Zinacholwa zinaliwa
Member
- Apr 23, 2023
- 7
- 8
Giza mbele huwa lipo,mshukuru derevaJuzi nilikuwa nakuja kigoma tulifika kaliua saa tano kasoro tukalala pale had saa 12 asubuhi nikafika kigoma saa sita mchana nikashangaa Sana kulikuwa na sababu gani ya muhimu kulala kaliua...
Najua,lakini hoja yangu inawezekana huo ulinzi ukapatikana kwa uhakika na kwa muda wote?Hebu tumia ubongo kufikiri, kazi ya kulinda usalama kwenye Barabara za Jamhuri ni kazi za Police wanatakiwa wafanye patrol 24 hrs kama yalivyo mataifa mengine.
Usiwaze hasi muda wote, mbona magari hutembea usiku na ajali si nyingi?Watabamizana vizuri
Wakizidi kuwa viburi
Barabarani
Any way ni furaha kwq
Watengeneza majeneza
Ova
Mimi ni dereva wa Lori ha huwa natembea usiku na mchana matukio ya utekaji sio mengi na polisi wanawaweza vizuri sana.Matukio mengi ya uporaji na uhalifu mwingine hutokea barabarani mara kwa mara na sote uwa tunasikia,je wamejipanga vyema kuendana na hizo ratiba mpya za mabasi?
Dar - songea,Wazo zuri. Lakini Sasa madereva wetu hawa mmh!
Labda kuwe na ufuatiliaji katika kila kituo. Wawe wanapimwa Kama hawajapiga kamnyweso.
Huwezi tibu kidonda Hadi uwe nacho. Magari yatembee 24hrs then changamoto zitakazojitokeza baada ya hapo ndio wenye dhamana wajipange kupambana nazoMatokeo ya kulazimisha mambo huwa mabaya. Ajali zitakuwa nyingi sana na matukio ya magari kutekwa na majambazi yataongezeka.
Tuwe wavumilivu, SGR itatupa usalama zaidi kusafiri usiku.
Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu.
Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu.
Mamlaka ya usafiri ya udhibiti wa usafiri ardhini nchini imewaagiza wamiliki wa mabasi wanaopenda kuanza safari muda huo wa saa tisa usiku wafike katika Ofisi zao kuomba upya leseni.
Salum Pazzy anayekaimu kitengo cha uhusiano na mawasiliano cha LATRA amesema, ni lazima madereva wasajiliwe ili kuwa na taarifa zao za msingi.
Kwa maoni yangu, angalau kidogo mnasogea japo bado sana maana tunapaswa kusafiri 24hrs katika dunia inayopungua ukubwa kila siku, ikiwa watu hawalali kwa sasa wakikimbia huko na huko.
Nawaza kama mzazi, hawa binti zetu wanarudi shule na gari za saa 10 alfajiri bado giza ukute amekaa na jibaba lina pesa zake, kondakta muwe makini watoto wetu wasipandishwe basi na kupandishwa mimba.
Afadhali sasa maana inakera sana mtu kufika kituoni saa 8 usiku lakini unalazimishwa kusubiri hadi saa 12 asubuhi ndipo gari iruhusiwe. Kwa mbaaaali naanza kuona matumaini.Nadhani ni suala la muda tu, maana kuna mambo hayaepukiki kwenye dunia hii inayokwenda kwa kasi ajabu.
Ilianza saa 12 mara saa 11, sasa ni saa 9 kutoka popote pale ndani ya Tanzania kuelekea mikoa mingine ili mradi ukidhi vigezo hasa kigezo cha LATRA kukuruhusu.
Mamlaka ya usafiri ya udhibiti wa usafiri ardhini nchini imewaagiza wamiliki wa mabasi wanaopenda kuanza safari muda huo wa saa tisa usiku wafike katika Ofisi zao kuomba upya leseni.
Salum Pazzy anayekaimu kitengo cha uhusiano na mawasiliano cha LATRA amesema, ni lazima madereva wasajiliwe ili kuwa na taarifa zao za msingi.
Kwa maoni yangu, angalau kidogo mnasogea japo bado sana maana tunapaswa kusafiri 24hrs katika dunia inayopungua ukubwa kila siku, ikiwa watu hawalali kwa sasa wakikimbia huko na huko.
Wakiendesha mchana , Mapolisi, miundombinu na madereva wanabadilika?ni wazo zuri lakini balaa linaanzia kwa watu wenyewe wanaoendesha hayo mabasi, mapolisi tunaowategemea kwenye controling, miundo mbinu yenyewe ya barabara, aina ya mabus yenyewe na wamiliki wake.
Bm wameanza toka March , 2023 na mabasi yanajaa, Wakatu unaumwa wenzako wanapona, wakati unasubiri liive wenzio wanakula na chumvi, wakati unatembea wenzio wanakimbia, wakati unawaza wenzio wanatenda "Wachagga kila siku wako mbele hatua 3 zaidi yetu watu wa kusini".Kwani hiyo saa 11 yanaanza safari?! Abiria tutaweza kuwepo hiyo saa 9 Kwa ajili ya safari?!
Asante kwa shule yako. Ni kweli mimi ni wa 2000'sBm wameanza toka March , 2023 na mabasi yanajaa, Wakatu unaumwa wenzako wanapona, wakati unasubiri liive wenzio wanakula na chumvi, wakati unatembea wenzio wanakimbia, wakati unawaza wenzio wanatenda "Wachagga kila siku wako mbele hatua 3 zaidi yetu watu wa kusini".
Sikudhihaki ila utakuwa mtoto wa mika ya 2000's, toka tumepata uhuru mpaka mwaka 1998 safari za Treni kutoka Arusha-Moshi-Tanga zilikuwa saa 11 jioni mpaka asubuhi.
Safari za mabasi ilikuwa kuanzia saa 12 jioni na kufika asubuhi[nikufahamishi ] namna tunavyosonga mbele ndio akili zetu zilikuwa zinadumaa na safari zikalazimishwa ziwe mchana.
huu si utaratibu mpya, ulikuwepo kabla haujatungishwa mimba[ukiwa kiunoni kwa mshua wako].
Mwaka 19990-95 tulipanda mabasi haya kutoka Arusha kuja Dar,Asante kwa shule yako. Ni kweli mimi ni wa 2000's
Ni kweli mi ni wa 2000's ila huo mwaka mliokuwa mnayapanda naona kama umetupiga!!!Mwaka 19990-95 tulipanda mabasi haya kutoka Arusha kuja Dar,
1. Fresh ya Shamba.
2. SUKIWA,
3. Njuweni
4. Shabaha,
5. Mkombozi,
6. Bazuu.
7. Oxygen.
8. Ngorika.
9. Mfahamiko.
11. Sukiwa.
12. Dar express.
13. SAWAYA [Kilimanjaro Express]
14. Marangu [Marangu coach].
15. Air Msae.
16. Buffalo.