Leo natimiza miaka 5 na mke wangu, siku ya kwanza kutoka date alinipa ujumbe mzuri sana

Kama ni hivi mimi siwezi kusema chochote hata sijaelewa.

From no where tu hawezi kusema tuachane.
Ila pole.
 
Ahsante Mkuu, Bahati mbaya ilo wazo la kuishi na wanawake lishanitoka kichwani.
 
Kama ni hivi mimi siwezi kusema chochote hata sijaelewa.

From no where tu hawezi kusema tuachane.
Ila pole.
Hujaona neno baada ya yeye kuanza usaliti? Kuna watu wakicheat huwa wanahi uko ndiko sahih zaid ja kutaka kuondoka kabisa katika ndoa ili wahamie uko. Uyu alikua mmoja wao sasa jamii ya wapumbavu wale.
 
Mkuu hongera,
Lakini miaka mi5 katoto kamoja, fanya fanya uongeze ukoo huo, hayo ni matumizi mabovu ya manii. (joke)
😂
 
mtunze kama mboni ya jicho lako
 
Yote sawa ila ogapa kitu inaitwa kufunga ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…