Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

Kawapa wageni au kawapa ndugu zake?. Tenda ya kubinafusisha bndari ilitangazwa wapi??
Kuna uzi uliandikwa tokea November 2022 niliusoma juzi hapa kuhusu bandari kubinafsishwa. Sisi watanzania tupo bizi sana na Yanga na Simba, lakini mambo ya nchi hatupo serious kabisa.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.

Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.

Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.

Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.

Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.

Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.

Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
 
Wazanzibar wamegundua kuwa Watanganyika wote waliopo kwenye nafasi za uongozi wote ni sample ya Msukuma akili hazimo kabisa.Ndio maana unaona wazanzibar sasa wanauza bandari yetu Viongozi wote wa TANGANYIKA waliopo kwenye serikali hii wameridhia AKILI HAKUNA.
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.

Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.

Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.

Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.

Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.

Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.

Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Kwa sababu ya ujinga wetu huku bara.

Inatakiwa tuwe naserikali ya Tanganyika wangeuzaje ardhi yetu, kukosa serikali yetu hapo nfipo wanakopitia kutumaliza mkuu.
 
Kuna mchuano mkali unaoendelea baina ya Tanzania na mtangulizi wake Tanganyika. Mchuano huu mustakabali wake sifahamu utaishia wapi.

Swala la ama kukodishwa au la kwa Bandari kwa DP World ya Dubai na serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania umeuchagiza jambo hili huku wanaolaumu wakisema loh wazanzibari wameuza bandari ya Tanganyika.

Lengo la andiko hili sio kuzungumzia Muungano wa Unguja na Tanganyika.

Sote ni mashahidi au tunafahamu Bandari letu lina matatizo makubwa ya kiutendaji na kukosekana ufanisi. Hilo,, sote tunakubaliana. Tusichokubaliana ni namna gani tupate ufumbuzi wa kero hili la Bandari.

Je tuukodishe? Au tuendelee na hali hii kwa kuamini tutafika tu? Kuna uwezekano wa kuuuza kweli au ndio proganda? Tujiulize tatizo nini maana waendeshaji ni ndugu zetu kwani uzawa hautoshi? Je ni bora kuwekeana mkataba na mgeni ila ufanizi upatikane au tuendelea kula supu nyama ziko chini
 
Heshima kwenu wanajamvi,

Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.

Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.

Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.

Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.

Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.

Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.

Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira

Kisa mwekezaji ni mwarabu na ni muislamu, mbona wazungu na wachina kila leo wanapewa hampigi kelele!! Kisa mwarabu na ni muislamu ndio imekua kelele hivyo!! Hebu acheni roho za hivyo, na muache chuki zisizokua na mantiki

ALEYOMBA GEKKE nkoi, mama anaupiga kama MESSI, unalijua hilo?
 
1.Raisi Mzanzibari
2.Waziri wa Wizara ya Bandari Mzanzibari
3.Katibu Mkuu wa wizara ya Bandari Mzanzibari.
4. Mkuu wa Bandari Mzanzibari

Kweli Samia alijiandaa.

Allah amjaalie mama huyu afya njema na umri mrefu wa kuishi

Marais wazuri wanaendelea kuishi na mazuri, na kukumbukwa kwa mazuri waliyotufanyia
1 Mwinyi
2 kikwete
3 samia
 
Wataendelea kuishi tena na tena.
 
Na Mali Za watanganyika usisahau kulisema
 
Attachments

  • C20DEE84-71E1-4AC4-AB57-2220583A7377.jpeg
    C20DEE84-71E1-4AC4-AB57-2220583A7377.jpeg
    140.9 KB · Views: 6
1.Raisi Mzanzibari
2.Waziri wa Wizara ya Bandari Mzanzibari
3.Katibu Mkuu wa wizara ya Bandari Mzanzibari.
4. Mkuu wa Bandari Mzanzibari

Kweli Samia alijiandaa.
Kama ndio hivi punde si punde Sam 💯 itabidi akaongoza maraika huko.
 
Back
Top Bottom