Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Dah sometimes nyie mliofanikiwa mtueleze mlifanikiwaje kiwaje!?
Mtu shauri sisi vijana ,maana hawa kataa ndoa wamekuwa wengi sana,
Na agenda kuu ni ushetani,maana Mungu kwenye karbu imani zote kahimiiza ndoa
 
Soma biblia Tena "Towashi"

#YNWA
 
Dah sometimes nyie mliofanikiwa mtueleze mlifanikiwaje kiwaje!?
Mtu shauri sisi vijana ,maana hawa kataa ndoa wamekuwa wengi sana,
Na agenda kuu ni ushetani,maana Mungu kwenye karbu imani zote kahimiiza ndoa
Bro kwa Mimi Mkristo nachoweza kukuambia hakunaga ujanja kwenye kuoa mkuu. Ni Mungu tu kwa mapenzi yake anakujalia. Bible inasema mali na urithi mtu atapewa na babae bali mke mwema atatoka kwa bwana. Sasa shida mi naona tumemtangulia Mungu kwenye kazi yake. Maana inawezekana wewe umependa umbile kumbe Mungu alikuchagulia wa kawaida sana ili uwe na aman we hutaki. Muombe Mungu bro utapewa wa kufanana na wewe. Usisahau kufuata nature kama unataka aman.
 
Mnawashauri vijana vibaya, zama hizi ndoa za kazi gani ?
Kwani mkuu wewe hauhitaji mapenzi?
Achana na ndoa kwanza, si lazima kuoa ila hata kama upo na mtu unaishi naye na kwao tayari unafahamika ni jambo zuri.

hata ikitokea tatizo kama mwanamke kufa utakua upo salama sababu wazazi wanafahamu mtoto wao yupo sehemu gani tofauti na kuchukua mtoto wa mtu mkakaa kiholela.
Hakuna ndoa isiylkuwa na changamoto ila changamoto ni sehemu moja ya maisha kama utakimbia ndoa sababu ya changamoto utakutana nazo sehemu nyingine.
Mimi nishakuwa na mtu mpaka kunisaliti halikunifanya niseme hapana sasa sitaki ndoa.

rafiki yangu alishamtoaga demu kwao akiwa hajui hata kuvaa akamfundisha ujanja, akampeleka kumsomesha ila demu akamsaliti.
Lakini sasahiv ana mke na watoto na maisha yanaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…