Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Hio ilikua kwa makada wa kale enzi za Nyerere ya sasa m/kiti mungu anastahili sifa tuuKada yeyote anatakiwa kusema ukweli at any cost.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio ilikua kwa makada wa kale enzi za Nyerere ya sasa m/kiti mungu anastahili sifa tuuKada yeyote anatakiwa kusema ukweli at any cost.
Hakuna anayetaka hisani ya Mzanzibari, muungano upo kwa shuruti zaidi kuliko matakwa ya wananchi wa hizi pande mbili. Muungano unaolindwa kwa mtutu wa bunduki huo sio muungano bali uhuni. Muungano ambao miaka yote kero haziishii huo sio muungano.Mnataka kuharibu Muungano. Rais Samia anafanya vitu kwa ajili ya watanganyika then ninyi mnaanza kuleta ubaguzi. Mbona mpo hivyo???
Mungu yupo hawezi kutuacha tukiangamia watu wake kutokana na tamaa za wachache
Hiyo ipo kimadharia zaidi kuliko kiuhalisia. Kamuulize Ndugai kuhusu kusema ukweli ndani ya CCM.Kada yeyote anatakiwa kusema ukweli at any cost.
Mkuu hata kwenye chaguzi zetu kuna wizi mkubwa sana wa kura, je tubinafshe tume ya uchaguzi? Na kwenye mahakama zetu tatizo ni hilo hilo la rushwa. Je mahakama zetu tunabinafsisha lini na kwa mwarabu wa wapi ili kupata ufanisi?Kuna wizi mkubwa sana sehemu za serikali hasahasa Bandarini wale jamaa wa TRA wana kuuliza unataka kulipa kodi au tupe chetu upitishe mali yako.
kwa iyo mhehe Mbosa mkurugenzi wa Bandari saivi kawa Mzanzibari? kweli afya ya akili ni tatizo TanzaniaRais Samia alianza kufanya mabadiliko ya uongozi kwa mbinu za hali ya juu ili kufanikisha mauzo ya sehemu nyeti za kiuchumi mara baada ya kuchukua hatamu za uongozi wa nchi. Na sasa umefika wakati wa kutekeleza nia yake ovu kwa Tanganyika.
Alimteua Mzanzibari kuwa mkurugenzi mkuu wa bandari. Akamteua Mzanzibari kuwa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi. Akamteua Mzanzibari Prof. Mbarawa kuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano. Hapo tayari ana timu kamili isiyoweza kumwekea pingamizi katika kufanikisha mambo yake.
Baada ya ziara yake katika nchi za kiarabu matunda yake ndiyo haya ya kuingia makubaliano yasiyo na kikomo ya kuuza bandari zetu. Makubaliano ambayo yanavunja kabisa mambo ya msingi ya Muungano. Kwamba kuanza sasa bandari iliyokuwa jambo la muungano sasa limeondolewa na bandari za Zanzibar si za muungano tena. Kwamba kuanza sasa hatuna usemi tena katika ardhi yetu ambayo DP World watapewa kwa shughuli za bandari zikiwemo bandari kavu. Kwamba sasa hatuwezi kuingia mikataba mingine yo yote ya kimataifa kuhusu bandari zetu bila kibali cha serikali ya Dubai. Na mengine mengi!
Jamani hii nchi haijaanza kuuzwa tu au mpaka Rais wa nchi naye awe Mwarabu?
Tujitafakari!
Majibu ya waziri juu ya muda wa mkataba ni ya kujikanyaga tu!Rais Samia alianza kufanya mabadiliko ya uongozi kwa mbinu za hali ya juu ili kufanikisha mauzo ya sehemu nyeti za kiuchumi mara baada ya kuchukua hatamu za uongozi wa nchi. Na sasa umefika wakati wa kutekeleza nia yake ovu kwa Tanganyika.
Alimteua Mzanzibari kuwa mkurugenzi mkuu wa bandari. Akamteua Mzanzibari kuwa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi. Akamteua Mzanzibari Prof. Mbarawa kuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano. Hapo tayari ana timu kamili isiyoweza kumwekea pingamizi katika kufanikisha mambo yake.
Baada ya ziara yake katika nchi za kiarabu matunda yake ndiyo haya ya kuingia makubaliano yasiyo na kikomo ya kuuza bandari zetu. Makubaliano ambayo yanavunja kabisa mambo ya msingi ya Muungano. Kwamba kuanza sasa bandari iliyokuwa jambo la muungano sasa limeondolewa na bandari za Zanzibar si za muungano tena. Kwamba kuanza sasa hatuna usemi tena katika ardhi yetu ambayo DP World watapewa kwa shughuli za bandari zikiwemo bandari kavu. Kwamba sasa hatuwezi kuingia mikataba mingine yo yote ya kimataifa kuhusu bandari zetu bila kibali cha serikali ya Dubai. Na mengine mengi!
Jamani hii nchi haijaanza kuuzwa tu au mpaka Rais wa nchi naye awe Mwarabu?
Tujitafakari!
Wabunge wanawaza uwaziri tu na future ya familia zao.Hio ilikua kwa makada wa kale enzi za Nyerere ya sasa m/kiti mungu anastahili sifa tuu
Huyu mzee kiazi kweli shughuli za bandari si zitakwisha bahari ikiwa haipo tena??
Nyamaza kimya hujui kitu. Tutaanza kuwashughulikia mnaleta kiherehere maana tumewachoka, kila kukicha uzanzibari etc. Sisi Chawa tunasema muacheni mama atakelezw ilani ya CCM, awatumikie watanzania. It is better to do something rather than nothing. Tutamshukuru miaka inayokuja kwa saaa nyie vipofu hamuwezi ona.Hakuna anayetaka hisani ya Mzanzibari, muungano upo kwa shuruti zaidi kuliko matakwa ya wananchi wa hizi pande mbili. Muungano unaolindwa kwa mtutu wa bunduki huo sio muungano bali uhuni. Muungano ambao miaka yote kero haziishii huo sio muungano.
Sasa ni muhimu wanachama kuwawajibisha wabunge na mawaziri wenu kwenye kamati zenu za maendeleo na si kuwapa backup kwenye maeneo wanaonesha kutokua na uzalendo.Wabunge wanawaza uwaziri tu na future ya familia zao.
Hakuna anayekumbuka wasiokua nacho.
Hili jambo halina manufaa yeyote kwa mwanchi wa kawaida isipokuwa tu kuongezeka kwa umaskini na kugeuzwa watumwa kwenye nchi yao.
Ameomba maombi magumu.Nimeona tweet moja Facebook ikimuomba Mungu amfufue Magu kisha afe tena na wabunge wake wote.
Watu wamekasirika
Ni hivi, hakuna muungano hapo bali hilo ni changa la macho Nyerere alimpiga Karume. Kama huamini nenda Zanzibar ukagombee uongozi kisha useme ww ni mtanzania. Ukikubaliwa uje unishughulikie vizuri niko hapa.Nyamaza kimya hujui kitu. Tutaanza kuwashughulikia mnaleta kiherehere maana tumewachoka, kila kukicha uzanzibari etc. Sisi Chawa tunasema muacheni mama atakelezw ilani ya CCM, awatumikie watanzania. It is better to do something rather than nothing. Tutamshukuru miaka inayokuja kwa saaa nyie vipofu hamuwezi ona.