Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rais Samia alianza kufanya mabadiliko ya uongozi kwa mbinu za hali ya juu ili kufanikisha mauzo ya sehemu nyeti za kiuchumi mara baada ya kuchukua hatamu za uongozi wa nchi. Na sasa umefika wakati wa kutekeleza nia yake ovu kwa Tanganyika.
Alimteua Mzanzibari kuwa mkurugenzi mkuu wa bandari. Akamteua Mzanzibari kuwa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi. Akamteua Mzanzibari Prof. Mbarawa kuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano. Hapo tayari ana timu kamili isiyoweza kumwekea pingamizi katika kufanikisha mambo yake.
Baada ya ziara yake katika nchi za kiarabu matunda yake ndiyo haya ya kuingia makubaliano yasiyo na kikomo ya kuuza bandari zetu. Makubaliano ambayo yanavunja kabisa mambo ya msingi ya Muungano. Kwamba kuanza sasa bandari iliyokuwa jambo la muungano sasa limeondolewa na bandari za Zanzibar si za muungano tena. Kwamba kuanza sasa hatuna usemi tena katika ardhi yetu ambayo DP World watapewa kwa shughuli za bandari zikiwemo bandari kavu. Kwamba sasa hatuwezi kuingia mikataba mingine yo yote ya kimataifa kuhusu bandari zetu bila kibali cha serikali ya Dubai. Na mengine mengi!
Jamani hii nchi haijaanza kuuzwa tu au mpaka Rais wa nchi naye awe Mwarabu?
Tujitafakari!
Weekend yote hii Sina furaha.
Nimeumizwa sana na Bunge letu
Sina elimu ya Sheria lakini walichotufanyia Iko siku Mungu atawaadhibu tu.
Leo nilikutana na laymen wenzangu na stories ni tumeuzwa, tumeuzwa ,tumeuzwa
Kwa lilie bunge hata mtoto wa darasa la saba angepewa nafasi aulize swali wangeshindwa kumjibu
That woman is evil.
Yaani zimeuzwa bandari zote kwenye bahari na maziwa makuu.
Kuna wizi mkubwa sana sehemu za serikali hasahasa Bandarini wale jamaa wa TRA wana kuuliza unataka kulipa kodi au tupe chetu upitishe mali yako.Hii Kuna mtu Ni cashier so anawaambia ndugu zake waje kununua baadaye kupiga hesabu,vitu vingine ana skip anamuwekea bure.
Yaani mbongo sijui mwafrika anawaza kufanikiwa kwa wizi tu
Ndivyo wanavyojitambulisha wenyewe sisi ni nani tuwapinge!Kwani mzanzibari sio mtanzania?
Hebu tuache haya mambo ya ubaguzi usio na maana
Na bandari haijauzwa, na haiwez kuuzwa,
So punguza presha ya na taharuki
Mkuu muda maalum si ndio huo wa miaka 100?Kama ni hivyo kwa nini asingewakodisha waendeshe bandari kwa muda maalum wakati huo huo tunapata mapato badala ya kuwapa yote yote na ziada ya ardhi kwa muda usiojulikana?
Nyamaza kimya ewe mpotoshaji. Mkataba hauna tatizo!Rais Samia alianza kufanya mabadiliko ya uongozi kwa mbinu za hali ya juu ili kufanikisha mauzo ya sehemu nyeti za kiuchumi mara baada ya kuchukua hatamu za uongozi wa nchi. Na sasa umefika wakati wa kutekeleza nia yake ovu kwa Tanganyika.
Alimteua Mzanzibari kuwa mkurugenzi mkuu wa bandari. Akamteua Mzanzibari kuwa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi. Akamteua Mzanzibari Prof. Mbarawa kuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano. Hapo tayari ana timu kamili isiyoweza kumwekea pingamizi katika kufanikisha mambo yake.
Baada ya ziara yake katika nchi za kiarabu matunda yake ndiyo haya ya kuingia makubaliano yasiyo na kikomo ya kuuza bandari zetu. Makubaliano ambayo yanavunja kabisa mambo ya msingi ya Muungano. Kwamba kuanza sasa bandari iliyokuwa jambo la muungano sasa limeondolewa na bandari za Zanzibar si za muungano tena. Kwamba kuanza sasa hatuna usemi tena katika ardhi yetu ambayo DP World watapewa kwa shughuli za bandari zikiwemo bandari kavu. Kwamba sasa hatuwezi kuingia mikataba mingine yo yote ya kimataifa kuhusu bandari zetu bila kibali cha serikali ya Dubai. Na mengine mengi!
Jamani hii nchi haijaanza kuuzwa tu au mpaka Rais wa nchi naye awe Mwarabu?
Tujitafakari!
Wajinga kama wewe ni janga la Taifa!Nyamaza kimya ewe mpotoshaji. Mkataba hauna tatizo!
Inategemea na mkataba atakao muekezaji na mwenye mali, nakupa mifano ya mikataba ya nyumba za Kariakoo.Kama ni hivyo kwa nini asingewakodisha waendeshe bandari kwa muda maalum wakati huo huo tunapata mapato badala ya kuwapa yote yote na ziada ya ardhi kwa muda usiojulikana?
Kuna mtanganyika na Mzanzibari, huu ndio uhalisia. Huo utanzania upo kiccm zaidi. Kama huamini nenda Zanzibar ukiwa mtanganyika kama utaruhusiwa kugombea uongozi wowote, au kumiliki ardhi.Kwani mzanzibari sio mtanzania?
Hebu tuache haya mambo ya ubaguzi usio na maana
Na bandari haijauzwa, na haiwez kuuzwa,
So punguza presha ya na taharuki
Hakuna mahali miaka 100 imeandikwa!Mkuu muda maalum si ndio huo wa miaka 100?
Huyo ana damu ya waarabu kwa hiyo lazima aturejeshe utumwaniRais Samia alianza kufanya mabadiliko ya uongozi kwa mbinu za hali ya juu ili kufanikisha mauzo ya sehemu nyeti za kiuchumi mara baada ya kuchukua hatamu za uongozi wa nchi. Na sasa umefika wakati wa kutekeleza nia yake ovu kwa Tanganyika.
Alimteua Mzanzibari kuwa mkurugenzi mkuu wa bandari. Akamteua Mzanzibari kuwa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi. Akamteua Mzanzibari Prof. Mbarawa kuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano. Hapo tayari ana timu kamili isiyoweza kumwekea pingamizi katika kufanikisha mambo yake.
Baada ya ziara yake katika nchi za kiarabu matunda yake ndiyo haya ya kuingia makubaliano yasiyo na kikomo ya kuuza bandari zetu. Makubaliano ambayo yanavunja kabisa mambo ya msingi ya Muungano. Kwamba kuanza sasa bandari iliyokuwa jambo la muungano sasa limeondolewa na bandari za Zanzibar si za muungano tena. Kwamba kuanza sasa hatuna usemi tena katika ardhi yetu ambayo DP World watapewa kwa shughuli za bandari zikiwemo bandari kavu. Kwamba sasa hatuwezi kuingia mikataba mingine yo yote ya kimataifa kuhusu bandari zetu bila kibali cha serikali ya Dubai. Na mengine mengi!
Jamani hii nchi haijaanza kuuzwa tu au mpaka Rais wa nchi naye awe Mwarabu?
Tujitafakari!
Kwa hiyo katika uwekezaji unatoa na ardhi kwa muda usiojulikana?Inategemea na mkataba atakao muekezaji na mwenye mali, nakupa mifano ya mikataba ya nyumba za Kariakoo.
1) Mikataba ya nyumba za Kariakoo huja tajiri hujenga nyumba na huchukuwa maduka na flati kadhaa nawe hukupa flati 1 na maduka 3 au 5.
2) Mkataba wa nusu umiliki huu huja tajiri hujenga nyumba na mmiliki hupewa nusu na tajiri huchukuwa nusu.
Narudi kwenye bandari wawekezaji hutumia hela yao kwanza kuweka miundombinu ya kisasa. Wanaleta wafanyakazi wao na usimamizi wao hapo hela yao inakwenda tu. Sasa wakishafungua wanaweka insurance ya bandari(tatizo likitokea wawekezaji ndio hu fix tatizo) kuna mengi tu kwenye mkataba
Rais Samia alianza kufanya mabadiliko ya uongozi kwa mbinu za hali ya juu ili kufanikisha mauzo ya sehemu nyeti za kiuchumi mara baada ya kuchukua hatamu za uongozi wa nchi. Na sasa umefika wakati wa kutekeleza nia yake ovu kwa Tanganyika.
Alimteua Mzanzibari kuwa mkurugenzi mkuu wa bandari. Akamteua Mzanzibari kuwa katibu mkuu wa wizara ya mawasiliano na uchukuzi. Akamteua Mzanzibari Prof. Mbarawa kuwa waziri wa uchukuzi na mawasiliano. Hapo tayari ana timu kamili isiyoweza kumwekea pingamizi katika kufanikisha mambo yake.
Baada ya ziara yake katika nchi za kiarabu matunda yake ndiyo haya ya kuingia makubaliano yasiyo na kikomo ya kuuza bandari zetu. Makubaliano ambayo yanavunja kabisa mambo ya msingi ya Muungano. Kwamba kuanza sasa bandari iliyokuwa jambo la muungano sasa limeondolewa na bandari za Zanzibar si za muungano tena. Kwamba kuanza sasa hatuna usemi tena katika ardhi yetu ambayo DP World watapewa kwa shughuli za bandari zikiwemo bandari kavu. Kwamba sasa hatuwezi kuingia mikataba mingine yo yote ya kimataifa kuhusu bandari zetu bila kibali cha serikali ya Dubai. Na mengine mengi!
Jamani hii nchi haijaanza kuuzwa tu au mpaka Rais wa nchi naye awe Mwarabu?
Tujitafakari!
Huu utetezi wako naufananisha na ule utetezi wa wakati wa gas ya Mtwara. Porojo zilikuwa nyingi na utetezi kama huu huu wa sasa. Baadaye Magufuli akawa anaongea kinyonge kuwa gas sio yetu bali imeuzwa na wajanja! Akaamua kuachana na umeme wa gas akawekeza kwenye umeme wa maji. Ni vyema ukakaa kimya boss, maana tuna uzoefu na hii mikataba ya siri ambayo mingi ni kichaka cha wizi.Why unahisi bandari imeuzwa? Kwa fact gani?
Mnataka kuharibu Muungano. Rais Samia anafanya vitu kwa ajili ya watanganyika then ninyi mnaanza kuleta ubaguzi. Mbona mpo hivyo???Wajinga kama wewe ni janga la Taifa!
Umeona mkataba boss?Hakuna mahali miaka 100 imeandikwa!
Kama alichokifanya ni kizuri basi na bandari za zanzibar zingekuwepo kwenye mkataba ,acha uchawa wakipumbavu.Mnataka kuharibu Muungano. Rais Samia anafanya vitu kwa ajili ya watanganyika then ninyi mnaanza kuleta ubaguzi. Mbona mpo hivyo???