Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

Wenyewe kwa wenyewe wanaoana Sana tu...


Tipu tipu alipokuja znz alikuta watu wa wanaishi. Na mji mkuu wao ilikuwa Ni unguja ukuu.na walikuwa na mtawala wao!.ndio mjuwe kuwa si weusi wote wa znz walitokana na utumwa!
 
Waarabu wanakuambia bora Imam aswalishe akiwa mlevi (so long as he is Arab) lakini sio kuswalishwa na Imam mweusi
 
Yes, case in point waangalie wazanzibari au jamii zingine hapa Tanzania zinazoendekeza udini (dini za kuletewa).....utakuta wengi wao ni watu wasiojitambua ama watu wasio na elimu. Hawataki kusoma kujuwa ukweli wao bali wamekariri mistari tu ya vitabu vinavyosadikika kuwa ni vya Mungu na kuamini kila kitu. Mtu anashindwa kabisa kufikiri anaposoma kitabuni kwamba Mungu kaamuru watu kuua wenzao na wakati Mungu huyo huyo kakataza kuua. Waafrika tumepotoka sana na ujinga huu wa dini, tunashadadia tu bila kujitambua.
 
Hahahaha karakana ndo home so naelewa yote hayo ila me silagi TU mirungi imenishinda bei

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Makazi hao ni uwanja wa namfua na kule maweni..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Zanzibar mbali sana nenda Tanga hpo waja leo warudi leo, kuna kabila linaitwa WADIGO ni weusi kama giza lkn wanapenda kujitambulisha kama ukoo wa waarabu! Niliwai kusimuliwa kua zamani walikua wanalipia kujiita ukoo wa akina Sharif!

Na Tabora pia utakuta mtu cheusi mangara nae anajiita muarabu!
 
Haya weee [emoji2960]

Hawa wao Sio weusi ti ti ti rukhsa kujiita waarabu!!????
 
Mama nae sijui rangi ya Mtume kaitoa wapi il haal babu yake na bibi yake asili yao watumwa toka Kigoma [emoji848]
 
Wenyewe kwa wenyewe wanaoana Sana tu...


Tipu tipu alipokuja znz alikuta watu wa wanaishi. Na mji mkuu wao ilikuwa Ni unguja ukuu.na walikuwa na mtawala wao!.ndio mjuwe kuwa si weusi wote wa znz walitokana na utumwa!
Unguja ukuu nyumbani apo
 
Mbona mnateseka sana, vitu vingine ni vya kuacha tu vipite

How is it possible to hate ur self so much? Self hate ni mbaya sana learn to love yourself🙂
 
Acheni ujinga,muoman kaenda zenji 1800s,zenji Pana watu kabla ya hapo,hawakupelekwa Kama watumwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…