Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Heshima kwenu wanajamvi,

Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.

Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.

Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.

Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.

Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.

Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.

Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Mimi napita tu wanajamvi
 
Wewe una chuki sana na wazanzibar! Hakuna linaloamriwa bila kupita kwenye baraza la mawaziri ambalo limejaa wabara.
Epuka ubaguzi na mwache mama apige kazi. Mbara wenu Magufuli aliwaua na kuwafunga gerezani mkawa kimya.
Huyu mama mdemokrasia wa lweli kawapa fursa ya kusema ndo mnaropokea hadi mnamtovukia adabu.
Kuweni waungwana basi.
 
Back
Top Bottom