MNFUMAKOLE
JF-Expert Member
- Nov 14, 2014
- 1,502
- 1,886
Huna unachokijua!! akili za umeziweka kwa mwenyekiti!! jinga tu!Sasa leo tena mnataka mkaapishwe kwa necccm!!?[emoji1786][emoji1786][emoji1786].
HUWEZI KUKIMBIA KIFO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
MAGUFULI4LIFE.
Bado sana, .Kha! Hivi hujui Water bourne diseases zinauwa haswa Watoto chini ya umri wa miaka mitano, MATAGA huwa nawaambiaga CCM inapenda mbali wajinga ili itawale sisi tuna sema sasaaa!! BAAAS!!!
Wewe hujui kaa kimya.Mbona mnajikanganya? Makao makuu ya kata si tarafa?
Approximately 26,500 Tanzanians, including 18,500 children under 5, die each year from diarrhea – nearly 90% of which is directly attributed to poor water, sanitation and hygiene (WASH).Bado sana, .
Ahaaaaa,walipeni nauli mawakala,mwisho saa kumi.We huwa una akili za kichangudoa, unaelewa maaana ya makao makuu?? Tarafa na kata unavijua? Acha kuwa mpumbavu ktk kila Jambo.m.fucv
Hiyo unaijua wewe na wenzioApproximately 26,500 Tanzanians, including 18,500 children under 5, die each year from diarrhea – nearly 90% of which is directly attributed to poor water, sanitation and hygiene (WASH).
Halafu mkiambiwa kuwa Somalia, Iraq, Afganistan na Syria wana furaha kuliko Watanzania watu wanashangaa .....!!Tulia wewe daraja la Busisi likamilike uwe unapigia picha.
Sasa hao wanaokufa ndio unasema watajiju..tena wengi wanaokufa ni Watoto wasiokuwa na hatia yoyoteHiyo unaijua wewe na wenzio
Uko sawa ila juwa chadema labda 2030Approximately 26,500 Tanzanians, including 18,500 children under 5, die each year from diarrhea – nearly 90% of which is directly attributed to poor water, sanitation and hygiene (WASH).
Tundu Lissu amekuja kukukomboa kutoka kwenye Ujinga uliolishwa kwa Miongo hii Mitano
B.S Mambo ya ushabiki hayafai angalia mustakbali wa Taifa kwanza halafu ushabiki peleka Simba au YangaUko sawa ila juwa chadema labda 2030
Kazi ya kiinua mgongo siyo kusafirisha mawakala.Heche akuwa mbunge kalipwa kiinua mgongo milioni 200 anashindwa kusafirisha mawakala mbona wenzie wamesafirisha?
Wasimamizi bila kuzabwa vibao hawawezi kutuheshimu
Mwenyekiti wenu alisisikika akisema "Naombeni kula wanaTwita"
Bongo duh“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.
“Miaka yote katika chaguzi zote Mawakala wetu wanaapishwa makao makuu ya kata na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi. Leo Mkurugenzi anataka tusafirishe watu zaidi ya 1600 kwenda halmashauri maeneo mengine umbali wa km 60 kwa barabara zetu, risk, gharama na usumbufu mkubwa”. John Heche.
“Nimeongea na Mkurugenzi wa tume Dk Mahera akasema anatoa maelekezo kwa msimamizi wa uchaguzi lakini bado msimamizi amegoma. Badala ya uchaguzi kuwa wa wadau unakua mali ya msimamizi ambae alipaswa kuwa facilitator tu. Impunity,ujinga na uhuni”. John Heche.
View attachment 1607088
UPDATES ====•
Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo - Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
#MwananchiUpdates
Mimi nawewe ni nani shabiki kama sio wewe!B.S Mambo ya ushabiki hayafai angalia mustakbali wa Taifa kwanza halafu ushabiki peleka Simba au Yanga
Yaani umekaa zako umeanika kende zako halafu unasema kirahisi tu utampiga mtu makofi 🤣🤣🤣🤣. Ujinga wako siwezi kuwalaumu na wengine. Kamanda wa “keyboard” unachekeshaMwenyekiti wenu alisisikika akisema "Naombeni kula wanaTwita"