Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Uchaguzi 2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

Hao waliovamia huo mkutano walikuwa wengi kuliko waliokuwa wamehudhuria huo mkutano?Je wakati wa kampaini tutakuwa tunalalamika hivi huku mitandaoni au wakija watano tutakuwa tunawapeleka angalau watatu mochwari? Hivi baada ya lile shambulio la Lissu bado mnategemea police au jumuiya ya kimataifa.Nadhani police na jumuiya ya kimataifa ilipaswa kuwakuta mbele
 
Tatizo DC wa Hai ni mvuta bangi na ana kijiwe chake cha kuvutia bangi na taarifa zake ninazo.

Sasa mimi najiuliza kama Magufuli ana watu wanaompa taarifa za uhakika, mbona huyu mvuta bangi yupo ndani ya serikali yake?
 
Hii ni hatari kwa mstakabali wa Taifa,vipi upande wa pili wakiamua kujibu mashambulizi.

Wote kwa pamoja tukemee bila kujali vyama vyetu, maana hali ikibadilika haiangalii ulishiriki ama hukushiriki.
Wataamua lini mkuu,maana is too much na hao wengine wanayataka hayo maamuzi yafanyike as soon as possible
 
Wakati wanashambuliwa walichukua maamuzi gani!???? Itanishangaza kama hawa kujbu mapigo!!!
 
Yaani magari tu ndo yanaharibiwa!
WWatu wote wako salama!
Amechokoza were, ameona hajibiwi ,Sasa ameamua kujifanyia usanii!
Jana ofisi ilichomwa, mafaili yakaungua, mlinzi akakimbia akaacha bunduki!
Hiyo ndiyo chadema
 
Tusilete chuki katika masuala haya ya uchaguzi 2020.
Mwambieni huyo ambae badala ya kuomba watu wamdhamini yeye anazungumzia magufuli tuu kila siku, sasa hapo si ni chuki?
Kwa nini asisubili wakati wa kampeni kama anapenda jina la magufuli?
 
Duuuh, inamaana makamanda wameshambuliwa na migambo au imekuajee!

Kuna wale tuliokua tunawaambia kuwa adui wa Chadema ni Mlevi mkuu Mbowe wakawa wanabisha na kutoa lugha za kejeli.
Oooh, Mbowe ndiye anayeijenga Chadema ma wengine ni Wasaliti. !!! Imekuaje ameshindwa kujenga Chama nyumbani kwake mpaka vibaka wanawashambulia?

Kama hii ishu ni kweli Mbowe ajitathimini mana atakua ameandaa hayo magenge nyumbani kwekwe. Hakiwezekani ngome ya Chama itekwe na wahuni na vibaka na kumsumbulia Mgombea urais. Aibu kubwa kwa Mbowe wala si vinginevyo.
Mkuu Kama vile ulikuwa miongoni wa wapanga shambulio vile,I hate ccm
 
Sasa Wameshambuliwa Na Nani
Mbona Habari Hujaivisha Nguo Ikaeleweka
Ofisi Imechomwa Usiku Wewe Unasema Saa Hizi
Washambuliwe na nani! Kama sio ccm kwa kushirikiana na police.
 
Hiyo ni mipango ya Ole Sabai, nawaambia bila kumrestisha in pisi huyo dogi atasumbua sana
Mkuu, muda umefika, tunasubiri nini kingine? Au mpaka tusikie Mwenyekiti au makamu kauawa ndo tustrike back???

Tufanye kitu
 
Hapa ngoja ninyamaze ila ccm na viongoz wenu wote[emoji1589][emoji1589]
 
Back
Top Bottom