TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Kwisha habari yake!Kabisa dear uwasilishaji ndiyo sio mzuri. Pengine alikua ana hoja lakini uwasilishaji huo hapana kwa kweli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwisha habari yake!Kabisa dear uwasilishaji ndiyo sio mzuri. Pengine alikua ana hoja lakini uwasilishaji huo hapana kwa kweli.
Kwani lazima kuiga Kila kitu? Sio swala la kujielewa ni swala la mazingira ya Kila Nchi..Hebu niambie, ni wapi hapa duniani wanakojielewa ambako utaukuta huu usafiri wa bodaboda? Kama hakuna, tafakari..
Kama hoja ni kuendesha maisha, si hata wanaofanya ukahaba wanaendesha maisha kwa ukahaba wao.
Swali zuriHii kauli angeiongea mwanachama wa CCM mngetetea???
Wewe unasema kama nani hapo CHADEMA?Tupeni ridhaa muone mikakati yetu. Siyo miaka sirini yote ya uongozi hamna ubunifu wowote kazi yenu ni kuwasisitiza tu vijana wajiajiri. Kama mmeishiwa mbinu si mseme?
Swali zuri akikujibu nitagMbona unarukaruka tu hueleweki unafafanua mambo ya nje ya mada? Hebu tueleweshe kwanini bodaboda ni laana, Huenda wewe ulimwelewa
Alafu iingie chama gani?NET WORTH yangu binafsi inasaidiaje millions of Boda nchini?
Nashauri Tuipumzishe CCM maana imefika UKOMO wake kufikiri.
Vijana wanafanya bodaboda baada ya kukosa njia mbadala za kujitafutia vipato. USA, Canada, South Africa, Dubai kuna bodaboda? Hakuna, sababu ni kwamba kijana anapata ajira yenye staha, ya kufanya, na kipato cha kukidhi maisha yake.
Zamani kabla ya bodaboda hazijaanza, kulikuwa na asekdo, usafiri wa baiskeli. Hizi ni njia za kujiaptia vipato kwa watu kwenye nchi zenye ufukara na umaskini uliokithiri.
Hivi kweli usomeshe mtoto umtayarishe awe bodaboda!! Ulaana wake unaanzia hapo, kazi haina akiba ya NSSF, haina bima, wakubwa wakiamua hata mjini unazuiwa usiingie. Niambie mtoto gani wa mkubwa anafanya hiyo kazi. Kazi haina mkataba wa kazi, unaweza ukafukuzwa wakati wowote.
Ni kazi ya hovyo sana, acha kuwaza kimaskini, uchumi wako inabidi ukue ili uachane na hiyo kazi, ufanye kazi ya Uber, umiliki teksi kadhaa, na logistic company. Nina jamaa yangu, tulipotoka chuo, 2010, tukapata kazi, yeye baada ya muda, akazichanga pesa yake akanunua kakorola mkweche, akazama zake Arusha, akasema bora akafanye kazi ya kubeba watalii na wageni. 2020, tulipokutana, tayari ameishasajiri kampuni yake ya tours, anakodisha gari zake tatu, salon cars, na Noah. Inabidi uwaze hivyo, na huyu ni engineer, akiwa hana kazi anapiga kazi za ufundi.
Sasa wewe umeingia kwenye bodaboda, hukuwa na mbadala mwingine, na kwanini mbadala wako baada ya kupigika iwe bodaboda? Kwanini hukuenda USA, au mgodini, au viwandani, ukampiga pesa ndefu kwa kazi za kubeba boksi, sababu ni kwamba hizo fulsa hazipo, hata passport huna, mifumo sio rafiki kwako, hukopesheki. Ulaana wa bodaboda unaanzia hapo, na si bodaboda, hata ajira zingine kama kutembeza karanga, kuuza aiskrimu, kuuza mahindi ya kuchoma, zote ni laana tu, kipato chini ya milioni 1.5, ni umaskini tu.
Hawezi kujibu sababu nae amemezeshwa hoja isiyo na ufafanuziSwali zuri akikujibu nitag
ndio tutengeneze ajira sasa, sio boda boda zinaua vijana wetu Kila sikuUlitaka afanye nini ikiwa hawezi kutengeneza kazi?
Wewe ni mgeni na mfumo wa Elimu ya Tanzania na Dunia ya 3?
Kwani bodaboda sio Ajira? Lema ametoa suluhisho?ndio tutengeneze ajira sasa, sio boda boda zinaua vijana wetu Kila siku
Wewe ni mpumbavu si mjinga. CCM iko Malawi? Kenya? DRC? Rwanda?Hata mi nasema ni laana Wala hajakosea. Hakuna anayetaka kuwa bodaboda Bali ni ccm kufeli kuwapa ajira vijana kwa hiyo bodaboda ni last option. Hivyo kwa kifupi ccm Haina mbinu za kuwakwamua vijana
Hello!
Naona Lema ameanza kwa gia ya matusi kwa wanaojiita bodaboda. Lema amesema bodaboda sio kazi ila ni laana.
Hivi hizi si ni dharau kwa vijana wa bodaboda? Yaani watu wanaendesha familia kwa kazi hiyo halafu anakuja mtu anawadharau na kutukana eti wamelaaniwa?
Nyie wafuasi wa CHADEMA mnaposhabikia watu muwe mnajitambua. Hawa kina Lema wamekuwa wabunge hapo Arusha miaka 10, waliwafanyia nini cha maana?
Ujinga kama huu wa CHADEMA ndio kina Ruto walikuwa wanawadanganya Kenya badala yake hakuna cha maana anafanya; ameongeza tax, ameondoa ruzuku kwenye mafuta maisha yako juu, anakopa na alisema hatokopa, anaomba misaada ya chakula hadi Ukraine, mfumuko wa bei ndio usiseme nk.
Ujinga kama huu wa upinzani ulifanyika hata Malawi, kawaulize Wamalawi kama kuna nafuu wamepata, the likes ya Zambia.
Ukiwasikiliza CHADEMA huwa wanaota ila hawana strategy ya kile wanachoota, uje uwaulize watawatoa vipi Watanzania kwenye umaskini kama wanavyodai wakati hawana hata sera inayoeleweka.
Toka nimeanza kuwasikiliza CHADEMA zaidi ya Katiba Mpya na mambo ya Majimbo hakuna jipya, maana hizo political tools sio nyenzo za kuondoa watu kwenye umaskini.
Mwisho, ukiwasikiza ACT Wazalendo unaona content ila ukiwasikiza CHADEMA unaona ulalamishi na kuorodhesha matatizo ya Watanzania bila suluhisho.
Watanzania stukeni mnafanyiwa ngazi za kutengenezea watu maisha.
View attachment 2534553View attachment 2534613
Atoe mbadala kwanza kuliko kulaumu tuBodaboda na Bajaji na Machinga wakiwekewa utaratibu mzuri na miundombinu na wawe operational maeneo Fulani Fulani ni kazi ya kuingiza kipato..
Huko Vijijini ni usafiri muhimu sana,kwanza sijajua inakuaje laana.
Kusema kazi fulani ni laana wakati kazi yeyenyewe haivunji sheria za nchi ni kuwakosea heshima watu wanaofanya Hiyo kazi na lazima ujue sio kila mtu atakuwa dokta, mwanasheria, mwanasiasa n.kKumuulewa Lema unahitaji kuwa na akili kwanza, Kama huna akili huwez kumuelewa Kama ambavyo we hukumuelewa
Mie nilitaka kuendesha Bodaboda, Yes bro wangu anaendesha Bodaboda lakini alinishauri nisifanye hiyo kazi daima, Japo yeye amejenga kwa kazi hiyo hiyo lakin haishi kuilaani na kutafuta mbadala
Hukumsikiliza Lema ukamuelewa, labda Kama ulimsikiliza basi uwezo wako Ni mdogo sana
Imagine mtu aendeshe Bodaboda miaka 30, yaan akimbize upepo miaka 30, sijui Kama ulielewa hoja ya Lema
You must be very stupid kusema Kuendesha Bodaboda Ni kazi ya kujivunia,
Hata uwe na nyumba, ukienda Bank ukawaambia una nyumba na kazi yako Ni Bodaboda kwahiyo wakupe mkopo, utapewa?
Hebu niambie, ni wapi hapa duniani wanakojielewa ambako utaukuta huu usafiri wa bodaboda? Kama hakuna, tafakari..
Kama hoja ni kuendesha maisha, si hata wanaofanya ukahaba wanaendesha maisha kwa ukahaba wao.
Umesahau kuweka namba ya sim.Hello!