Kingfish23
JF-Expert Member
- Aug 22, 2022
- 490
- 485
Binafsi nilifika Kagera shule ziko nyingi kuliko wanafunzi, hospitali nyingi Sasa sijaelewa umasikini ni kukosa huduma za kijamii au kitu gani maana jamaa Kila huduma ya kijamii wanazo kuliko wengineStori bila statistics ni porojo.
Chanzo cha stori yako ni kipi!
Maendeleo gani unazungumzia?
Ukisema maendeleo una maana gani
Maendeleo katika nyanda zipi?
MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
AbsolutelyElimu siyo pesa kama tunavyoaminishwa
Akili ndiyo pesa mkuu
Kuna chuki Gani ameonesha hapo,,Kagera ni mkoa wa pili Kwa umaskini TZStori bila statistics ni porojo.
Chanzo cha stori yako ni kipi!
Maendeleo gani unazungumzia?
Ukisema maendeleo una maana gani
Maendeleo katika nyanda zipi?
MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
Wanapenda mambo ya shobo na wanoko sana na kupenda kuongoza wenzao ,kufanya kazi hawana maajabu washamba tu wavivu kupenda shortcut.Hawa jamaa wa ovyo sanaaa...Kuna mchongo nilipewa wa kwenda seminar wik Moja na kutakoa na mzigo wa maana...yule choko sijui alienda kuongea Nini na boss...nashangaa ndo kapangwa kuenda yeye wkat before aliniita na kunambia kuwa nitakupa barua ya kwenda kweny seminar...
Anajitaa Mhaya huku kila siku kuchambua mambo ya dini ni mshamba hana uelewa.Nani....Britanica au Gentamycin?
Wanapenda sana ShortcutWanapenda mambo ya shobo na wanoko sana na kupenda kuongoza wenzao ,kufanya kazi hawana maajabu washamba tu wavivu kupenda shortcut.
Umeishawahi kufika bukoba? Ukaona Hari ilivyo? richa ya, dar kuwa na ma Pato makubwa, lakini kuna maeneo ukifika, kama Tandale,kawe ukwamani, kuna sura ya, ufukara wa kutisha,Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Ndo asili Yao ubinafsiWamekalia majungu na unafki tu kazin..Hawa jamaa nmetokea kuwachukia sanaa...c Mimi tu,Kuna jamaa angu anafanya nao case zinafanana..hadi nashangaa mzazi wao ni mmoja?
Ndio ndioubinafsi wa wahaya ni ule wa uharibifu......yaani tusipate sote tufanane
Tatizo sifa mingiutumiaji wa akili mdogo😆😆Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Umewaamlia kabisaKwa wote hao walioelimika ni wachache sana.
Wengi wao (majority) wamesoma lakini hawajaelimika.
Walisomea ujinga kwa kiwango kikubwa.
Naona mmekujaStori bila statistics ni porojo.
Chanzo cha stori yako ni kipi!
Maendeleo gani unazungumzia?
Ukisema maendeleo una maana gani
Maendeleo katika nyanda zipi?
MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
Mlikutana wote mpo motoNiliishi na wahaya , walinirudisha nyuma, cz wao wanapenda kuwaweka wenzao chini, they made me feel down. Lakini I never belonged to them. I thank God I am above them.
Sijui kwanini pale Kariakoo zamani kuna mtaa tulikuwa tunakatazwa kabisa kupita, Morogoro Road kule karibu na jengo la vijana, tunaambiwa "msipite huko kwa wahaya aibu".
Sifahamu kwanini ilikuwa vile. Kuna mwenye kuelewa?