LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023
1. nauli zimepandishwa kwa makusudi ili kuendelea kumchongea kwa wananchi na kumuharibia zaidi japo yeye anaona anafanya vyema

au

2. nauli zimepandishwa kimkakati ili kuamsha hisia za watanzania kutoka kila pembe na zikikataliwa na wananchi basi haraka sana Rais Samia na Chama chake cha CCM atajitokeza na kuamuru ibakie ile ile kisha vyombo vya habari vitampamba kuwa ni Rais msikivu na mpenda watanzania hivyo kuendelea kumjenga zaidi kiumaarifu masikioni mwa watanzania.
Kama waziri wa fedha anafanya biashara ya mabasi atashindwaje ku influence latra kufanya huo uhuni? Ipo sababu kubwa ya kutenganisha biashara na uongozi kwa maslahi ya watanzania
 
Duh Sasa si mtunyonge sasa

F_6Spo4WUAABhtm.jpeg
 
Magufuli rip baba tunakukumbuka sana kosa ulilofanya kutuachia huyu kiumbe anatunyosha tu nauli inaongezeka 10000 nzima kwa kazi gani waliofanya hao latra, kwa maisha gani facken kabisa kesho na mimi dukani naongeza bei alfu tano tano kila mtu apige anakoweza.
Unataka kuleta taharuki wewe hatuwezi kubali amani yetu iharibiwe na watu wachache 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom