Wakikuelewa utuambie na sisi tunataka kujiunga,ila ofisi Kwa Sasa nasikia zipo Burundi,yakweli haya🤔Nahitaji kuwa mwanachama/ kada wa hicho chama! Ila watoe hiyo picha ya JPM kwenye tshirt. Inaonesha upendeleo fulani. picha ya taifa Tz.
Nchi kwanza!
Wahuni hawa na mwenzake Suzy Elias !Ameenda kuzindua umoja party 🤔
Kawaida yao kuwaabudu binadamu na kuwachukulia Kama Mungu!Kwani wakimuenzi wewe na wenzako mnawashwa nini?
Nyinyi nao si mnamuenzi mlambisha Asali!
Hilo jina nakuapia haliwezi kumpa mtu uraisi kabisa labda kijijini kwako tu!Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 20225.
Japo kwa hao sidhani 😂😂😂, siwaoni wakiwa makini.
Huo mwaka kweli Magufuli atakuwa bado hajasahaulika mkuu?Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 20225.
Japo kwa hao sidhani [emoji23][emoji23][emoji23], siwaoni wakiwa makini.
Mwenye KATIBA ya UMOJA PARTY tafadhali.Huo mwaka kweli Magufuli atakuwa bado hajasahaulika mkuu?
Yaani upate urais kwa sababu ya kumuunga jiwe aliyekuwa muuaji, fisadi mwongo na katili? [emoji848][emoji848][emoji848]Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 20225.
Japo kwa hao sidhani [emoji23][emoji23][emoji23], siwaoni wakiwa makini.
Hamkani ila anasema ukweli tupu, tatizo nyie mnapenda kila wakati kuambiwa uongo na ndiyo maana Jiwe alitembelea kwenye uongo mnaopenda kuusikia. Ili lilinfanya awe anapika data mpaka akawa baba wa uongo.Ni kweli, jina la Dkt Magufuli linauzika. Sijui Mama Samia atasemaje maana ana mkana wazi wazi
Bila shaka na hapo ndipo wanapojenga kaburi lingine bila kujijuwa.Namaanisha kuna wananchi wanaohama chama kwakuwa kuna kipya wakafata,wengine hufata sera na itikadi.Sasa unapoweka picha unawakwaza waliyokuwa hawamkubali hawatajiunga.Mdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
Kuna vichaa pia wanajua kusoma na kuandika,kama wewe hivi,Ofisi zipo Bujumbura na Chato. Ofisi ndogo Kigali nenda tu
Jamaa ni wakakamavu Sana!! asante Sana naombeni kadi kabisa!!!Mdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
Muda ukifika, watajua kuwa watu si wajinga kama enzi hizo.Kwahiyo hao umoja party walikuwa wakifurahishwa na kuunga mkono ukatili, wizi na dhulma dhidi ya raia uliokuwa ukifanyika wakati wa Magufuli kupitia kwa watendaji wake kina Makonda,Sabaya,Mnyeti na wengineo!
Soma KATIBA kwanza kabla ya Kuomba kadi ndugu.Jamaa ni wakakamavu Sana!! asante Sana naombeni kadi kabisa!!!
Mdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?..
Kiongozi wa hiki chama yoyote tuwasiliane nataka tushirikiane kukijenga hiki chama hapa mkoa wa mwanza..0757415111.Mdada wa Umoja party;
View attachment 2192814
Kada wa umoja party
View attachment 2192816
Hiki chama ni cha wafuasi wa hayati JPM?
ACT hakuna chama hapo. Usijitoe ufahamu.Binafdi nafikiri vyama vingebakia CCM, CHADEMA NA ACT. HIVYO VIDOGOVIDOGO VYOTE VIJIUNGE NA HIVI VIJIONAVYO VIKUBWA
Na hao walikufa Moshi wakiamuabudu Mwamposya ulikuwa hujazaliwa ?Kawaida yao kuwaabudu binadamu na kuwachukulia Kama Mungu!
Si umeona wanavyomuona kichaa Zumaridi Kama Mungu kule Mwanza?