passion_amo1
JF-Expert Member
- Dec 3, 2023
- 1,828
- 3,922
- Thread starter
-
- #101
Mkuu,Siyo kwamba nawasagia kunguni ila mtaachana tuu ni kitendo cha muda tuu
labda ningejua kwanini hauna mahusiano? Hautaki au ni sababu ipi?We bwana furaha zako unataka na sisi tuanze kuchukua mifano ya vitabu kuleta kwenye uhalisia sawa mwana kukimbia kwa kujifuraisha kwaiyo tusuo na mahusiano tufanyeje
Ahsante sana mkuu.Hongera Sana!
Na hii ndo Radha ya Ndoa Hasa ukimpata Mtu sahihi..
"Soul mate"
Naomba Baraka ndoa Yenu izidi kuimarika Na muepushwe na Misukosuko na Upepo mbaya katika ndoa endapo mtapitia Ugumu utambue ni Just maisha ya Kawaida na ujue jinsi ya kuyavuka..
Mikwaruzano, Ugomvi kutoelewana zote hizi ni hatua na hakikisha unaisolve Mara tu inapotokea Pride,Ego na Ubinafsi Hivi viwekeni kando mtaongeza maisha mengi sana kwenye ndoa..
kongole Mimi na Shemeji yako Huu mwaka wetu wa 17
Mura.wewe ni kabila gani mkuu 😅😅🤣🤣
Pole sana mkuu.Mapenzi ni nini, Mapenzi ni msiba.
Sitaki kuomboleza kaka tuishie hapo kwa leo.
Me nachojua mwanamke bila kipigo haendi kama punda tu, angalau nitatengeneza mazingira ya kutokua hatia ila lengo litimie.Dah nimecheka sana 🤣🤣
Pole sana mkuu.Kitambo na talaka juu
Mapenzi🧐 Hunambii kitu hapo🤕Pole sana mkuu.
Msiba huambatana na maumivu, sijajua kwanini ulichagua kuingia kwenye maumivu.
Pole sana.
MmeanzaNgoja ukiijua michepuko yake ndiyo utakuja kujua hujui
HAKIKA.Mwanzo wa mbio huwa ni huleta matumaini ya ushindi lakini kadri unasonga mbele ugumu unaongezeka, lakini kadri unavyo songa matumaini yale ya ushindi yanarudi.
Furaha ya mbio ni mwisho ikiwa unaelekea kushinda.
Unakwama wapi mpaka unafikia hatua ya kusema "hii ng'ombe."?Hongera mkuu
Mtunze
Msikilize
Mpige mashine vizuri
Hawanaga mambo mengi hao
Ila hi ng’ombe nlio nayo mimi
Ehiiiiiiiiiiiiiiih[emoji16]
Nashukuru sana mkuu.Hongereni na hongera kwako. Hua nafurahi sana mtu anaposhuhudia uzuri wa ndoa sio kila siku kataa ndoa. Mungu aendelee kuwatunza hadi muuone uzee. Wale tunaopenda kuzeeka na wenzi wetu tuseme AMINA.
Nyakuru Chacha! 🤣🤣Mura.
Dah pole mlishindwana nini jamani, 15yrs sio mchezo.Sisi tulifikisha miaka 15 na bado tukaachana, nikiwa na muda nitawaletea jumbe zote nzuri tulizoshare since day 1.
Mimi hata sikuelewa kwakwel alianza mabadiriko ya vificho tu nikambana sanaaa mwisho yakamshinda akafunguka tuachane amepata mtu sahih, nikaridhia akaenda.Dah pole mlishindwana nini jamani, 15yrs sio mchezo.
Hapana mwanake ni kiumbe dhaifu sana anahitaji utaratibu wa kuelekezwa kama mtoto pindi akoseapo!..Me nachojua mwanamke bila kipigo haendi kama punda tu, angalau nitatengeneza mazingira ya kutokua hatia ila lengo litimie.
Si ndiyooo🤣Nyakuru Chacha! 🤣🤣