Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Uchaguzi 2020 Leo Mawakala wanaapishwa figisu zimeanza, sahihi za Mawakala zadaiwa kugushiwa. Polisi wachunguza

Sasa leo tena mnataka mkaapishwe kwa necccm!!?[emoji1786][emoji1786][emoji1786].
HUWEZI KUKIMBIA KIFO [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].

MAGUFULI4LIFE.
Huna unachokijua!! akili za umeziweka kwa mwenyekiti!! jinga tu!
 
Kha! Hivi hujui Water bourne diseases zinauwa haswa Watoto chini ya umri wa miaka mitano, MATAGA huwa nawaambiaga CCM inapenda mbali wajinga ili itawale sisi tuna sema sasaaa!! BAAAS!!!
Bado sana, .
 
Bado sana, .
Approximately 26,500 Tanzanians, including 18,500 children under 5, die each year from diarrhea – nearly 90% of which is directly attributed to poor water, sanitation and hygiene (WASH).

Tundu Lissu amekuja kukukomboa kutoka kwenye Ujinga uliolishwa kwa Miongo hii Mitano
 
Approximately 26,500 Tanzanians, including 18,500 children under 5, die each year from diarrhea – nearly 90% of which is directly attributed to poor water, sanitation and hygiene (WASH).
Hiyo unaijua wewe na wenzio
 
MAWAKALA WA UPINZANI WANAPIGWA CHENGA BALAA ILI WASIAPISHWE AMBALO NI JAMBO LA HATARI KWELI KWELI MBINU HIZI ZA BAADHI YA WATENDAJI NDIZO ZITAKAZO KUJA AHARIBU AMANI YETU UJANJA WA KITOTO WA KIHUNI WA KIJINGA JARIBUNI KUBUNI NJIA NZURI ZAIDI YA KUIBA LAKINI MARA MUONAPO NJIA FULANI IMESHTUKIWA REKEBISHENI MSIJE KULETA MAAFA CHONDE CHONDE WIZI NI TECHNICS PIA ILA UFANYIKE KIAKILI BILA KULETA HATARI YOYOTE
 
Approximately 26,500 Tanzanians, including 18,500 children under 5, die each year from diarrhea – nearly 90% of which is directly attributed to poor water, sanitation and hygiene (WASH).

Tundu Lissu amekuja kukukomboa kutoka kwenye Ujinga uliolishwa kwa Miongo hii Mitano
Uko sawa ila juwa chadema labda 2030
 
Wasimamizi bila kuzabwa vibao hawawezi kutuheshimu
A566D312-4D8C-46C9-8EA2-8FD184B8964B.jpeg
 
“Wagombea wanaambiwa Mawakala wataapa kwenye Tarafa nk. Hakuna ngazi ya Tarafa kwenye Uchaguzi. Mawakala wanapaswa kuapa ama kwa Msimamizi msaidizi ( kwenye Kata ) au kwa Msimamizi wa Uchaguzi ( Kwenye Jimbo ). Baadhi ya wasimamizi wa Uchaguzi wanasumbua wagombea MAKUSUDI”. Zitto Kabwe.

“Miaka yote katika chaguzi zote Mawakala wetu wanaapishwa makao makuu ya kata na wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi. Leo Mkurugenzi anataka tusafirishe watu zaidi ya 1600 kwenda halmashauri maeneo mengine umbali wa km 60 kwa barabara zetu, risk, gharama na usumbufu mkubwa”. John Heche.

“Nimeongea na Mkurugenzi wa tume Dk Mahera akasema anatoa maelekezo kwa msimamizi wa uchaguzi lakini bado msimamizi amegoma. Badala ya uchaguzi kuwa wa wadau unakua mali ya msimamizi ambae alipaswa kuwa facilitator tu. Impunity,ujinga na uhuni”. John Heche.
View attachment 1607088

UPDATES ====•

Mawakala wanne wa Chadema wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa, katika ajali ya gari iliyotokea barabara ya Molo - Sumbawanga mkoani Rukwa, Mwenyekiti wa Chadema mkoa wa Rukwa, Shadrack Malila amesema.
#MwananchiUpdates
Bongo duh
 
8BA686BB-B03B-44F9-8260-913E710F448A.jpeg
 
B.S Mambo ya ushabiki hayafai angalia mustakbali wa Taifa kwanza halafu ushabiki peleka Simba au Yanga
Mimi nawewe ni nani shabiki kama sio wewe!
Lissu wako hataki maendeleo ya vitu yet unajua kabisa tunashida ya miundo mbinu maji elimu afya nk. we unataka ni msapoti mtu anaye ubiri haki uhuru na maendeleo ya watu yet vitu muhimu wezishi hakuna. Uhuru tz tumepata miaka ya 60's swala la haki ni swala la mtu mmoja moja aswa kama huyo aliyepigwa risasi ni very personal ebu kuweni serious kidogo aisee. Yani nimmpe mtu kura ili tu apate nafasi ya kurevange. Hapana haiwezekani.
 
Mwenyekiti wenu alisisikika akisema "Naombeni kula wanaTwita"
Yaani umekaa zako umeanika kende zako halafu unasema kirahisi tu utampiga mtu makofi 🤣🤣🤣🤣. Ujinga wako siwezi kuwalaumu na wengine. Kamanda wa “keyboard” unachekesha
 
Back
Top Bottom