Kwanini Umoja Party wanaweka picha ya Hayati Magufuli kwenye tisheti zao?

Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 20225.
Japo kwa hao sidhani [emoji23][emoji23][emoji23], siwaoni wakiwa makini.
Ni miaka mingapi mpaka kufikia mwaka ulionandika?
 
Hawa 2025 wanachukua $$$$

Hahaha

Ova
 
Nonsense
Yule mharibifu angekuwa anakubalika asingeiba uchaguzi wa 2020 waziwazi vile
Hivi nyinyi mna nini vichwani mwenu
Mtu alikuwa anaiharibu nchi waziwazi mnamuona wa maana?
Kama urais 20225 watapata kama ulivyoandika!
Unanikaripia bure sihusiki mkuu...
 
Mtu yoyote makini...
Akichanga karata zake vizuri, Jina la Magu linampa uraisi 2025.
Japo kwa hao sidhani πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, siwaoni wakiwa makini.
Baba mwenye legacy yake alitaka kuisafiria 2020, alipoona meli inataka kuzama akatoa amri Kwa kila kikapu Cha kura kichukuliwe na kubadilishwa!! Kama yeye hakujiamini ni nani atathubutu kujiaminisha na legacy inayokaribia kuzama!?
 
Hiyo picha itawaletea matatizo hatutaki vyama vya kikabila sisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…