Yule kibaraka....anawadanganya
Ndiyo ulivyokuwa unadanganywa?Eti "kibaraka"!Historia ya Tanzania yenyewe ilikuwa inampiga chenga.Kama anaamka saa hizi hebu muulize maana ya kibaraka kama aliijua.😝😝😝😝😝
 
Huyu mtu ana mazuri mengi
Pamoja na hivo yapo mabaya machache ambayo kiubinadamu madhaifu ni lazima hivyo bado anabakia kuwa rais bora hata kama wapo watu wasiotaka kuangalia kuangalia mazuri wao wanatazama mabaya tuu hiyo ni natural ya binadamu
Binadamu unaweza kumtendea wema mara 100 ila siku moja ukitenda baya anafuta wema wako wote nakushikiria hilo baya 1
JPM is the best president of Tz iko wazi hilo dunia nzima wanalijua.ila wenye roho za kwanini watakataa.
 
Huyu mtu ana mazuri mengi
Pamoja na hivo yapo mabaya machache ambayo kiubinadamu madhaifu ni lazima hivyo bado anabakia kuwa rais bora hata kama wapo watu wasiotaka kuangalia kuangalia mazuri wao wanatazama mabaya tuu hiyo ni natural ya binadamu
Binadamu unaweza kumtendea wema mara 100 ila siku moja ukitenda baya anafuta wema wako wote nakushikiria hilo baya 1
JPM is the best president of Tz iko wazi hilo dunia nzima wanalijua.ila wenye roho za kwanini watakataa.
 
Mama ndiye amejaribu kufuta Legacy ya Mwendazake!
1.Karudisha fedha za watu zilizoporwa,
2.Kafuta kesi za kubambikiwa ambazo nyingine hazikuwa na dhamana,
3.Karudisha uhuru wa vyombo vya habari,nk
4.Mama hafokei watu wala kutishia watu kufukuzwa kazi,
5.Watu wanavaa barakoa sasa hivi na chanjo tayari imeshaingia na zaidi ya yote Habari za kupiga nyungu haziko tena!
Ongeza na wewe unayoyajua.
Lakini hata hivyo yapo mazuri ya kumkumbuka!
 
Legacy ya ndezi labda.tushasahau kama aliongoza nchii
 
I have disliked your comment!😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑😑
 
Mwakani 2022 nitachukua fomu ya kugombea nafasi ya Mwenuekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza. Watu wajinga na wapumbavu kama Anthony Diallo hawawezi kuwa viongozi wa chama chetu. Aende Chadema huko ndio kuna watu wenye akili kama zake!!!
 
Sisi Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.

Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.

Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.

Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam.

Sisi tunasimama na kauli ya Diallo na Mtaka
 
Mashetani ni wale walikasirishwa kama wewe kuona JPM:
1. Anakuwa kipenzi cha watu wa kawaida kama wamachinga mama lishe na bodaboda.
2. Ambao walichukizwa na utumbuaji wa majipu ya ufisadi, na uzembe kazini.
3. Ni wale waliokuwa na vyeti bandia au vya ndugu zao.
4. Wenye roho ya kwanini walipoona hata watoto wa maskini wanaweza kusoma bure mpaka form 4.
5. Ni wale vibaraka wa wazungu ambao hawakupenda hela yetu itumike vema na nchi iende mbele kwa kasi kama ilivyokuwa karibu 6.8% GDP growth per annnum na kuingia lower middle income status, etc

Hatuwezi kumaliza. Wanayochukia hayo ndio mashetani na sio JPM
 
Uko sahihi kabisa! Watamwita kila jina lakini haisaidii nadhani Luna watu walitamani JPM asizikwe hata na watu lakini watanzania wakaonyesha jinsi alivyokuwa kwenye mioyo yao. Legacy ya JPM haiwezi kufutika. Ni vema wamsahau na wafanye mambo yao
 
Ni kweli. Hata mwalimu hakuwa supervisor makini kama JPM
Bigbrotherrugambwa YOU NAILED IT .

Hakika legacy ya JPM haifutiki imechorwa kwa kalamu ya moto wabaya wake wangetafuta vitu vingine vya kufanya.
 
Naunga mkono hoja zote. Pia niseme, kutika ndani ya moyo wangu, wewe ni miongoni mwa waandishi mahiri kabisa. Hongera!
Kama haunipingi uko upande wangu πŸ™‚ Asante!,
 
Mkuu jamaa amesha jipatia legacy ya kuwa na faili mirembe!
πŸ˜‰ huyo fisadi mnafiki
 
Hivi kwanini watu wanatulazimisha kuona vitu ambavyo havionekani. Legacy=urithi. Je ametuachia nini Cha kulazimisha kama hayo mambo yapo haina haja kuyasema yajiseme. Sasa kuna wapiga dhumari kama mlita uzi Tanzania tunataka legacy ile ambayo angalau kupunguza au kuondoa umasikini, ujinga na maradhi lakini je uyo mtu amefanikiwa kuondoa hayo au ni blabla. Nadhani mleta uzi hebu kajipanga tena
 
Ile takataka tumefukia Chato na ukurasa tumefunga. Let him Rot in Hell.

Ni nyie tu misukule aliowaacha ndiyo bado mnaishi kwenye propaganda ya Mwendazake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…