BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
Miaka ile kuanzia kona ya barabara za Lumumba/Morogoro hadi Msimbazi/Morogoro vilikuwa vibanda vya Wahaya kujiuzaSijui kwanini pale Kariakoo zamani kuna mtaa tulikuwa tunakatazwa kabisa kupita, Morogoro Road kule karibu na jengo la vijana, tunaambiwa "msipite huko kwa wahaya aibu".
Sifahamu kwanini ilikuwa vile. Kuna mwenye kuelewa?
Ndugu Kwa ndugu ,duuh,Hawana lolote kazi yao kugongana tu ndugu kwa ndugu ndo maana walituletea ngoma nchini hapa yaani juliana aka HIV.
kinachowaponza wahaya ni kujikweza,,,kinachowapandisha wachagga ni kujishusha!!!!!unaweza kumkuta tajiri wa kichagga anacheza draft,,,lakini tajiri wa kihaya never!!Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Kale kakijiji kao kanawaangusha kanaitwa Katerero.Watu wa Kagera hasa Wahaya, sambamba na Wachaga tunaambiwa elimu ilifika huko mapema kabla ya maeneo mengine nchini.
Tunaambiwa elimu ni ufunguo wa maisha, ila naona huu ufunguo umefanikiwa zaidi kwa wachaga kuliko wahaya.
Chanzo cha tatizo ni nini, hawa watani wangu walikwama wapi?
Ni hayo tu.
Hizi tofauti konk😆kinachowaponza wahaya ni kujikweza,,,kinachowapandisha wachagga ni kujishusha!!!!!unaweza kumkuta tajiri wa kichagga anacheza draft,,,lakini tajiri wa kihaya never!!
Asantekinachowaponza wahaya ni kujikweza,,,kinachowapandisha wachagga ni kujishusha!!!!!unaweza kumkuta tajiri wa kichagga anacheza draft,,,lakini tajiri wa kihaya never!!
Umekosea kuwaunganisha Wakenya humu ungesema Wakenya kabila la WajaluoNatoa mfano mmoja Nina rafiki yangu ni muhaya .Huyu bwana yupo radhi kutumia gharama kubwa ili tu anukie vizuri avutie wanawake.
Yupo tayar kukushusha hadhi mbele ya wanawake na washkaji ili yeye awe top
Huyu tulikuwa tunalipwa sawa lakin mpaka mkataba unaisha Hana hata godoro
Yeye night club na kuongea kiingireza.
Mwingine ni mchanga aiseee huyu jamaa anaweza akakudai hata 100tsh.
Kwanza anakula ugali WA buku .sijui alikuwa na malengo gani ?? Ni goodsaver
Kafanya vitu vikubwa kwa umri wake
Kiufupi wahaya hawana TOFAUTI na wakenya wao wakishajua kiingireza tu wanahisi ndio tayari maisha washayapitia.
Kumbe maisha ni zaidi ya lugha.
Statistics Hizo hapoStori bila statistics ni porojo.
Chanzo cha stori yako ni kipi!
Maendeleo gani unazungumzia?
Ukisema maendeleo una maana gani
Maendeleo katika nyanda zipi?
MBALI NA HAPO,UNAONESHA CHUKI DHIDI YA KABILA HUSIKA.
Ndugu kwa ndugu?Hawana lolote kazi yao kugongana tu ndugu kwa ndugu ndo maana walituletea ngoma nchini hapa yaani juliana aka HIV.
[emoji1][emoji1][emoji1]Wahaya wana elimu ila hawana akili
[emoji1][emoji1][emoji1]Wao haswak asubuhi..hata Kuna mmoja wao kanithibitishia hilo...mwenyew haswak,alikiri kabisa
Mpe hiyowacha upuuzi statistical Kagera ni moja ya mikoa maskini japokuwa wana ardhi ya rutuba na pia karibia kila kitu kama Kilimanjaro tena kwa kuzidi maana wana ardhi kubwa na ya rutuba haswa!
Soma hiyooo,lazma kuwe na WA kwanza na WA mwishoJamani acheni dharau na makabila ya watu! Tabia ya wachaga kujitukuza inakera sana! Hata wachungaji wao full kuongelea uchaga!
Kwa sasa msijidanganye kila kabila wana maendeleo ila tatizo tunapofikiria kuwa sisi au wale si bora au sio bora ndo tunaharibu!
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Sina mbavuKwa kweli siogopei hii nimeona kabisa nimeishi nao sana wote wananuk midomo tena wanaume wa kike sijajua ....Kuna mmoja alikuwa supervisor wangu yaani anatoa maelekezo harufu inatoka kabisa bila ya wasiwasi.
Wivu utakuua wewe kibibiKwa wote hao walioelimika ni wachache sana.
Wengi wao (majority) wamesoma lakini hawajaelimika.
Walisomea ujinga kwa kiwango kikubwa.
Wapi kabeza Elimu? Kasema mmesoma lakini hamna Akili ya mãendeleo kama WachagaKama watanzania wameanza kubeza elimu kiasi hiki, mkae mkijua taifa hili ambalo akili ndogo inaogoza akili kubwa tunatumbukia shimoni
TruthWahaya
-Ajira (mishahara+upigaji)
Wachaga
-Ajira (mishahara+upigaji)
-Biashara (pesa nyingi zaidi)
-Siasa (power)
-Kuendeleza kwao (uchagani hakuna nyumba ya nyasi)
-Hawasahau kwao (hata mtoto azaliwe Dar, kila mwaka lazima arudi uchagani kuijua asili yake akutane na ndugu zake wote hata wale wanaishi London Uingereza)
Sijaona kabila lolote la kuwasogelea wachaga, hao wote wengine sijui wahaya, waha, wakinga, wasukuma, wanyakyusa, n.k. ukienda huko vijijini kwao wanatia huruma, yani hata nyumba tu sanasana utakuta matajiri wanaohesabika wamejenga nyumba za kisasa zinazohesabika ila nyumba zingine zinatia huruma, mtu akipata maendeleo anaogopa kurudi kwao ama kupeleka watoto kwa hofu watamuonea wivu watamroga.