Leo nimeponea chuplichupli kupata umauti kwenye ajali

kuna dada nilikuwa nae yeye alitupwa njee akagonga kwenye chuma za bridge kaumia nyoga aise
Mnapandaje mshikaji Boda?

Mm ni dereva nna pikipiki yangu ila kamwe sitopakia mshikaki. Coz pikipiki inakua nzito na unakosa ile balance na mmoja wenu akijigeuza tu... Lazima dereva ayumbe na Kwa DSM magari yalivyo mengi unaenda kuingia uvunguni.
 
Source: trust me Bro!
 
Nyungu😅, majengo uwanja wa kwaraah😅
Ni muda sana, ila nakumbuka uwanja wa Kwaraa, Barbara ya Olympic, Dolphin, majengo za zamani & mpya, block X, Sido negamsi, ngarenaro maisaka kitintale.

Guest maarafu ( 2008-2013) kishibe, Kisora, Kilomanjaro, Monjes, Baby, Corner View
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…