Lema: Bodaboda imekuwa ni ajira ya Laana

Fukara wa akili wewe,kwani huna uwezo wa kuziongeza Hadi uige.?
Tuige ujinga sio?

Wewe unaweza kumnunulia mwanao boda ajiajiri?

Ni CCM pekee, wanaotembelea V8, wanawanunulia watendaji boda boda waendee kazini.
 
Tuige ujinga sio?

Wewe unaweza kumnunulia mwanao boda ajiajiri?

Ni CCM pekee, wanaotembelea V8, wanawanunulia watendaji boda boda waendee kazini.
Ujinga kwako ila usilazimishe wanaonufaika na hiyo kazi wawe kama wewe..

Na mtaendelea kuangukia pua Kila uchaguzi.
 
Kwani hukioni hicho Cha maana? Tafsiro Yako ya Cha maana ni ipi kwani tukusaidie?
Tafriri yangu ya maana ni Maendeleo. Maendeleo yaliyopo hayaendani na muda tulioutumia na rasilimali zilizopo. Kuna maeneo ambayo actually tumeunder achieve kama vile elimu, kilimo, afya na maendeleo ya mtu binafsi.

Thanks to poor strategies za CCM for the past 60 years.
 
Yaani hapo abiria laana, mwendeshaji laana, muuzaji laana hata wanaochukua kodi laana sijui nani atabaki kwenye laana hii ya taifa.
 
Sahihi kabisa
 
Hao vijana Kiboko wanafanya hivyo kwa sababu viwanda ni vichache sana na vijana wafanyakazi wamejaa mtaani, siku kukiwa na viwanda vingi na wafanyakazi wazuri wakawa adimu hawataweza kuwanyanyasasa wafanyakazi wao ambao watakuwa wanaweza kuunda hadi trade unions.
Kuna wakati ni heri kijana akaendesha bodaboda kwa kipato cha kawaida na risks nyingi kuliko kwenda pale Kiboko kuwa mfanyakazi wa kiwanda cha bomba(hollow sections) na nondo. Trust me!
 
Chadema ndio italeta maendeleo?
 
Lema alizungumza mambo mazito kuhusu sababu za kutoroka, mateso nk. Lakini hili wazandiki wamejaribu kupotosha kwa nguvu zote. Kwa nini walikimbia ni jambo zito sana lakini mhh!
 
Sawa wacha tufanye kazi za baraka za siasa tugombee ubunge nasi tukalipwe maposho, maana kama hata Lema mwenyewe ameifanya hiyo kazi na bado anaitaka ni wazi hiyo ndio kazi yenye baraka isiyo na laana.
 
Ukitoka ulaya bodaboda lazma uione laana
... nikama ukitoka uarabuni kumkumbatia na kumbusu mke wamtu na laana tuhlaii...
Tujifunze tusikurupukie mambo!
 
Mtu anamaliza degree kisha anapiga boda, hayo hayakua malengo. Hilo nijanga
Kazi hiyo sio yakujivunia. Hakuna boda anaejivunia kazi hiyo. Tatizo nikwamba hakuna mbadala ndio maana
Mbadala ni siasa tena inalipa sana bongo, Msukuma ni elimu ya msingi tu ila anafanya kazi ya maana yenye baraka yupo mjengoni yote hayo ni siasa.
 
Uwezo wako wa kufikiri unatia mashaka.
Kwa hiyo kwako hata Ukahaba kwa vile unaingiza kipato ni kazi isiyo na laana?
Nadhani hata huyu mwanaccm mwenzako atakuunga mkono kama atakuwa sio wewe!
 
Uwezo wako wa kufikiri unatia mashaka.
Kwa hiyo kwako hata Ukahaba kwa vile unaingiza kipato ni kazi isiyo na laana?
Nadhani hata huyu mwanaccm mwenzako atakuunga mkono kama atakuwa sio wewe!
View attachment 2536450
Chadema ni genge la Chokoraa!

Msilazimishe kila mtu kuamini na kuwaza kama mnavyowaza nyinyi.
Unaposema BodaBoda ni laana....nimewauliza je!
Watumiaji nao tumelaaniwa?
Nimewauliza je!
Nchi xote zenye Bodaboda pia zimelaaniwa?
Halafu hii tabia Chadema ndio kwao!
Ha..ha..haaa!
Sio kila unapochokoza ni sahihi bwashee @Chakazwa!
[emoji116]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…