Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
😅😅Nyie si mlisema Ally Hassan Mwinyi kwao Tabora mnyamwezi wa Mboka?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😅😅Nyie si mlisema Ally Hassan Mwinyi kwao Tabora mnyamwezi wa Mboka?
Sumu ya ubaguzi wanaipanda wenyewe.Hivi unajua zipo asilimia 30 ya ajira kwaajili wa waZanzibar katika taasisi zote za muungano.Acheni sumu ya ubaguzi, mnapanda kitu kibaya sana. Kilicho binafsidpshwa ni uendeshaji na siyo ardhi wala bandari yenyewe.
Hao bandari hawana huwezo wa kuendesha, tumejaza majitu yenye mavitambi ila kichwani akili ni kama kisodaSasa kama mtu anaendesha kwa miaka 99 kuna tofauti gani na kuuza?
waajiriwe tu si watanzania wenzetuSumu ya ubaguzi wanaipanda wenyewe.Hivi unajua zipo asilimia 30 ya ajira kwaajili wa waZanzibar katika taasisi zote za muungano.
Huyu Mama akipewa miaka 5 tena tatizo la ajira Zanzibar litakuwa limemalizia.Fikiri wizara ya ULINZI JWTZ,wizara ya Mambo ya ndani Polisi,uhamiaji,magereza.....Taasisi kama BOT,TRA..... Watanganyika ni 59 million dhidi ya 1,8 million hapo uswa upo.
Na sasa wanaifanya TANGANYIKA landlocked country !!!!!.
Na hili ndo tatizo la watanganyika.Kwenda zaka hukoo, usiongee na mimi
Na wewe umepata mgao wa karamagi wa ticts!?..kwamba uwekezaji huu utaifanya Tanzania kuwa landlocked!?..shule ulienda kunywa kamasi tuSumu ya ubaguzi wanaipanda wenyewe.Hivi unajua zipo asilimia 30 ya ajira kwaajili wa waZanzibar katika taasisi zote za muungano.
Huyu Mama akipewa miaka 5 tena tatizo la ajira Zanzibar litakuwa limemalizia.Fikiri wizara ya ULINZI JWTZ,wizara ya Mambo ya ndani Polisi,uhamiaji,magereza.....Taasisi kama BOT,TRA..... Watanganyika ni 59 million dhidi ya 1,8 million hapo uswa upo.
Na sasa wanaifanya TANGANYIKA landlocked country !!!!!.
Huyu ni Freeman Mbowe na maoni yake. Mnataka kuja na hoja zilizofilisika kwamba Tanganyika inaibiwa na Zanzibar.Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.
Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.
Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.
Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.
Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Hujaleta suluhisho la kudumu sana sana umeimsha chuki ya ndani ya moyo wako.Walianza na Liliondo washenzy sana hao, kuanzia sasa ni marufuku rais kutoka Zanzibar
Ukishauza Bandari zote,maana yake umeshatawaliwa.
Huna uwezo wa kuagiza Chakula Wala silaha wakati wa Vita.
Wao wanafanyaje wasiwe na chogo.Lakini ukienda kwao wanakwambia wewe ni CHOGO MTANGANYIKA.
Mkataba umesema ni Land Linked😅😅Sumu ya ubaguzi wanaipanda wenyewe.Hivi unajua zipo asilimia 30 ya ajira kwaajili wa waZanzibar katika taasisi zote za muungano.
Huyu Mama akipewa miaka 5 tena tatizo la ajira Zanzibar litakuwa limemalizia.Fikiri wizara ya ULINZI JWTZ,wizara ya Mambo ya ndani Polisi,uhamiaji,magereza.....Taasisi kama BOT,TRA..... Watanganyika ni 59 million dhidi ya 1,8 million hapo uswa upo.
Na sasa wanaifanya TANGANYIKA landlocked country !!!!!.
Kwani mwinyi mzanzibar?Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Hivi kumbe?1. Rais Zanzibar
2. Waziri Zanzibar
3. Katibu Mkuu Zanzibar
Hivi unafikiri hii ni bahati mbaya ?..
Wanaccm tumeng'ang'ania katiba hii ambayo ni vigumu hata chama kuwajibisha viongozi!Heshima kwenu wanajamvi,
Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika.
Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE.
Rais Samia Suluhu Hassan na yeye anauza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa waarabu wa DUBAI huku Bandari za Zanzibar zikisalimika katika uporaji huu uliotukuka.
Ifahamike BANDARI ni suala la MUUNGANO lakini utashangaa suala la kuuza BANDARI zetu zote kuanzia MTWARA, TANGA, BAGAMOYO na Dar limezigusa bandari za TANGANYIKA peke yake huku BANDARI za Zanzibar zikisalika. Ijulikane mapema zoezi hili la uporaji litagusa pia BANDARI zilizoko katika maziwa yetu yote yaani Ziwa Victoria, Nyasa,Tanganyika.
Wahusika wote katika uporaji wa wahusika wakuu ni WAZANZIBAR kwa maana ya RAIS na Waziri.
Kwa hakika suala la katiba mpya sasa haliepukiki.
Ngongo kwa sasa safari Dubai - Deira
Mkuu jiangalie sana kauli zakoHawa mbwa hili tumekataa na kinachofuata ni kumzika mtu ni suala la muda mchache tu, usikute ndiomana Membe alikufa ghafla