Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

Kiuhalisia kabisa mwanamke inabidi umzidi vingi sana akikuzidi unakuwa kibenteni

Dharau

Mkikosana hata kwa kidogo ataanza kuwaza kujitegemea kwa sababu nguvu ya kusimama mwenyewe inaanzia hapo

Wapambanaji wengi hawadumu ndani ya ndoa

Ngoja nikutajie

Masham sham
Wanawake live

Wol paper

Bila kusahau graduates wanawake wanaozani elimu ya kwenye kitabu ni sululisho kwenye maisha ya kifamilia (gender quality wakuu)
 
Wanawake wengi wapambanaji wanahistoria za maumivu hasa ktk mapenzi.

Wengi wao walishatendwa na wanaume, sasa wanajigeuza kuwa wanaume kwa utafutaji wa pesa ili kujifariji.

Mara nyingi huvaa sura za utafutaji kama wanaume ili waonekane na wale waliowaacha kuwa wamefanikiwa.

Ukioa mwanamke wa hivi umebeba bomu ujue lazima litalipuka.

Ila sio wanawake wote wapambanaji wengine wanania njema tu.
 
Kupenda kwa Mwanamke = Kutii/Kumtii Mwanaume, hii ndivyo ilivyo kwa Makabila yoote duniani

Tatizo linakuja ni jinsi gani Wanawake wanaweza ku balance Utii, Unyenyeku na Upambanaji

Wanawake wengi wapambanaji unyenyekevu na utii kwa Waume Zao ni haba

Hata Biblia inawasihi Wanaume ""Wawapende" Wake zao na kuwasistiza Wanawake "Wawatii" Waume zao

Mola ndiye Mjuzi
 
Mkuu nisome vizuri nimeongelea mwanamke ambaye anatafuta pesa na anamsaidia mumewe majukumu hao ambao hawasaidii chochote lazima watimize majukumu yao kikamilifu!!

Una akili wewe???

Hii post yako ya pili nakusoma unataka mkeo akusaidie maisha,umeambiwa na nani au imeandikwa wapi kwamba ukiowa uowe mwanamke wakukusaidia majukumu yako kama baba?una-sound kiboya sana yani.

As long as anakusaidia siku akikukalisha kitako akakwambia ktk hawa watoto huyu mmoja ubini wake siyo wako nilikusaidia kutafuta kwa workmate wangu usituwekee vikao vya familia kusuluhisha wala hatutaki kuandaa mazishi ya kijana aliyejiuwa au kufa kwa stress.
 
Mkuu watoto wadogo lazy lazy kama hawa wanaolilia kuowa ili wanawake wawasaidie maisha hawawezi kukuelewa hawa dawa yao unaachana nao ili dunia iwafunze.

Unatumia nguvu nyingi kwa kitu kisichojielewa.
 
Mwisho wa siku mwanamke mwenye hofu ya Mungu na tabia njema awe na pesa au asiwe na pesa atakuwa mke mwema and vice versa

Mkuu watoto wadogo lazy lazy kama hawa wanaolilia kuowa ili wanawake wawasaidie maisha hawawezi kukuelewa hawa dawa yao unaachana nao dunia ili iwafunze.

Unatumia nguvu nyingi kwa kitu kisichojielewa.
🤣🤣Ngoja aingie kweny ndoa atajamba na omba iswe ya kikristo atakonda hao wanawake akili zao zinafanana
 
Mwanamke atazaa Kwa uchungu
Mwanaume atatafuta Kwa jasho
 
Mimi hao ndiyo nataka...
 
Mwanamke ambaye haishi kwa wazazi wake au kuwa chini ya walezi wake hafai kuoa.
 
Pole yake kuna mke na mwanamke, ila siwezi kushangaa kama umeishi kusini eg mtwara mke akitoa matumizi nyumbani lazima Mme ulipe, kwahiyo ni tamaduni zao, wengine hatupo hivyo, wakati mwingine hiyo hiyo ya Mme mke anaweza akawa anabana/kutunza siku Mme hana inatumika hiyo.
 
Hatuogopi, wapambanaji wengi wanatokaga kwenye mstari, wana viburi, hawana upendo, hawana mahaba, unyenyekevi na utii kama wake.

Leo jumapili tukumbushane mistari hii michache.

WAEFESO 5:23-25
23 Kwa maana mume ni kichwa cha mke kama vile Kristo alivyo kichwa cha kanisa, ambalo ni mwili wake, naye mwe nyewe ni Mwokozi wa kanisa. 24 Basi, kama vile Kanisa linavyom tii Kristo, vivyo hivyo na wake pia wanapaswa kuwatii waume zao kwa kila jambo.


1WAKOTINTHO 11:
3 Lakini nataka mjue ya kuwa kichwa cha kila mwanamume ni Kristo, na kichwa cha mwanamke ni mwanamume, na kichwa cha Kristo ni Mungu.

8 Maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke katika mwanamume.
 
Mwanamke atazaa Kwa uchungu
Mwanaume atatafuta Kwa jasho
Na wanaume wapunguze kulia lia mwanaume mzima mwili nyumba lakini hawezi kusimama kama mwanaume, wengi siku hizi malezi yafamilia hayawapi ujasiri zakutosha wengi mnakuwa watoto wa Mama , Baba zenu wakiwaterekeza basi nikulia lia na Mama zenu, sasa nyie mnao oa kwasasa fundisheni vijana wenu kuwa wanaume kwenye nyumba zao, eti mwingine anamkimbia mkewe eti mkorofi anarudi nyumbani saa 8 akute kalala haa haa haa aibu hii[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mwanamme anawaza kupata pesa ili kusaidia familia yake, mwanamke anawaza pesa ili aondokane na utegemezi kwa mwanamme. Mindset 2 tofauti
 
😂😂😂imebidi nicheke naona umeamua kuwachana😁😁

Ukweli lakini mwanaume anaelialia mara fyaaa mara fyeee huwa wananipaga mawazo sana
 
Tuseme tuu ni mwanamke mpambanaji siyo anayejielewa
Mwanamke kupambana kutafuta ela haimfanyi kuwa na sifa ya moja kwa moja ya kujielewa
Ishu ya wanaume kukwepa watu wa aina iyo sababu nikwamba mwanamke moja kati ya sifa yake ni kutunzwa na kudekezwa (utafanya ivi na kunasaa anakukasirikia minuno kibao)
Sasa ndiyo unaenda kutunzwa wewe au kile unafanya nayeye ananguvu yakuweza kukifanya lazima achanue mbawa apae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…