Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 9,524
- 13,682
Soma ndugu yangu utaona mengi halafu utasononeka kwa hasira!Sijausoma mkataba wa bandari hapo sijui mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma ndugu yangu utaona mengi halafu utasononeka kwa hasira!Sijausoma mkataba wa bandari hapo sijui mkuu
Mnapokosa hoja mnakuja na chuki za kipuuzi kama huu uzi. Mnachosahau ni ukweli kwamba hayati JPM ndiye aliyekarabati bandari zote.Rais Samia alianza kufanya mabadiliko ya uongozi kwa mbinu za hali ya juu ili kufanikisha mauzo ya sehemu nyeti za kiuchumi mara baada ya kuchukua hatamu za uongozi wa nchi. Na sasa umefika wakati wa kutekeleza nia yake ovu kwa Tanganyika.
Alimteua Mzanzibari kuwa mkurugenzi mkuu wa bandari. Akamteua Mzanzibari kuwa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi. Akamteua Mzanzibari Prof. Mbarawa kuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano. Hapo tayari ana timu kamili isiyoweza kumwekea pingamizi katika kufanikisha mambo yake.
Baada ya ziara yake katika nchi za kiarabu matunda yake ndiyo haya ya kuingia makubaliano yasiyo na kikomo ya kuuza bandari zetu. Makubaliano ambayo yanavunja kabisa mambo ya msingi ya Muungano. Kwamba kuanza sasa bandari iliyokuwa jambo la muungano sasa limeondolewa na bandari za Zanzibar si za muungano tena. Kwamba kuanza sasa hatuna usemi tena katika ardhi yetu ambayo DP World watapewa kwa shughuli za bandari zikiwemo bandari kavu. Kwamba sasa hatuwezi kuingia mikataba mingine yo yote ya kimataifa kuhusu bandari zetu bila kibali cha serikali ya Dubai. Na mengine mengi!
Jamani hii nchi haijaanza kuuzwa tu au mpaka Rais wa nchi naye awe Mwarabu?
Tujitafakari!
Nimekuwa nikisema hili muda mrefu sana .Brother kama umeliona linawexa kutusaidia ni mwanzo mzuri ... hakua na mtazamo huu hapo awali ivyo ni hatua nzuri
Wasi wasi wangu ni kutokea mageuzi yatakayo mwaga damu wakati tunanafasi ya kufanya with peaceful weatherNimekuwa nikisema hili muda mrefu sana .
Watanzania bado hawako tayari kuwa na katiba mpya.
Muda ukifika itakuja tu yenyewe.
Sasa mkuu kwa hali hii ukisema ije mpya si itakuwa balaa.
Kama watu wamekaa kimya na kuridhia vifungu vya aibu kabisa hiyo katiba si itakua zaidi??
Bora tuendelee na hii hii mpaka hapo raia watakapokua na uwezo wa kufikiri sawa ili tuandike katiba nzuri na inayotekelezeka.
Vyombo vya dola vya nchi hii ni sehemu ya wizi wa kura unaoendelea kwenye chaguzi zetu. Na wananchi ni waoga kulinda haki yao hasa silaha za moto zinapotumika dhidi yao.Kwa kifupi watanganyika amesha chafukwa akifanya hivyo polisi hawatatosha.
Siyo kuiba bali kuifilisi nchi yetuVz
Ccm ni janga inampa nafasi kila aina ya mwizi kuiba kwa staili yake
TanzaWasi wasi wangu ni kutokea mageuzi yatakayo mwaga damu wakati tunanafasi ya kufanya with peaceful weather
Tanzania tuna historia ya kufanya mambo yetu kwa amani kabisa.Wasi wasi wangu ni kutokea mageuzi yatakayo mwaga damu wakati tunanafasi ya kufanya with peaceful weather
usimamizi mbovu kuchekeana na kujuana kazini ndo matatizo yote watu kama kina JPM wanaitwa madikteta.Tatizo sio Samia tatizo sisi watanzania wizi balaa.
Unakumbuka Magufuli alipo ingia madarakani kaanza kwenda Bandarini unajua kwanini??.
Watanzania wizi kwanza maendeleo baadae mama Samia kaona awape wageni faida ataiona kuliko wazawa hakuna kinacho patikana.
Kuna supermarket imefungwa Tanzania kwa wizi lakini Kenya ipo. Na wenyewe wanasema Tanzania wizi wengi sana.
kwaio ao DP wamechukua bandari zote za US au Uingereza.?Kuna chawa wanasema DP world wamenunua pia canada, USA, Germany sijui na wapi, kwa hiyo sisi siyo wa kwanza kuingia mkenge.
Ila tusisubiri yaharibike zaidi mkada amkeni hukoTanza
Tanzania tuna historia ya kufanya mambo yetu kwa amani kabisa.
Ila kama watawala Wataendelea kushupaza shingo kwa muda mrefu
Ugumu lazima utakuwepo.
Na hii itasababishwa na gepu kubwa baina ya walio nacho na wasiokua nacho.
Ugumu wa maisha utaondoa uvumilivu.
Kwa manufaa ya uma.Ila tusisubiri yaharibike zaidi mkada amkeni huko
Sawa chawaNyamaza kimya hujui kitu. Tutaanza kuwashughulikia mnaleta kiherehere maana tumewachoka, kila kukicha uzanzibari etc. Sisi Chawa tunasema muacheni mama atakelezw ilani ya CCM, awatumikie watanzania. It is better to do something rather than nothing. Tutamshukuru miaka inayokuja kwa saaa nyie vipofu hamuwezi ona.
Tuwape mda sisi zaidi ya ngono kipi tunawezaYan huyu mama yeye na wabunge wake na kale kadada kalikokauka na walaaniwe na uzao wao wotee kwa Jina la Yesu
Your right brotherKwa manufaa ya uma.
Tuache kwanza mchakato huo.
Vitapitishwa vitu vya ajabu tulaumiane miaka mingi ijayo.
Ndio, Samia tatizo, CCM tatizo, lakini sisi raia pia tatizo kubwa zaidi.CCM ni tatizo lakini Samia ni tatizo zaidi. Yeye kuwa na wajomba zake wa kiarabu kunawafanya waarabu kumuingia kwa urahisi na kuanza kujadiliana namna rahisi ya kukwapua rasilimali za Tanganyika.
Huyu mwanamke ni 'cunning' sana, 'manipulator' wa hali ya juu kabisa.Samia ni mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo, tuendelee kupaza sauti ili ikiwezekana Mungu aingilie kati
I feel your/our pain brother.Ubinafsi unatumaliza.
Mtu anaweka katika mzani ;
Manufaa yake na familia yake au wananchi ambao hana undugu nao??
Binadamu tumekua wabinafsi mno.