Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waarabu wanakuambia bora Imam aswalishe akiwa mlevi (so long as he is Arab) lakini sio kuswalishwa na Imam mweusiView attachment 2193296
Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba babu zao walitolewa huku bara na maeneo ya jirani wakiwa kama wakimbizi waliodakwa, makabila dhaifu yaliyoshindwa vita, koo zilizotengwa, n.k hawa ndio waliuzwa kwa wafanya biashara wa utumwa kama Tipu tipu na kisafirishwa kwenda Zanzibar kwajili ya kuuzwa kuwa watumwa nje ya nchi ama kubaki Zanzibar kulima mikarafuu,
Leo hii utashuhudia hivi vituko 😂😂
1-watakwambia waarabu ni ndugu zao hapo unakuta mtu mweusi hafikii hata robo ya ngozi ya mwarabu.
2-wanavaa kama Waarabu wakiwa wanafunga ndoa. Unamkuta mtu hadi ana jambia kiuononi!
3. wengi wamebadili majina yote yawe ya kiarabu, yale ya ukoo wameyafukia, utawakuta kina Abdul Mohamed, Ally Saleh, Abubakar Sharriff, n.k
4-Nilisoma habari >> hii hapa << watoto huminywa visogo ili wawe vichwa flat kama waarabu na barakashia zitumbukie kirahisi.
5-Kwa wazanzibari wengi jiji la Muscat lililopo nchi ya Oman ni kama pepo, humwaambii kitu aisee, hilo jiji kwao ni zaidi ya London, New York, Paris, n.k
6. yani akitokeaga mmama wa kiarabu hata mwenye miaka 47 aliepewa talaka tatu na anatafta mwanaume mpya, basi huyo bado ni mbichi kabisa kwa wazanzibari, atashambuliwa kama mchele ukimwagia kuku.
7-Ukitaka mzanzibari afurahi wewe mwambie tu ana asili kama ya waarabu, hapo utayaona meno yake yote kwa tabasamu ataloachia.
8.huwaona waarabu kama wakamilifu, wengi wanadhani kila mwarabu ni mstaarabu na hatendi makosa. hata uwaonyeshe video za wale wafanyakazi wanaotokea Zanzibar wanavyopigwa huko uarabuni na mabosi wao wa kiarabu, wao watabisha ni video ya uongo.
Cha kushangaza mwarabu ni kama hata huo undugu hautaki, labda uwakute wapo na viongozi wa juu ili dili zao ziende, huwa hawaozeshi hata mabinti zao kwa wazanzibari weusi na wale waarabu pori
Yes, case in point waangalie wazanzibari au jamii zingine hapa Tanzania zinazoendekeza udini (dini za kuletewa).....utakuta wengi wao ni watu wasiojitambua ama watu wasio na elimu. Hawataki kusoma kujuwa ukweli wao bali wamekariri mistari tu ya vitabu vinavyosadikika kuwa ni vya Mungu na kuamini kila kitu. Mtu anashindwa kabisa kufikiri anaposoma kitabuni kwamba Mungu kaamuru watu kuua wenzao na wakati Mungu huyo huyo kakataza kuua. Waafrika tumepotoka sana na ujinga huu wa dini, tunashadadia tu bila kujitambua.Ndo maana kanye west kuna kipindi aliwahi sema Slavery was a choice kwa waafrica haiwezekani watawaliwe miaka kibao ivyo, nilichogundua ni kwamba akili ya binadamu inajijenga kutokana na anavyokuzwa au kulelewa , mtu kama kazaliwa utumwani au kazoea utumwa ni ngumu kumuondoa na ndo maana hadi sa hivi kuna morden slavery na watu wanaichekelea na kumuona mtu mjinga anayeondoka utumwani
Ukweli mchungu...naona umeamua kuwavua nguo kabisa.Wanataka tu msaada wa tende wakati wa mfungo kutoka Uarabuni! Hawana lolote hao. Uvivu na utegemezi, ndiyo jadi yao.
Hahahaha karakana ndo home so naelewa yote hayo ila me silagi TU mirungi imenishinda beiWapo vijana wengine singida hapo wanajiita wasomali wanapenda kukaa juu ya mawe , Wakorofi ,watutuku , wabishi , wanakula gomba(Mirungi,mkokaa) wanavuta msuba kiwango cha sgr...
Pia Wana lifestyle ya kimarikansomalianchuganian ..inshort ni upuuzi mtupu ..
Na wao hashtag zao ni wasomali wa nafsi ...
Makazi hao ni uwanja wa namfua na kule maweni..[emoji23][emoji23][emoji23]Wapo vijana wengine singida hapo wanajiita wasomali wanapenda kukaa juu ya mawe , Wakorofi ,watutuku , wabishi , wanakula gomba(Mirungi,mkokaa) wanavuta msuba kiwango cha sgr...
Pia Wana lifestyle ya kimarikansomalianchuganian ..inshort ni upuuzi mtupu ..
Na wao hashtag zao ni wasomali wa nafsi ...
Fungua akili hiyo...unaelewa chimbuko halisi la waarabu ni weusi tititiii soma historia kwanza jombaa
Zanzibar mbali sana nenda Tanga hpo waja leo warudi leo, kuna kabila linaitwa WADIGO ni weusi kama giza lkn wanapenda kujitambulisha kama ukoo wa waarabu! Niliwai kusimuliwa kua zamani walikua wanalipia kujiita ukoo wa akina Sharif!
Na mfano namba 5 umedhihirisha hii comment yako, lijamaa limeandika sijui paris mara londonWew nawe shobo na wazungu acha na wale wavaa mitumba wanavyojiona wazung
Mbona mnateseka sana, vitu vingine ni vya kuacha tu vipiteNa Tabora pia utakuta mtu cheusi mangara nae anajiita muarabu!
Unguja ukuu nyumbani apoWenyewe kwa wenyewe wanaoana Sana tu...
Tipu tipu alipokuja znz alikuta watu wa wanaishi. Na mji mkuu wao ilikuwa Ni unguja ukuu.na walikuwa na mtawala wao!.ndio mjuwe kuwa si weusi wote wa znz walitokana na utumwa!
Mbona mnateseka sana, vitu vingine ni vya kuacha tu vipite
Acheni ujinga,muoman kaenda zenji 1800s,zenji Pana watu kabla ya hapo,hawakupelekwa Kama watumwacha kunishangaza zaidi wanawaona waarabu ndugu zao wa damu kuliko hata wabara ilhali wanasahau walisombwa kwa makundi kupelekwa visiwani wakitokea huku bara na maeneo mengine ya jirani kwa mijeledi, fedheha na manyanyaso makubwa, ila leo hii mtanzania bara ukienda kule utaangaliwa kwa jicho la husda, lakini mwarabu atapokelewa kwa bashasha zote