Lilian Lema amesomeshwa shule za gharama ila anaumiza sana wazazi

She is a hoe mkuu. Huwezi kuita ajira hiyo mkuu.. Huwezi kusema pusha anaeuza bangi amejiajiri...
Hizo zote ajira watu waliokutawala wameziweka rasmi na wanazitoza kodi.

Hiyo bangi watu wanapata mpaka prescription za madaktari kuitumia kama dawa.

Ni wewe tu kila kitu unachelewa na ukistukia watu washamaliza kula.
 
Upumbavu tu umekuathiri
 
Unashindwa kujadili.mada, unajadili watu.

Eleanor Roosevelt alisema

"Great minds discuss ideas; average minds discuss events; small minds discuss people."

You are not discussing ideas, you are not discussing events.

You are discussing people.
huyo lilian lema tunayemjadili ni mtu au kitu
Tumiaga akili
 
Swala sio kumpangia maisha

Wewe mtoto wako wa kike akifanya anachofanya huyo binti utamssuport au utaona ni sawa naomba unijibu hili swali
Liliani ni mtu mzima,msomi kuliko majority mnaomdiscuss,anajua anafanya Nini!Na Kwa ufupi hiyo ni elimu kama elimu zingine na ipo tangu ancient error,hiyo ni human Sexology ,Jifunzeni jamani msikurupuke tu....... Eeeeh halafu unavyosema anaumiza wazazi wake wewe umepata wasaa wa kuzungumza na wazazi wa Lilian?mnawajua?
 
Mtoto wako akifanya anachofanya huyo lilian utakua comfortable mbona unakwepa swali
Mtoto kwa mzazi hakui kama ulikua hujui
 
Upumbavu tu umekuathiri
Mkuu,

Ungeweza kuonesha upumbavu uko wapi, na kwa nini ni upumbavu, labda ningeweza hata kujifunza.

Lakini imeandika kwa muhemko tu.

Nashindwa hata kuelewa kama mimi ndiye mpumbavu au wewe ndiye mpumbavubkwa kusema upumbavubtu umeniathiri bika hata kuweka ushahidi kuonesha upumbavu ukonwapi.

Unataka kusema wewe unapenda watu baki kija kukuamulia mambo yako binafsi?
 
Ndo maana jamii yetu imeharibika sana
Sababu mtoto wa jirani yako anaweza fanya mambo ya kijinga huwezi sema chochote kwa point kwamba ndo maisha aliyochagua ana uhuru

Kesho anafanya mtoto wako mambo yale yale ya hovyo ndo utaona uchungu wake
Hakuna jambo la ajabu hapo,kwani wewe ndio una uchungu wa wazazi wa Lili kuliko yeye?hebu punguza umbea we jamaa
 
Amebuni? Yeye ndo kabuni kazi ya ukungwi? Mashangazi kibao wanafanya kazi hiyo mtandaoni wala hata hajaja na kitu chochote kipya..

Kuna tofauti kubwa sana kati ya kubuni kitu kizuri cha kukuingizia kipato na kulazimika kufanya kitu chochote hata kama kibaya kwa sababu umekosa akili ya kubuni kitu cha maana cha kufanya. Kitu ambacho ni constructive.

Huyu binti sasa hivi wazazi wake watakuwa wanakula vidonge vya presha tu au watakuwa vilingeni huko kutafuta mchawi.

Ame wa disgrace kiasi cha kutosha..

Toa watoto wako EM ili wasije kuwa kama Lilian Lema. Watoto walio soma Kayumba hivi vitu wanavijua tangu wapo darasa la sita. Yeye huyu hana hiyo exposure ndio maana anadhani anafanya kitu kipya..

Anyways kikubwa anacho kifanya hapo ni kutangaza biashara ya kuuza mwili wake period. Ndio hoja ya mtoa mada ipo hapo tuishi humo
 
Hakuna jambo la ajabu hapo,kwani wewe ndio una uchungu wa wazazi wa Lili kuliko yeye?hebu punguza umbea we jamaa
Mimi nimekuuliza wewe mbona unakwepa swali

Mtoto wako wa kike akifanya anachofanya lilia anapost video za jinsi ya kunyonya uume kwa public utamsupport
 
Mtoto wako akifanya anachofanya huyo lilian utakua comfortable mbona unakwepa swali
Mtoto kwa mzazi hakui kama ulikua hujui
Kwani kafanya Nini hapo Cha Ajabu?kakaa uchi?Yes as long as ana vision zake Mimi ni nani nimpangie mama wa 30yrs...we mwanababa vipi?
 
Mimi nimemuuliza swali mtoto wake wa kike alikufanya anachofanya huyo binti atamsupport hataki kujibu swali analikimbia
Kwani huyo binti ni mtoto wangu wa kike?

Mbona unanipa mfano wa logical fallacy ya non sequitur?

Ikiwa unaweza kukataa mtoto wako wa kike asiolewe na mtu fulani, kwa sababubwewe ni baba wa huyo binti, je, hilo linakupa haki ya kukataa mtoto asiye wako kuolewa na huyo mtu?
 
mbona mlikua mnaishi vizuri tu 🐒

mmetofautiana nini tena na mmeshindwana wap tena hadi kazi yake inakua duni sasaivi🐒
 
Mbona hao mashangazi kibao hamuwadiscuss?Ukiona wanababa na ndevu zenu mnamdiscuss kaja kivingine!Ana Kitu
 
Unataka kusema wewe unapenda watu baki kija kukuamulia mambo yako binafsi?
kabisaa. Kila jamii ina utamaduni wake ,hiyo ndio miongozo na maadam wewe ni mwanajamii hizo ndio benchmark za ku judge kile umachoofanya kama ni sahihi au lah.

Kama unafikiri unaweza ukajiamulia tu mambo kisa ni maisha yako binafsi, kavutie bangi kituo cha polisi.

NDio maana kuna sheria , kanuni na taratibu kama miongozo kwwnye jamii yoyote ile.

Kwa maadil yanayopatana na utamaduni wetu, anachofanya huyo binti sio sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…