Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

Oa wewe kaka kuna mtu aliyekuzuia kila mtu na maisha yake na mipango yake
 
Mwanamke anayejielewa tu ndie anayeolewa.

Haijalishi ana kazi, Hana kazi, mpambanaji, goli kipa au yupo yupo TU.

Inavoonekana hujaelewa Maana ya "kujielewa" linapokuja suala Zima la kuoa au kuolewa
 
Mwanamke anayejielewa tu ndie anayeolewa.

Haijalishi ana kazi, Hana kazi, mpambanaji, goli kipa au yupo yupo TU.

Inavoonekana hujaelewa Maana ya "kujielewa" linapokuja suala Zima la kuoa au kuolewa
Yes!
 
"Lakini mwanamke akiwa sio mpambanaji yaani hana kazi wala chanzo chochote na pesa na asiyejielewa ndio tunapenda kuoa."


Wewe na nani uliyemuusisha kwenye hii paragraph yako? 🤮🤮🤮🤮
 
Ulianza vibaya, ila umemaluza vizur.
Hoja yako Inakanganya Sana.
 
Kwasababu mwanamke anaejiita mpambanaji na msomi hua na hulka ya kutaka kuishi kama mwanaume ndani ya nyumba.

Imeandikwa, mwanaume atamuoa mwanamke. Na sio mwanaume atamuoa mwanaume mwenzake.
Uzi unasema mwanamke anayejielewa na mpambanaji. Hao unaowaongelea hawajielewi
 
Dizaini ya mwanamke uliemzungumzia hapo hua anapenda kutawala sio kutawaliwa, hata kwenye habari ya uzazi wanazingua sana, utaskia mtoto wa 2 tutazaa huyu akifikisha miaka 7.
 
Mkuu unawajua wanawake wa sasa hivi au unajisemea tu yoyote aweza olewa, ila jua tu kuna sampuli ya mwanamke haioleki kabisaaaa na mwanaume yoyote duniani, pia wapo wanaume.
 
Habari ya sisi kumtawala mwanamke ipo kimaandiko sio tunajitakia sisi,

Ivi kama nimemuoa mwanamke ana majukumu gani tena nje ya familia yetu adi mseme hatakua tayari kusaidia moja kwa moja?
 
anaeolewa ni yule anaejitambua nafasi yake ni ipi na mume wake ni ipi na anahiheshimu nafasi hiyo.
xo ht akiwa mpambanaji vipi na hatambui nafasi yake na majukumu ni kazi bure.
wacha tuwe tunapita tu.
 
Sasa labda nikuulize swali. Mwanaume ambae amekamilika kifahamu, kiakili, kimawazo, na hulka zote atataka mwanamke wa namna hiyo ili amuongezee jambo gani katika maisha yake?!
 

Ni sawa na kuoa mwanaume mwenzio jambo ambalo tamaduni zetu haziruhusu.
 
Hakuna cha ubinafsi mkuu tatizo ni mgawanyo wa majukumu! Siku wanaume mkianza kufanya majukumu ya wanawake na kuyachukulia kama yenu basi na wanawake nao wataanza kufanya majukumu ya wanaume na kuyachukulia kama yao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Case closed.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umetisha sana sis.
 
Huwa unapovukwa sana, uwage unasoma na kuelewa lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie hao wanaowapelekesha si nipewe mie mmoja,, atakuja wasimulia humu,, [emoji48][emoji48][emoji48] mwanaume ni mwanaume tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utafanya nn wee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…