As a man of principle unasemea ubaya unapotokea sio unapoona mambo yanaanza kwenda kombo, kwa kufanya hivyo ni kuwa opportunist..., Na watu wa hivi mkiwa mnazama kwenye Jahazi kama linavuja ndio huwa wanawahi maboya na kusepa badala ya kusaidia kuondoa maji... i.e. hawapo hapo kuokoa jahazi bali ni self serving...Kila jambo lina nyakati zake! Huu ndio wakati sahihi wa kufunua kila jiwe
Kwa kweli kumekucha na makucha yake kabisa!Kumekuchaaaa
Kumbe hili fukuto ni kubwa sana aisee!
Kila jambo linamda wakeHizi habari amezigundua leo ? Au kwanini hakutwambia Kabla ? Ukishawaelewa Politicians nadhani utakuwa haushangazwi na lolote wanalosema.., It's all about Convenience...
Sema Lema!!!!
Amekamua jipu bila ganziLema kaamua kumuumbua mbowe mazima na hili ndilo limemfanya asepe ili akapige spana vyema
Maisha sio marahisi hivyoAs a man of principle unasemea ubaya unapotokea sio unapoona mambo yanaanza kwenda kombo, kwa kufanya hivyo ni kuwa opportunist..., Na watu wa hivi mkiwa mnazama kwenye Jahazi kama linavuja ndio huwa wanawahi maboya na kusepa badala ya kusaidia kuondoa maji... i.e. hawapo hapo kuokoa jahazi bali ni self serving...
Kwamba ni Mbuzi au ng'ombe wa kisasa?CHADEMA ni zero grazing
--MZEE WA KULA VITU LAINI, ANAJICHAGULIA LEO YUPI KESHO YUPI SAFI SANA MZEE MBOWE, BATA BATANI - -MAPYA KILA JIWE ITAGEUZWA.MBOWE NI NOMA
Nani kasema maisha ni marahisiMaisha sio marahisi hivyo
Kukemea mambo ambayo unaona hayapo sawa ndio kuwa a man of principle kubadilika kulingana na wakati na kuwa flip flopper, kulingana na wakati au for self serving purposes ndio unafiki wenyewe au lack of principles..., Unaweza kubadilisha misimamo au kubadilika iwapo mazingira yamebadilika, lakini huwezi kusema unalisema baya leo lililotokea jana wakati ulifahamu kabisa kwamba ni baya lakini leo ndio umepata opportunity / convience ya kulitumia jambo hilo kama turufu ya kisiasa.. (Hizo sio principles bali ni self serving tendencies) ingawa kwa hilo wala sishangai ndio wanasiasa tabia zao....Ndo maana tunaambiwa tuwe na vifua kama wanaume kuna mambo mengi ya hovyo tunaona na tunayemezea ndo ubinadamu
Sio lazima uongee kila jambo ila unaweza ukajitenga na jambo fulani au ukaamua kutoshiriki na watu fulani kutokana na misimamo ambayo unaona haifai.., huwezi kukaa na watu wanaokula nyama za watu alafu ukakaa kimya wakati jamii inaendelea kuliwa..., alafu baada ya muda ingawa na wewe ulikuwa unashiriki na hilo genge uanze kusema wale jamaa walikuwa wabaya sana wanakula watu, na mimi nilichukizwa sana (sasa why now after the fact wakati ulikuwa na uwezo wa kusema at that instant) ? Tena bora ungekuja kwa kuomba msamaha kwa kushiriki katika hayo mambo na sio kuleta finger pointing kama vile ni leo ndio umegundua hayo...Ukiwa mkweli wa kila jambo utakua na maisha magumu sana na utajikuta hata marafiki huna binadamu wanamapungufu mda mwingine inabidi uwe mnafki ili uishi vizuri na watu
Na kawaida wanakaa kusuruhisha kesi wakiwa na bia pembeni. Kunakuwa hakuna muafaka mpaka mmoja atandikwe fimbo.Hivi ni vita ya WAMACHAME dhidi ya KIKOBA CHA MBOWE.
Wacha wang'atane.
Cc: Lamomy Extrovert Lucas Mwashambwa ChoiceVariable
Mzee Mbowe ametukosea sana WatzMbowe ni hovyo kabisa! Uzuri kila kitu kina mwishi wake na huu ndio mwisho wa Mbowe.
Hayo sikupata kuyajua Sasa mbona mlikuwa mnamsingizia Magufuri na ndugai, kumbe ni mipango Yao wenyewe na Mbowe waoMAPYA KILA JIWE ITAGEUZWA.MBOWE NI NOMA