Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama waziri wa fedha anafanya biashara ya mabasi atashindwaje ku influence latra kufanya huo uhuni? Ipo sababu kubwa ya kutenganisha biashara na uongozi kwa maslahi ya watanzania1. nauli zimepandishwa kwa makusudi ili kuendelea kumchongea kwa wananchi na kumuharibia zaidi japo yeye anaona anafanya vyema
au
2. nauli zimepandishwa kimkakati ili kuamsha hisia za watanzania kutoka kila pembe na zikikataliwa na wananchi basi haraka sana Rais Samia na Chama chake cha CCM atajitokeza na kuamuru ibakie ile ile kisha vyombo vya habari vitampamba kuwa ni Rais msikivu na mpenda watanzania hivyo kuendelea kumjenga zaidi kiumaarifu masikioni mwa watanzania.
Ww umewahi lini kuona mafuta yameshuka? Hebu chukua kuanzia 2015 hadi 2023 au hata huko nyuma ni lini mafuta yalishuka zaid ya kupanda tuusenge ni kwamba mafuta yakishuka nauli hazishuki
Afadhal huyo ana mashahara wa laki saba, sasa sisi ambao mpaka unaamka haujui kama utakunywa chai ama laShida ndio inaanzia hapa. Mshahara unabaki pale pale ila gharama zipo juu.
ukigiza gari ya million 40 kodi ni zaidi ya million 20Si mnasema linaupiga mwingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Khee nunueni gari binafsi sasa
Hawagombei kwa ajili ya wananchi bali kwa matumbo yaoTangu siku ile amekiri kwamba ilibidi wakope ili kulipa mshahara, niliacha kumfuatilia kabisa. Ninamuomba 2025 asigombee Kama kweli anatupenda watanzania. Lakini Kama hatupendi basi agombee na hiyo Time yake ya NEC wampe urais azidi kuharibu.
Unataka kuleta taharuki wewe hatuwezi kubali amani yetu iharibiwe na watu wachache 🤣🤣🤣Magufuli rip baba tunakukumbuka sana kosa ulilofanya kutuachia huyu kiumbe anatunyosha tu nauli inaongezeka 10000 nzima kwa kazi gani waliofanya hao latra, kwa maisha gani facken kabisa kesho na mimi dukani naongeza bei alfu tano tano kila mtu apige anakoweza.
Naunga mkono hoja 👍👏Nitamshangaa Sana akigombea Tena 2025. Sioni sababu ya msingi ya yeye kugombea. Labda Kama anapenda kuwa Rais kwa manufaa yake na familia yake. Lakini Kama ni nchi ameshindwa kazi tayari.
Hahahahahah huwez muona humu🤣"Mama amewafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka na kugusa maisha ya wanyonge wasio na sauti"
Mama anaupiga mwingi.
cc: Lucas Mbwa Wa Shamba.
OkLATRA hawapandishi nauli, hiyo ni bei elekezi tu