Kweli Iran bado Mtoto mdogo sana kwenye game

israel haihusiki na uzembe wa iran
 
Unajua ndege ya raisi wa Marekani imetengenezwa mwaka gani?
haijalishi ni mwaka gn, inafanyiwa updates kila siku, unachotaka kusema software ya ndege hiyo ya mwaka 70 ndo hiyo hiyo ya mwaka 2024?
 
kwani urusi inawapa iran silaha ngapi?
 
ndege latest zinakua zina maboresho mengi zaidi, sabab hata watengenezaji wanakua wanaendelea kuboresha kulingana na changamoto wanazokutana nazo, mfano ajali ikitokea wataangalia failure imetokea wapi?
 
Hawa wa Iran wanafikiri wanapambana na Netanyahu, hawajui wayahudi wamesambaa Ulaya yote, US Canada nk.

Hawa wayahudu ndiyo wapo kwenye viwanda vikunba vya kutengeneza silaha na makombola na wengine ni watu wakubwa wa maamuzi katika nchi hizo.
 
ndege latest zinakua zina maboresho mengi zaidi, sabab hata watengenezaji wanakua wanaendelea kuboresha kulingana na changamoto wanazokutana nazo, mfano ajali ikitokea wataangalia failure imetokea wapi?

1. Ndege latest Haina maana ajali basi. Zaidi sana Iran, suala ni Hali ya hewa.

2. Walikufa kina Sokoine, Princess Diana na latest models za zama zao. Wakati kwenye mikangafu ya 1947s huko tukidunda!
 
Si Bora wanunue hata ndege za mkopo pale kwa Putin!
 
Kiukweli mimi binafsi nimeacha kushabikia nchi zinazofanyaga military showoff nimebaki na Mrusi na Mchina..
 
1. Ndege latest Haina maana ajali basi. Zaidi sana Iran, suala ni Hali ya hewa.

2. Walikufa kina Sokoine, Princess Diana na latest models za zama zao. Wakati kwenye mikangafu ya 1947s huko tukidunda!
ndege latest zina uwezo mkubwa wa kupambana na changamoto kama hizo za hali ya hewa kuliko ndege za zaman, sababu zinakua zimefanyiwa improvements nyingi, so huenda kwa mazingira hayo yaliyotokea angekua kwenye helicopter latest angekua safe zaidi kupambana na huo ukungu
 

Ila wana mikwala,Israel ndio maana haiwaogopi kabisa...
Walitolewa akili na papa zamani alipo waambia wabarik 🌈
 
Kwani lifespan ya ndege au helikopta ni miaka mingapi? Tatizo lako unalinganisha ndege au helikopta na gari au pikipiki yako ya Mchina. Ndege inaweza kutumika hata miaka 50 kikubwa ifanyiwe service tu. Ndiyo maana hata majeshi ya nchi zetu hizi changa wana MIG 21 ambazo Wazungu hawazitumii tena. Ile ni ajali hata ingekuwa helikopta mpya ingeanguka tu kutokana na hali mbaya ya hewa. Sasa jiulize yule Mkuu wa Majeshi wa Kenya naye helikopta ilikuwa mbovu? Jenerari Garang naye wa Sudan Kusini ilikuwa helikopta mbovu? Yule Rais wa Poland aliyefia mpakani na Urusi naye ndege yake ilikuwa ya miaka ya 70? Kama hamna hoja nyamazeni kuropoka siyo dili.
 
In 1962, President John F. Kennedy became the first President to fly in a jet specifically built for presidential use — a modified Boeing 707. Over the years, several other jet aircraft have been used, with the first of the current aircraft being delivered in 1990 during the administration of President George H.W.
 
Pigeni tena ubalozi muone moto mtakaowashiwa. Hii iliyopita itakua cha mtoto
Myahudi huwa hakurupuki. Subiri moto wake si mrirusha mafataki.
Tayari raisi wa Iran hayupo duniani, pigo la kwanza bado mengine mjiandae.
Msije mkaandamana kuwa Myahudi anaua watoto na wanawake Iran
Raisi wa Iran alitumia ndege iliyotengenezwa na USA 1978. Majinga sana maislamu pamoja na kujigamba kote bado wanatumia bidhaa za makafiri 98%😁😁😁😁
 
Shujaa mkubwa kafa kifala na Helicopter Mkweche umempoteza
 
Dola ya kilwa hapo pwani ya tz,walikua na sarafu yao ya dhahabu yenye maandishi ya kiarabu,hiyo ni kabla ya 1300AD
Mwaarabu hana cha maana zaidi walichogundua.
Hiyo dhahabu iliyogundulika, makafiri muda mrefu tu walikuwa wanatumia.
Hii sarafu inachapa ya nani? Ya kaisari, Vya Mungu mpe Mungu na vya kaisari mpe kaisari
Watu wameanza kutumia hela BC na siyo A.D.
Hata A.D na B.C makafiri ndiyo wameanzisha halafu unajiona mjanja. Uslamu ni ujinga
 
haijalishi ni mwaka gn, inafanyiwa updates kila siku, unachotaka kusema software ya ndege hiyo ya mwaka 70 ndo hiyo hiyo ya mwaka 2024?
Marehem cobe braynt alipata ajali akiwa kwenye S-76B na hii ni upgraded model from S-76A , first introduced 1987.

So if you think ndege mpya will save you? Think again

Kitu nilichojifunza kutoka kwenye US flight history, haijalishi how much modern the aircraft is, when bad weather strikes nothing functions
 
Raisi anatakiwa atumie vitu kama Raia wake, hapo ndio ataona shida za Raia wake na kuweza kuleta maendeleo. Angalia America Kusini maraisi kibao wana hali za kawaida, decades kadhaa wamepiga hatua wameshatupita Africa na sasa wanawakaribia Ulaya.

Iran wangeamua wangekua na dege kubwa tu na kuringishia dunia nzima, ila sio reality ya maisha yao, kiongozi kutembelea usafiri wa Mabilioni ama Trilioni wakati wananchi hata baskeli hawawezi ku afford sio sifa.
 
iSrael haihusiki ni kifo cha rais wa iran. Ikithibitika wanahusika, wallah watalipa.
Hakuna nchi inaweza thibitisha kuua kiongozi wa nchi nyingine, tena ndani ya nchi yake.
Iwe wamehusika au hawakuhusika, watakanusha tu kwa gharama yoyote.
 
We jamaa buana hapa suala sio helicopter ina umri gani kwa sababu hata hizo helicopter za kisasa unazo zisema zinapata ajali na kuuwa watu kila siku,swali la msingi hapa ni kwanini waruhusu rais asafiri kwenye hali mbaya ya hewa.

Alafu hizo helicopter hata Marekani penyewe bado zina tumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…