Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UongoEndelea kubisha,na mgodi nafikiri walishauza wakaondoka
Nimeona tweet moja Facebook ikimuomba Mungu amfufue Magu kisha afe tena na wabunge wake wote.Weekend yote hii Sina furaha.
Nimeumizwa sana na Bunge letu
Sina elimu ya Sheria lakini walichotufanyia Iko siku Mungu atawaadhibu tu.
Leo nilikutana na laymen wenzangu na stories ni tumeuzwa, tumeuzwa ,tumeuzwa
Kwa lilie bunge hata mtoto wa darasa la saba angepewa nafasi aulize swali wangeshindwa kumjibu
Hivi tatizo Samia au ccm?. Subiri 2025 upewe flana na kofia na pilau tu.Samia ni mbwa mwitu katika ngozi ya kondoo, tuendelee kupaza sauti ili ikiwezekana Mungu aingilie kati
Ccm ni janga inampa nafasi kila aina ya mwizi kuiba kwa staili yakeHivi tatizo Samia au ccm?. Subiri 2025 upewe flana na kofia na pilau tu.
CCM ni tatizo lakini Samia ni tatizo zaidi. Yeye kuwa na wajomba zake wa kiarabu kunawafanya waarabu kumuingia kwa urahisi na kuanza kujadiliana namna rahisi ya kukwapua rasilimali za Tanganyika.Hivi tatizo Samia au ccm?. Subiri 2025 upewe flana na kofia na pilau tu.
Tatizo sio Samia tatizo sisi watanzania wizi balaa.CCM ni tatizo lakini Samia ni tatizo zaidi. Yeye kuwa na wajomba zake wa kiarabu kunawafanya waarabu kumuingia kwa urahisi na kuanza kujadiliana namna rahisi ya kukwapua rasilimali za Tanganyika.
Ccm mbele kwa mbeleeeee😂That woman is evil.
Yaani zimeuzwa bandari zote kwenye bahari na maziwa makuu.
Brother nashkuru sasa umeacha ukada umevaa uzalendo🤜That woman is evil.
Yaani zimeuzwa bandari zote kwenye bahari na maziwa makuu.
Hii Kuna mtu Ni cashier so anawaambia ndugu zake waje kununua baadaye kupiga hesabu,vitu vingine ana skip anamuwekea bure.supermarket imefungwa Tanzania kwa wizi lakini Kenya ipo. Na wenyewe wanasema Tanzania wizi wengi sana
Kama ni hivyo kwa nini asingewakodisha waendeshe bandari kwa muda maalum wakati huo huo tunapata mapato badala ya kuwapa yote yote na ziada ya ardhi kwa muda usiojulikana?Tatizo sio Samia tatizo sisi watanzania wizi balaa.
Unakumbuka Magufuli alipo ingia madarakani kaanza kwenda Bandarini unajua kwanini??.
Watanzania wizi kwanza maendeleo baadae mama Samia kaona awape wageni faida ataiona kuliko wazawa hakuna kinacho patikana.
Kuna supermarket imefungwa Tanzania kwa wizi lakini Kenya ipo. Na wenyewe wanasema Tanzania wizi wengi sana.
Kuna tofauti kati ya kada na chawa.Brother nashkuru sasa umeacha ukada umevaa uzalendo🤜
We haupo hata kwenye ukada maana unamkosoaje m/kiti wako ?? Sio tamaduni ya ccmKuna tofauti kati ya kada na chawa.
Kada yeyote anatakiwa kusema ukweli at any cost.We haupo hata kwenye ukada maana unamkosoaje m/kiti wako ?? Sio tamaduni ya ccm