Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Ugaidi sometimes huwa ni jambo halali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataamua lini mkuu,maana is too much na hao wengine wanayataka hayo maamuzi yafanyike as soon as possibleHii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.
Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Ndio huyohuyo tena ametia nia ubungeHivi pale Hai si ndio kun yule mkuu wa wilaya fulani asiejielewa? Ama ni mwingine?
Issue ni reaction ya CHADEMA kwenye mambo Kama hayo.....ipoje?Hivi Kenani Kihongosi ni mwanachadema? Maana kuna clip nyingi zake akiwa anasema wapinzani wauwawe!
Uelewa wako duni.Ona sasa mnaweka picha za mtu kakunja ngumi,,!!!muda wote mnawaza vurugu tu.
Mwambieni huyo ambae badala ya kuomba watu wamdhamini yeye anazungumzia magufuli tuu kila siku, sasa hapo si ni chuki?Tusilete chuki katika masuala haya ya uchaguzi 2020.
Mkuu Kama vile ulikuwa miongoni wa wapanga shambulio vile,I hate ccmDuuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!
Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?
Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Kiswahili chenyewe hajuiKatambi tu anawatosha sasa raisi wa nini, hapo bado msemaji wa serikar ndo tundu atakimbia kabisa
Kejeli dhidi ya yesu siyo mkuu?Watu wamechoka kejeli za Lisu
Washambuliwe na nani! Kama sio ccm kwa kushirikiana na police.Sasa Wameshambuliwa Na Nani
Mbona Habari Hujaivisha Nguo Ikaeleweka
Ofisi Imechomwa Usiku Wewe Unasema Saa Hizi
Mkuu, muda umefika, tunasubiri nini kingine? Au mpaka tusikie Mwenyekiti au makamu kauawa ndo tustrike back???Hiyo ni mipango ya Ole Sabai, nawaambia bila kumrestisha in pisi huyo dogi atasumbua sana
Huenda interahamwe wameshatengenezwaWahutu wameanza kila kunapo uchaguzi ni lzm wamwage damu zetu