Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

Kwanini wanawake tunaoolewa na wazee tunanyooshewa vidole na jamii?

Naombeni mtujibu

Watu wazima wana shida gani? Sheria inasemaje? Age gap ya mume na mke iwe miaka mingapi? Hawa wazee mnataka tumuachie nani? Na age mate wetu tutawatoa wapi mnajua tulizinguliwa kivipi kabla ya kukutana na hawa masweet baby wetu? Ooh watakufa soon, hakuna ajuae siri ya kifo kila mtu atakufa kifo hakichagui mtoto, mzee au kijana.

Ooh tumefata hela mnajua account zao? Hii dunia iko huru ni vema kila mtu afate maisha yake.


Leo tar 24 March Chama cha wake wa wazee tumesajili member mpya
Ujumbe wangu mama mrema Achana na binadamu
Wanasema mchana usiku kila mtu analala kwake na majanga yake.
Nafikiri mzee ni sawa, lkn mzee wa miaka mingapi ndio tatizo hapo. Na afya yake kama bado yuko fit
 
huwa wanasema wazee hawawaumizi ila vijana mnapania sana, mnawakunja kuwavunja migongo
 
Usitafute aliezeeka Sana mfano kuanzia 55 - 60 hivi huko kwengine we utakuwa Muuwaji wa Babu wawatu
 
Kuna ndoa ya kanali mstaafu mmiliki wa ilboru safari lodge Imefungwa juzi, sasa bibi harusi anamiaka 27 kanali ana miaka 78.Nimeshangaa sana wadau kumtakia maisha mema na mjukuu wake.

Wameshindwa kuvumulia na kumtambua bibi harusi kama mke halali.

Inaonyesha jamii inachukulia binti kuolewa na mtumzima atakuwa amefwata pesa. Ila siyo kweli kuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya kuhoji hali ya kiuchumi ya maharusi.
Tuletee Harusi za Binti Wa miaka 27 kaolewa na Babu wa Kijijini Huko tupime tuone kama Si Pesa zinawapeleka
 
S wote wanaofuta mali, lkn pia hakuna aneyependa umasikini.


Mskae mkinyooshea watu vdole, upendo una nguvu zaid ya kifo. Ukijiona ww unafuata pesa n ww na s wote, weng n upendo wakweli unawavuta.

Kuna mbabu hapa jirani yetu ana miaka 98 na mkewe ana miaka 55 wako wanadunda, huyu babu hana hata pesa n maisha ya kawaida tuuu.
Fuatilia Huyo Mzee alimuoaje huyo Binti wa miaka 55 sasa hvi. manaa Ndoa za Zamani zilikuwa za Kitafutiwa Mme au mke. Hawa wa Sasa Hivi Wanajipeleka Wenyewe.
 
Kwanza, mnakuwa mume wakatili sana vijana wenzenu wa kiume ambao mumewakataa kwa sababu sio matajiri.

pili, Hao wazee mna wateka sana aidha kwa dawa au mapenzi, kiasi kwamba wanasahau kabisa kulea watoto wao ambao kiumri wanalingana na nyinyi.

Tatu, nyinyi ni chanzo cha migogoro mingi ya kifamilia. Hao wazee wanatelekeza familia zao kisa nyinyi Gold diggers.

Ni maombi yangu, kila mwanamke anayechukua mume wa mtu afe kabla ya wakati au augue magonjwa makubwa kama kansa ya kizazi, ukimwi n. k
 
Kwanza kijana unaanzaje kuolewa na mzee au ndo mahesabu lini afe urithi mali?

Na nyie ndio vyanzo vya hivi vizee kujifia hovyo guest mnafanya vipake mundende kakipiga kimoja na roho inaacha mwili
 
Mrs Mrema ana miaka 39 na hakuwahi kuolewa, huyu jua la jioni angeolewa na kijana gani huyu?
 
Kwanza kijana unaanzaje kuolewa na mzee au ndo mahesabu lini afe urithi mali?

Na nyie ndio vyanzo vya hivi vizee kujifia hovyo guest mnafanya vipake mundende kakipiga kimoja na roho inaacha mwili
Unaambiwa mzee mrema kuvalishwa pete tu ilikuwa ishu,kidole hakinyooki kimekakamaa flani,yule ameoa kimkakati, na inasemekana wana miaka 22 ya mahusiano na mrema.
 
Unaambiwa mzee mrema kuvalishwa pete tu ilikuwa ishu,kidole hakinyooki kimekakamaa flani,yule ameoa kimkakati, na inasemekana wana miaka 22 ya mahusiano na mrema.
Duh
Niliona ile Clip pale kanisani walipkuwa wamekaa mzee kusimama alijikunjua kama mara nne ndo akaweza..!

Nadhani ameoa ili aweze kupata muangalizi tu basi.
Dada mwenyewe yuko kanisani kwenye ndoa anachati na miwani tinted aseeh..!

Ukiangalia wazi unaona kabisa hii sio ndoa bali makubaliano tu..
 
Back
Top Bottom