Kwanini Waislamu wengi wanaota ndoto za Yesu huko Mashariki ya Kati?

Nyinyi wafia dini ndio vilaza mmekamata kwenye huu upupu wa hekaya za kale kwa sababu formal education ilikupita kushoto,
Nani mfia dini? so hizo hekaya unazipenda au huzipendi?
 
Nabii issa
Kama mnavyomita yesu
Watajwa katika kitabu kitakatifu qorani zaid mara 10 watajwa
 
Qur’an imeonya kuhusu mabadiliko katika maandiko kwahiyo kuna fikra za watu:
"Wanabadili maneno kutoka mahali pake..." (Al-Ma’idah 5:13)
Mbona inawahusu waislam wenyewe unajua Mpangilio wa Quran? aya ya kwanza hadi ya Mwisho? aya ya kwanza ilitakiwa iwe ile ya kwanza kule pangoni, msaafu wote haupo kwenye order kama mnavyodai kshushwa wajua kuwa mtume wenu chapta ya 5 akadai uislam umekamilika sasa zilizofuta zilikuwa za nini? kama nakumbuka ni pale Arafa akapiga marufuku ulaji Nguruwe bila sababu hahaha so muslim rekebisheni Quran mmeongeza maneno kila aya ya Bismillah rahman rahim kasoro sura At-Taubah nikupe story yake? ujue islam ni flaud and fake religion. Quran yenyewe aya haziendani chache sana zinafuatana kisha zinapoteana kama amezungumzia Musa aya moja inafuata ya Yesu then inaruka kwa mwingine n.k
"Basi ole wao wanaoandika Kitabu kwa mikono yao kisha wakasema Hiki kimetoka kwa Mwenyezi Mungu..." (Al-Baqarah 2:79)
Hii kasome tafsir utaelewa , And mtume wenu alikuwa akiandika mashairi watu wakamuambia eeh unatuambia hadith za watu wa kale tunazifahamu zote alafu unasema ni za Allah na umeshushiwa na jibril ?mohammad akaona kastukiwa akasema Quran ni maneno ya mtume Quran sio Allah 69:40
Yanabadilishwaje wakati Mtume wenu alisema Allah alimuandikia Mussa Torat kwenye tablet za mawe ana akasema Neno la Allah haliwezi badilishwa unaona jinsi Quran inapingana yenyewe kwa yenyewe Quran 6:115
Al-Barwani
Na yametimia maneno ya Mola Mlezi wako kwa kweli na uadilifu. Hapana awezaye kuyabadilisha maneno yake. Na Yeye ndiye Mwenye kusikia na Mwenye kujua.

Quran 18:27
Al-Barwani
Na soma uliyo funuliwa katika Kitabu cha Mola wako Mlezi. Hapana wa kubadilisha maneno yake. Wala nawe hutapata makimbilio isipo kuwa kwake.
Qur'an inatambua Injili na Zaburi ni kweli ziliteremshwa na Mungu, lakini haithibitishi kuwa maandiko yaliyopo sasa yako salama kikamilifu kutokana na mabadiliko ya kibinadamu.
Ndio hizo Aya ambazo zinasema maandishi ya Allah hakuna awezaye kuyabadilisha so mkiipinga Biblia mnampinga Allah so mnakuwa makafiri Quran 6:115 and Quran 18:27
Okay je nikikuambia Allah ndie anapotosha unaweza kukubali? Quran 16:93 Allah ana guide watu wapotee
16:93
Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka angeli kufanyeni umma mmoja, lakini humpoteza amtakaye na humwongoa amtakaye. Na bila ya shaka mtaulizwa mliyo kuwa mkiyatenda.
Wa law shaaa'al laahu laja'alakum ummmatanw waahidatanw wa laakiny yudillu many-yashaaa'u wa yahdee many-yashaaa'; wa latus'alunna 'ammaa kuntum ta'maloon
 
View attachment 3433879View attachment 3433889
Angalia hizo Aya kwa neno hilo hilo 👆🏽
Unaelewa maana ya hiyo aya is he who? unajua Quran ni maneno ya Nani? it supposed Allah anaye ongea so angekuwa ni yeye anayetoa roho angesema mimi ndie ninayetoa roho na kurejesha sijui umenipata kwenye hiyo point. unafahami Malaika aitwaye Izrael ? anayeua

Hiyo 6:60 Allah anajua kulala ni kufa na ukiamka umefufuka hahaha kupoteza fahamu?
 
Kweli nimeamini Walikusanyika vichaa kadhaa wakaunda kitu kinaitwa walokole
 
Acha kuokota okota na kuzidi kupotosha watu jina la Isa Mtume wenu alichemka alitumia Kigiriki kama Allah angekuwa ni Mungu wa Kweli asingeweza kumuita Yesu Isa jina lilitoholewa kwa kigiriki and Allah angekuwa kweli ni Mungu asingesema kuwa alimpa Yes Injil kwani Injil ni neno la kigiriki. Nimecheka uliposema eti Isa ni kiarabu safi hahaha Isa (Essa) Hakuna kiarabu Safi haswa katika Quran mule kuna wizi wa lugha za Aramaic ambzo hadi Aya zingine Allah kashindwa elewa yeye mwenyewe na watumwa wake wakaishia kusema eti Allah knows best Chapter 19:1 Kaf, Ha, Ya, ‘Ayn, Sad. ni Alamaic language na maana yake ni Massiah is my Lord - Mudy hakujua aliandikiwa bila tafsiri angejua angeziondosha faster, Allah pia sio kiarabu, Zacharia and mchanganyo wa Quran ni sababu ya kubeba dini za wengine na kuunganisha iwe moja.

Kagoogle Tafsiri ya essa utakuta ni Ngamia - So kumita Yesu ngamia ni dharau za Mudy
 
Kweli nimeamini Walikusanyika vichaa kadhaa wakaunda kitu kinaitwa walokole
Sahih Muslim 523f

That is what Abu Huraira reported to us from the Messenger of Allah (ﷺ) and he narrated (some) ahadith one of which is that the Messenger of Allah (ﷺ) said: I have been helped by terror (in the hearts of enemies) and I have been given words which are concise but comprehensive in meaning.

Hivyo ndivyo alivyotuhadithia Abu Huraira kutoka kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na akasimulia (baadhi ya) Hadiyth mojawapo ni kuwa Mtume wa Mwenyezi Mungu (saw) amesema: Nimesaidiwa na ugaidi (katika nyoyo za maadui) na nimepewa maneno mafupi lakini yenye maana kamili.
 
Sasa wewe ndo umetuletea tafsiri ya kupotosha 😃
إِذْ قَالَ اللَّـهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا وَجَاعِلُ الَّذِينَ اتَّبَعُوكَ فَوْقَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ ۖ ثُمَّ إِلَيَّ مَرْجِعُكُمْ فَأَحْكُمُ بَيْنَكُمْ فِيمَا كُنتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ ﴿٥٥﴾

55. Pale Allaah Aliposema: Ee ‘Iysaa! Hakika Mimi Nitakuchukua na Nitakupandisha Kwangu na Nitakutakasa na wale waliokufuru na Nitawafanya wale waliokufuata (kujisalimisha kwa Allaah) kuwa juu ya wale waliokufuru mpaka Siku ya Qiyaamah, kisha Kwangu ndio marejeo yenu na Nitahukumu baina yenu katika yale mliyokuwa mkikhitilafiana.
 
Kwani biblia ni maneno ya nani
 
IQ yako ndogo sana acha nikudhibitishie:

Unaposema Allah nisanamu au haeleweki eleweki usitumie hisia zako, falsafa wala hoja za biblia.
Tumia Hadith, Aya, na tafsiri za wanazuoni kupinga maandiko katika Suratul Iqhras, Allah aliposema hafanani na kitu chochote unachokifkiria. hii ndo tafsiri ya "Supernatural power".

ukisema mtume Muhammad ni chenga chenga huu ni mtazamo wa waliompinga na Allah kashusha maandiko ya kumpa moyo.
Suratul At-Tur aya ya 52.
Ndio maana tunakubali Isa ni nabii wa Allah katika walioshushiwa kitabu
Allah atufahamu sisi kabla hata hatujawa kwenye tumbo la wazazi wetu, anajua kila kitu kuhusu sisi.
Sijui nyie dua kwenu inamaana gani ila kwetu sisi dua tafsiri yake ni kuomba Allah abadirishe Qadar, akukadilie yaliomema zaidi
Inaelekea Akili yako haiko sawa so shida tu ya IQ.
Kama huamini dhambi itakuwa kama mlima ni vyema ukapinga kwa maandiko ya kiislamu.

Ngoja nikufundishe namna ya kujenga hoja za dini.

Hoja inajengwa hivi__ "Yesu si Mungu ni nabii Isa aleysalaam".

why:
Kwa Mujibu wa Yohana 1:1,14, Mwanzo kulikuwa neno, nae nano alikuwa kwa Mungu, neno alikuwa Mungu, akafanyika mwili akaja kwetu.

Haya ni maandiko ambayo yanaitaji imani kuyaelewa na sio akili coz yanafanana na farsafa ya "Yai na kuku kipi kilianza" (Mungu na Neno)

Lakini je Neno kweli ni Yesu kama Wasomi wa kilristo wanavyotafsiri.

Alietusimulia kuhusu mwanzo ni yohana na yohana huyo huyo anaeleza yesu alikuwa akisali.

Yohana 17:1-3 __Yesu alipokwisha kusema hayo, akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imefika. Mtukuze Mwanao.

Hii ni Ishara tosha kuwa Yesu sio Neno kama tulivyoambiwa au Neno si Mungu Kwani huyo neno ambae alifanyika mwili yupo Nasi na si mbinguni.

Wengine kama Luka na Mathew pia wanathibitisha.
Luka 6:12__Ikawa siku zile, akaenda mlimani kuomba; akakaa usiku kucha katika kumwomba "Mungu.:

Hapa wazi wazi kuwa Yesu alimuomba Mungu. It means wakati tup na Yesu kuna kilichokuwa kikiratibu Mipango yetu na hicho ndio Mungu Sasa amacho hata yesu anaomba.

Mathayo 26:39____Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Kwa mujibu wa Mathew pia inaonesha Kuna vitu Yesu hakufanya si kwa atakavyo yeye bali ni kwa "Baba yake" ambae yupo Mbinguni Na huyo ndio Mungu nasie Yesu.

Je Yesu ni ISA.
Yesu kwa mujibu wa biblia kazaliwa na Mariam, na hana Baba, hii haihitaji andiko coz wote twafahamu hivyo.

Kwa mujibubwa Qur'an, Isa kazaliwa na Mariamu na hana baba, so hii ni uthibitisho huenda Yesu ni Isa.

Lakini hapana si kwetu Isa ni nabii yani mtume wa Mungu.

Vipi huko ? Yohana 17:3 -- Nauzima wa milele: Wakujue wewe Mungu wa Pekee, na Yesu kristo uliyemtuma.
Hapa Inaonesha kuna Vitu viwili kati ya Mungu na Yesu na Yesu ni alietumwa na Mungu so Nimtume.

Ina maana Yesu na Isa kwa hoja hizo
Yesu = Isa.

Huo ni mfano tu wa namna ZINAVYOJENGWA HOJA ZA KIDINI.
 
NNa
Na waongo pia ...ukristo wenu una mashaka uongo umewatawala
Mekuuliza mpk saiv ujajib.wamejuaje kua waliemuota ni yesu hali ya kua hakuna anayejua sura yake?
 

Hilo liko wazi. Yesu ni upendo na amani. Yesu alikuwa kweli na njia. Hakuwahi kusemwa kwa ubaya na hakutenda dhambi.
Tofauti na mudi, yeye kupigana vita, kuiba wake za watu, kubaka watoto nk. nk
 
Quran ina mabano? Tushazungumzia kuongeza maneno kuwa Allah amekataza tena amesema hakuna awezae wewe umeweza eeh!
nishakuambia achana na hizo tafsir za uongo go to Arabic then Google it utapata atleast accurate translation for understanding your msaafu. Hiyo Aya haina wala kumaanisha hayo maneno ya mabano eti kujisalimisha kwa Allah hahaha wafuasi wa Yesu watakuwa juu menu Kwa kila kitu yaani superior
labda nikusaidie word by word
Iz qaalal laahu yaa ‘Eesaaa innee mutawaffeeka wa raafi’uka ilaiya wa mutah hiruka minal lazeena kafaroo wa jaa’ilul lazeenattaba ooka fawqal lazeena kafarooo ilaa Yawmil Qiyaamati summa ilaiya marji’ukum fa ahkumu bainakum feemaa kuntum feehi takhtaliifoon
Neno mutawaffeeka maana take kusababisha kifo au kutoa uhai au kuchukua uhai na sio ''kukuchukua''

hizi technical error za Allah wanazuoni wenu wamejaribu sana kuwaficha ili ukristo uonekane ni uonho kuwa Jesus hakuna na kufufuka msalabani but Aya inaweka wazi kabisa Yesu alikufa then akafufuka kisha akapaa kwenda kwa Baba yake


Usidhani natafsiri kwa kuhadaa no uongo ndio sipendi uislam lazima uendane am just help you guys I know nyie ni victims WA lies of israms i don't hate muslims I hate lies of muslim.
 
Kwanza "iz" ndo nini 😃 kumaanisha hiyo tafsiri yenu ni ya uongo 😃
 
IQ yako ndogo sana acha nikudhibitishie:

Unaposema Allah nisanamu au haeleweki eleweki usitumie hisia zako, falsafa wala hoja za biblia.
Tumia Hadith, Aya, na tafsiri za wanazuoni kupinga maandiko katika Suratul Iqhras, Allah aliposema hafanani na kitu chochote unachokifkiria hii yani hii ndo tafsiri ya "Supernatural power".

ukisema mtume Muhammad ni chenga chenga huu ni mtazamo wa waliompinga na Allah kashusha maandiko ya kumpa moyo.
Suratul At-Tur aya ya 52.
Ndio maana tunakubali Isa ni nabii wa Allah katika walioshushiwa kitabu
Allah atufahamu sisi kabla hata hatujawa kwenye tumbo la wazazi wetu, anajua kila kitu kuhusu sisi.
Sijui nyie dua kwenu inamaana gani ila kwetu sisi dua tafsiri yake ni kuomba Allah abadirishe Qadar, akukadilie yaliomema zaidi
Inaelekea Akili yako haiko sawa so shida tu ya IQ.
Kama huamini dhambi itakuwa kama mlima ni vyema ukapinga kwa maandiko ya kiislamu.

Ngoja nikufundishe jinsi ya kujibu hoja za dini.

Imejengwa hoja "Yesu so Mungu ni nabii Isa aleysalaam"

why:
Kwa Mujibu wa Yohana 1:1,14, Mwanzo kulikuwa neno, nae nano alikuwa kwa Mungu, neno alikuwa Mungu, akafanyika mwili akaja kwetu.

Haya ni maandiko ambayo yanaitaji imani kuyaelewa na sio akili coz yanafanana na farsafa ya "Yai na kuku kipi kilianza" (Mungu na Neno)

Lakini je Neno kweli ni Yesu kama Wasomi wa kilristo wanavyotafsiri.

Alietusimulia kuhusu mwanzo ni yohana na yohana huyo huyo anaeleza yesu alikuwa akisali.

Yohana 17:1-3 __Yesu alipokwisha kusema hayo, akainua macho yake kuelekea mbinguni, akasema, Baba, saa imefika. Mtukuze Mwanao.

Hii ni Ishara tosha kuwa Yesu sio Neno kama tulivyoambiwa au Neno si Mungu Kwani huyo neno ambae alifanyika mwili yupo Nasi na si mbinguni.

Wengine kama Luka na Mathew pia wanathibitisha.
Luka 6:12__Ikawa siku zile, akaenda mlimani kuomba; akakaa usiku kucha katika kumwomba "Mungu.:

Hapa wazi wazi kuwa Yesu alimuomba Mungu. It means wakati tup na Yesu kuna kilichokuwa kikiratibu Mipango yetu na hicho ndio Mungu Sasa amacho hata yesu anaomba.

Mathayo 26:39____Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba, akisema, Baba yangu, ikiwezekana, kikombe hiki kiniepuke; walakini si kama nitakavyo mimi, bali kama utakavyo wewe.
Kwa mujibu wa Mathew pia inaonesha Kuna vitu Yesu hakufanya si kwa atakavyo yeye bali ni kwa "Baba yake" ambae yupo Mbinguni Na huyo ndio Mungu nasie Yesu.

Je Yesu ni ISA.
Yesu kwa mujibu wa biblia kazaliwa na Mariam, na hana Baba, hii haihitaji andiko coz wote twafahamu hivyo.

Kwa mujibubwa Qur'an, Isa kazaliwa na Mariamu na hana baba, so hii ni uthibitisho huenda Yesu ni Isa.

Lakini hapana si kwetu Isa ni nabii yani mtume wa Mungu.

Vipi huko ? Yohana 17:3 -- Nauzima wa milele: Wakujue wewe Mungu wa Pekee, na Yesu kristo uliyemtuma.
Hapa Inaonesha kuna Vitu viwili kati ya Mungu na Yesu na Yesu ni alietumwa na Mungu so Nimtume.

Ina maana Yesu na Isa kwa hoja hizo
Yesu = Isa.

Huo ni mfano tu wa namna ZINAVYOJENGWA HOJA ZA KIDINI
 
Kwanza "iz" ndo nini 😃 kumaanisha hiyo tafsiri yenu ni ya uongo 😃
if your truthful Sadiq uongo wapi tumeweka, najua umepata shocks kuona ya kuwa Quran inauongo ambao hujawahi sikia, i know Kila mtu humtokea hiyo Hali. But Quran ni full of lies musaaf kwa musaaf mean page to page. Uliza chochoe au Aya yeyote nitakuonesha uongo au kupinga aya nyingine. Hamna dini katika uislam
 
Andika vizuri kwanza maana text yako ina maneno mengi sijayaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…