Mzalendo120
JF-Expert Member
- Jul 2, 2022
- 1,842
- 2,410
Ngoja wadau wa katiba mpya waje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha wahuni wapige hela. Maza si anacheka cheka tuWasalaam member wote wa JF!
Kwanza nianzw kuwapa pole wote mliopata na mshangao wa gharama za ukarabati wa ferry yetu wa Mv Magogoni kuwa ni Tsh Billion 7.5 huku gharama za ujenzi wa ferry ile ikiwa mpya mwaka 2009 ulikuwa ni Tsh Billion 8.
View attachment 2519723
Niende kwenye hoja yangu juu ya harufu ya rushwa ninayoiona kwenye issue iliyoteka mirandao ya jamii katika siku ya leo juu ya gharama za ukarabati wa Mv Magogoni.
Gazeti la The Citizens November 09,2022 liliandika habari juu ya PPRA kubatilisha tender iliyokampa ushindi kampuni ya African Marine and General Engineering Company Ltd. Huku mlalamikaji akiwa Kampuni ya Songoro Marine ambaye alifungua shauri hilo PPRA kwa kuilalamikia TEMESA kwa kuto mtendea haki katika ushindani na PPRA alikubaliana na Songoro Marine na hatimae kubatilisha ushindi wa kampuni ya African Marine and General Engineering Company Ltd. Na kuagiza mchakato uanze tena upya.
Ajabu mda uliotolewa maamuzi na PPRA mpaka kufikia leo ni kweli Temesa ilishatangaza tender tena na kupata mshindi yuleyule African Marine and General Engineering Company Ltd. Na kwa gharama zilezile ambazo walishindwa mwanzo?
View attachment 2519729
Ni kweli Songoro Marine ambae alijenga hiki kivuko kwa Gharama ya Tsh Bilion 8 leo hana sifa ya kukifanyia ukarabati?
PPAA nullifies Sh7.5 billion Mv Magogoni ferry tender
Unanunua simu laki tano ikiaribika unaitengeneza kwa laki nne na....aiseee ina mahana aoni askihi ahambiwiWasalaam member wote wa JF!
Kwanza nianzw kuwapa pole wote mliopata na mshangao wa gharama za ukarabati wa ferry yetu wa Mv Magogoni kuwa ni Tsh Billion 7.5 huku gharama za ujenzi wa ferry ile ikiwa mpya mwaka 2009 ulikuwa ni Tsh Billion 8.
View attachment 2519723
Niende kwenye hoja yangu juu ya harufu ya rushwa ninayoiona kwenye issue iliyoteka mirandao ya jamii katika siku ya leo juu ya gharama za ukarabati wa Mv Magogoni.
Gazeti la The Citizens November 09,2022 liliandika habari juu ya PPRA kubatilisha tender iliyokampa ushindi kampuni ya African Marine and General Engineering Company Ltd. Huku mlalamikaji akiwa Kampuni ya Songoro Marine ambaye alifungua shauri hilo PPRA kwa kuilalamikia TEMESA kwa kuto mtendea haki katika ushindani na PPRA alikubaliana na Songoro Marine na hatimae kubatilisha ushindi wa kampuni ya African Marine and General Engineering Company Ltd. Na kuagiza mchakato uanze tena upya.
Ajabu mda uliotolewa maamuzi na PPRA mpaka kufikia leo ni kweli Temesa ilishatangaza tender tena na kupata mshindi yuleyule African Marine and General Engineering Company Ltd. Na kwa gharama zilezile ambazo walishindwa mwanzo?
View attachment 2519729
Ni kweli Songoro Marine ambae alijenga hiki kivuko kwa Gharama ya Tsh Bilion 8 leo hana sifa ya kukifanyia ukarabati?
PPAA nullifies Sh7.5 billion Mv Magogoni ferry tender
Biloko ya moto papaa, nguvu ya mamba iko ku mayi kumuchanga ni kuburura tu.Njo vile ,nguvu moya ,utajua haujui.
Sehemu yenyewe ni sisi watanzania wenyewe.Kuna shida sehemu.
Mahana aoni askihi ahambwi, duh.Unanunua simu laki tano ikiaribika unaitengeneza kwa laki nne na....aiseee ina mahana aoni askihi ahambiwi
Hii ni pidgin ya kiswahili na lugha gani nyingine?Mahana aoni askihi ahambwi, duh.
Upumbavu wako wewe ni wa ukoo,ndio maana hatuwezi kukushashaa,