ilivyochangamsha nchi ni kwa vile iliingia ndani sasa sisi tunatoa tu.
 
Gharama kubwa utasema wanaenda kukarabati ikulu ya magogoni sio kivuko
 
Hakuna cha magufuli au nani ila hili swala limekaa hivyo kabisa. Hizo pesa unapata karibu kivuko kipya. Naona kuna mtu anafungu lake kwenda iyo kampuni ya kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…