Leo 16 September Mahakama inaendelea kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu dhidi ya Jamhuri

Haya mambo yao ya kitoto yametuzalishia hii kesi ya hovyo iliyopo mahakamani kwa sasa.

Wangekuwa na akili mbili wangeshauriana na wanasheria kabla ya kufungua hii kesi.

Akili 0, maguvu 200%
Madaraka yanalevya,

Raisi wa Ghana kama nsikosee alisema ukishaingia ikulu kuna kale ka feelings unakapata unajiona wewe ni Demigod ,

wanaamini wanaweza kupata au kufanya chochote wanachotaka.
 
dadeki
 
Kwa hyo ili jeshi lionekane lipo sawa lilitakiwa kuungana na redbrigade na wale vibaka kwenda kutafuta katiba mpya kwenye maduka ya simu na kwa shilole?

Hv mnadhani wale ni bavicha?

Kwanza mlitakiwa kufa wengi sana ili akili ziwakae vzr.
 
Kwa hyo ili jeshi lionekane lipo sawa lilitakiwa kuungana na redbrigade na wale vibaka kwenda kutafuta katiba mpya kwenye maduka ya simu na kwa shilole?

Hv mnadhani wale ni bavicha?

Kwanza mlitakiwa kufa wengi sana ili akili ziwakae vzr.
Punguza dharau. Wewe una Nini Zaidi ya Nchimbi na Polepole? Wewe Zaidi ya kuwa kidampa wa Abdul
 
Unakuta kwenye hilo kundi lote alitokea mmoja mwenye akili kidogo akaleta mawazo chanya ya kufanya vitu kwa mpangilio.

Basi wakampinga sana, wanakuaga wajuaji na wanaamini kufanya vitu kwa nguvu kuliko kufata utaratibu.

IDIOTS!!.
Kama nchi ni muhimu tujitafakari.
 
Hivi wakitoa arrest warrants wanakamatwa na nani?
 
Heche anaendela kubanwa na maswali..
tulikuwa hatujui utajiri wake leo kupitia kesi hii tumejua mengi sn
 
Hili balaa na lissu haongopi wakileta ujuaji anawashughulikia kweli , hapa ni kutii amri ya lissu bila shuruti, uzuri lissu anakwambia mapema so is up to you
 
Una reference yoyote ya shahidi kuletwa mahakamani kilazima?
Samahani lkn, nataka kujifunza tu
Reference ipo km mashahidi hawato tii wito wa mahakama, kuna kanuni na taratibu zake, ila kwa umuhimu wa case hii, hatuhitaji hilo, tunataka mashahidi waje wenyewe mahakamani kutolea ushahidi wao..
Ndio maana nikasema wakamatwe na waletwe kwa nguvu, japo sio lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…